Elewa mada vizuri nimesema NDUGU YAKO. Sijasema Mtoto wako Wala baba ako Wala mama ako, nimesema NDUGU YAKO.
Haijalishi ni ndugu yako mmechangia baba au mama au mmezaliwa Kwa baba na mama mmoja Kwa mimba Moja ( mapacha) au mimba mbalimbali.
Sifa zake
1. Awe Ni ndugu ambae mmeshare baba au mama au baba na mama.
2. Awe anaishi katika mji wa Mbali Na unapoishi wewe Kwa mfano wewe unaishi Dar yeye anaishi njombe /makete.
3. Awe ameishi Mbali Na wewe Kwa at least kuanzia miaka miwili nakuendelea. Hapa mnaweza kuwa mnaishi wote mkoa au wilaya Moja lakini Kwa kipindi cha hiyo miaka miwili( inaweza kuwa hata mwaka mmoja) hamjawahi kuwa Na mawasiliano ya karibu. ( Hamjawahi kuonana Wala kuwasiliana)
3. Asiwe mgonjwa au Alie pata ajali hivi KARIBUNI ambae likely unaweza kuota amekufa. Mgonjwa Kwa maana ya kwamba anaumwa Muda mrefu ( Na taarifa unazo) eidha amelazwa hospitali au anauguziwa nyumbani au Kwa mganga WA kienyeji.
Nope awe ni mtu Na afya yake njema
Halafu ukaota amekufa. Hasa Hasa ndoto hiyo ukaiota Zaidi ya mara Moja au hata mara Moja. Eidha ndani ya usiku mmoja au siku tofauti.
Basi usije ukathubutu kukemea hiyo ndoto Kwa lengo la kubatilisha Kile ULICHO kiona kwenye ndoto..
Kwanini ?
Kwa Sababu hujui huyo ndugu yako ameingia katika maagano ya namna gani na watu WA Aina gani.
Inawezekana kabisa hicho ulicho kiona katika ndoto kimekuwa justified na aina ya maagano aliyo ingia .
So utakapo Anza kukemea Kwa lengo la kubatilisha hiyo ndoto unakuwa umejiingiza katika vita Na hiyo Madhabahu iliyo mlaani ndugu yako Kwa Sababu unajaribu kumbariki MTU ambae tayari wamemlaani Kwa Sababu ambazo probably zipo justified kulingana Na Aina ya maagano aliyo ingia Na Madhabahu hiyo eidha Kwa kujua au Kwa kutokuja.
So what will happen if you do? Utamsaidia kubeba mzigo wake.
It's either utaanza kufa wewe.
Au utabeba nuksi mikosi Na mabalaa yake yote ( whichever come first )
Yeye atabaki kuwa Salama Na ataendelea kuwa Na Maisha yake kama kawaida Kwa Muda mpaka pale wewe ambae umeamua kuingia katika vita yake Kwa niaba yake utakapo kuwa umemalizwa.
Maana yake Ni kwamba baada ya wewe kushughulikiwa ndio "kiporo " chake kitashughulikiwa.
Why you? Kwanini wewe ndio umuote?
Umemuota wewe Kwa Sababu.
1. U have blood ties with him/her.
2. There is a connection between his death and ur soul so the two things can easily be exchanged.
3. His/her wealth has ties with ur soul and destiny. ( That is to say he has been using ur soul/destiny to prosper him/herself. When someone ties ur soul with his destiny ur soul and his destiny becomes one and the same thing. So u will be able to see in spirit whatever happens to his soul.
Wewe umepewa Tu kama taarifa ya awali kuhusu kitakacho mtokea ndugu yako ili kitakapo kuja kumtokea usiwe surprised.
Katika ulimwengu wa rohoni mambo yaliyo pita yaliyopo Na yajayo yote yanatokea Kwa wakati mmoja. In the realm of the spirit, the past present and future exist in the same now.
Ufanye Nini ukiota ndoto ya namba hii?
Ikemee roho hiyo isije ikakuvaa na wewe.
Mshukuru Mungu Na omba mapenzi yake ndio yatimie.
# Thank me later