Ukimuota ndugu yako mwenye sifa hizi amekufa usithubutu kukemea hiyo ndoto hata siku Moja. Ukikemea utakufa wewe

Mkuu naomba tafsiri ya hii ndoto inajirudia sana mara ya kwanza niliota mama angu mzazi amejifungua mtu ambae alishafariki 7 years ago

Asa ivi nafuliza kuota mwanamke niliekuwa nae kwenye mahusiano amejifungua japo uhusiano wetu umeyumba na alikuwa na matatizo ya tumbo sana tu je maana yake ni ipi
 
Una miliki bilioni ngapi mkuu?
unataka zikusaidie nini wewe jiulize huyo anayewauzia mafuta anamiliki ngapi ndio utajua hujui, mi nawasanua tu ila mnashupaza vichwa malofa nyie
 

Hapo mwanzoni umesema ukiota ndoto kama hiyo usikemee,hapo mwisho umesema ukiona hivyo ukemee sana,sijajua unataka nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…