Ukimwangalia hapa Janabi. Ni kielezo cha Afya Bora ambalo Taifa linapaswa kuwa na watu wa namna hii.

Hapqnq ndugu mmh
 
Wamechomekea tu hao, huyo ni mtu wa Dodoma halisi. Na ni Mnubi kwa baba. Jina lake Mohamed Janabi. Labda huko namtumbo kajipachika au kapachikwa tu.
 
Huyo mnubi wa sudani kusini, ndio wengi wao miili yao ilivyo.
Bibie likija swala la afya tusilichukulie kimzaha na ushabiki. Dk Janabi yuko sahihi kabisa ni hazina iliyotukuka. Lazima tuhamasishane jinsi ya kuishi kwa afya hasa kwenye swala zima la chakula.
 
Aidha, alisema ni vyema kuepuka kula vyakula vyenye sukari nyingi kwa kuwa sukari haijawahi kumwacha mtu salama.
Chumvi ndio mbaya zaidi kula kula vyakula vyenye Chumvi nyingi vinavuruga mfumo wa usagaji Chakula mtu anakosa Choo wiki kumbe kula kula michumvi mingi mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…