Ukimuota ndugu yako mwenye sifa hizi amekufa usithubutu kukemea hiyo ndoto hata siku Moja. Ukikemea utakufa wewe

self ignorance and Poverty , ukitaka kujua mnapigwa angalia Asian Tigers hawana habari na mamiujiza yenu fake lakini wako juu mno kiuchumi na kimaisha. Shtukeni nyie wakanyaga mafuta
 
Nimejikuta nasoma kwa umakini mkubwa 😂😂 kufika mwisho ni Mambo ramli hayo
 
Utafiti huu umefanyia wapi? Huu Ni ujinga wa kiwango Cha juu Sana! Wastage of time and buddle! Trushed!
 
self ignorance and Poverty , ukitaka kujua mnapigwa angalia Asian Tigers hawana habari na mamiujiza yenu fake lakini wako juu mno kiuchumi na kimaisha. Shtukeni nyie wakanyaga mafuta
Una miliki bilioni ngapi mkuu?
 
Kwwnza, toa wasifu wako kwenye elimu ya ndoto. Acheni kutoa elimu pori. Huu ni ukanjanja
 
Acha ukanjanja

Ur a certificate oriented person. Na hicho ndicho ulicho fundishwa na mzungu.

Mimi nilifikiri labda unge uliza kama nina personal experiences kuhusu hicho nilicho kiandika wewe unazungumza kuhusu vyeti? Are u serious???
 
Mkuu, una expose your ignorance. Huwezi kuja public kutoa account ya mambo ya kuungaunga usiyoweza kuthibitisha yaani ya kufikirika (imagination). Hadhira hii ina watu makini siyo vijiweni mnakokaa na kupiga hadithi za kutafuta njaa ili mkale chakula cha wazazi. Jiongeze mkuu.
 
Kama na wewe ni mtu makini basi there is no hope for the future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…