P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
kinga utaipandishaje wakati hiv wanazaliana na kuishambulia kwa kasi kubwa zaidi ?Hutayapata yote kwa mara moja, unaweza kupata mmoja, au miwili au idadi yoyote ile.., kwahiyo tibiwa kadri utakavyoyapata huku ukipandisha kinga ya mwili..
haiwezi kukaa muda wote na hiv bila kuumwa, kiumwa ni swala la muda tuuMgonjwa ni mtu anaeumwa..
View attachment 3228204
Hapo wanasema mgonjwa ni ‘ill person’, yaani mtu anaeumwa.
Hahahhaha, mtu haumwi , halafu at the same tume ana ugonjwa? Kwahiyo anaumwa au haumwi? 😂😂😂 ,
Hata baada ya miaka 100, huyo mtu hataumwa, hivyo huo sio ugonjwa!
Kwa kula mbogamboga na matunda, kulala vya kutosha na kufanya mazoezi, haya yote yanashindikana kibongo bongo sababu ya umasikini, ila nchi zilizoendelea hiki kirusi hakiwasumbui kabisa.kinga utaipandishaje wakati hiv wanazaliana na kuishambulia kwa kasi kubwa zaidi ?
Elewa kwanza nilichokuwa najadiliana nae, niliongelea ‘A hypothetical sterile environment’, sio mazingira halisi.haiwezi kukaa muda wote na hiv bila kuumwa, kiumwa ni swala la muda tuu
ukipata hiv unaweza ukadunda miaka mitano ya mwanzo bila kuona shida yoyote
ila baada ya hapo vinakua vimesha zaliana kwa wingi vinaibuka na kusababisha AIDS, hapo ndo utaamdamwa na kila ugonjwa na mdo utaanza kuumwa rasmi
Dalili ya kupungua kinga ya mwili siyo ugonjwa ? ....wewe ni nani kakuambia kuwa dalili ni zile tu za nje ya mwili au ni zile tu unazo zihisi ....wapo watu wanapima afya zao bila ya kuwa na dalili zozote za magonjwa kisha wanakutwa na ugonjwa je waseme awana ugonjwa kwa sababu dalili bado kujitokeza.....kwa hiyo siku dalili zikijitokeza ndiyo siku waanze kuhesabu kuwa wao wanahuo ugonjwa mfano cancer ya hatua ya kwanza au hata ya pili ...wewe unacho sema ni sawa na mtu kusema bomu siyo bomu hadi lilipuke ndiyo linakuwa bomu ila ukweli ni kwamba bomu ni bomu tu aijalishi limelipuka au halija lipuka ....dalili uja baadae sana baada ya mtu kuwa alisha pata ugonjwa hivyo ugonjwa unatangulia kukupata kabla ya dalili ...hata dalili za ukimwi zipo siyo kama unavyo sema wewe ...mfano ukipata Malaria unaweza kuugua mwezi mzima tofauti na zamani ulikuwa unapona hata kwa siku 3 kwa sababu ukimwi unasababisha dawa kuto kufanya kazi vizuri.Sasa mtu unashindwa kusimamisha halafu useme huumwi? Umechanganyikiwa? Huyo ni mgonjwa nananaumwa, dallili zake ni hizo kushimdwa kusimamisha..
Upoteze hamu ya kula halafu useme huumwi, huyo ni mgonjwa na anaumwa, dalili zake ni kupoteza hamu ya kulaa..
hauwezi ukashinana na kasi yao ya kuharibu hata ukikesha kufanya hayo yote namna inavyopanda bado ni ndogo sana ukilinganisha na wenyewe wanavyoiahushaKwa kula mbogamboga na matunda, kulala vya kutosha na kufanya mazoezi, haya yote yanashindikana kibongo bongo sababu ya umasikini, ila nchi zilizoendelea hiki kirusi hakiwasumbui kabisa.
wakishusha kinga wewe unapandisha, wakishusha we unapandisha, hadi mwili unatenheneza total immunity dhidi yao, na hii ndio njia waliyotumia wale waliopona. Ila ARV inakuuwa for sure kupitia Liver na Heart failure, guaranteed death!!
Acha uongoShida ya hizi Arv.
Hao viruses wanatoka kwenye damu wanakimbilia kujificha kwenye fizi na kucha.
Kuwaondoa kabisa inakuwa ngumu.
Hamna ukimwi wa kukaa kwenye kucha sijui hio elimu umetoa wapiFala wewe nitolee usenge wako hapa.
Je, ukapata huo upungufu wa kinga mwilini na ‘hypothetically’ usipate maambukizi yeyote yale ukiacha yale ya HIV, utapata shida yeyote ile katika utendaji wa mwili wako? Yeyote ile?Dalili ya kupungua kinga ya mwili siyo ugonjwa ? ....wewe ni nani kakuambia kuwa dalili ni zile tu za nje ya mwili au ni zile tu unazo zihisi ....wapo watu wanapima afya zao bila ya kuwa na dalili zozote za magonjwa kisha wanakutwa na ugonjwa je waseme awana ugonjwa kwa sababu dalili bado kujitokeza.....kwa hiyo siku dalili zikijitokeza ndiyo siku waanze kuhesabu kuwa wao wanahuo ugonjwa mfano cancer ya hatua ya kwanza au hata ya pili ...wewe unacho sema ni sawa na mtu kusema bomu siyo bomu hadi lilipuke ndiyo linakuwa bomu ila ukweli ni kwamba bomu ni bomu tu aijalishi limelipuka au halija lipuka ....dalili uja baadae sana baada ya mtu kuwa alisha pata ugonjwa hivyo ugonjwa unatangulia kukupata kabla ya dalili ...hata dalili za ukimwi zipo siyo kama unavyo sema wewe ...mfano ukipata Malaria unaweza kuugua mwezi mzima tofauti na zamani ulikuwa unapona hata kwa siku 3 kwa sababu ukimwi unasababisha dawa kuto kufanya kazi vizuri.
Ukimwi unakaa kwenye damu, majimaji ya ukeni na shahawa basi, hata kwenye mate hawapo, wewe hio elimu ya ukimwi kwenye kucha umeitoa wapi?Fala wewe nitolee usenge wako hapa.
ARV haipandishi kinga, unabisha?hauwezi ukashinana na kasi yao ya kuharibu hata ukikesha kufanya hayo yote namna inavyopanda bado ni ndogo sana ukilinganisha na wenyewe wanavyoiahusha
wanazaliana mamilioni na kadri wanavyokua wengi wanazidi kizaliana kwa wingi
arv sio tu inapandisha kinga, bali inafanya hiv washindwe kuzaliana kwa wingi
kwaiyo wewe ulajiwako wa majani na kilakitu unachosema, hata ukeshe unakula na kufanya mazoezi usiku na mchana bado hautaishinda rate yao ya uharibifu ni kubwa mno
Kupungua kinga sio lazima uwe na ukimwi, watu ambao kinga zao zipo chini kama watu wa ukimwi ni kama wafuatao...Je, ukapata huo upungufu wa kinga mwilini na ‘hypothetically’ usipate maambukizi yeyote yale ukiacha yale ya HIV, utapata shida yeyote ile katika utendaji wa mwili wako? Yeyote ile?
Me nakupa elimu, sio kwa ubaya lakiniNdio nakwambia hivii. Nitolee usenge wako hapa.
Sasa mbona unarudia nilichosema kwenye uzi. Hapa najadiliana nae kama ni ugonjwa au sio ugonjwaKupungua kinga sio lazima uwe na ukimwi, watu ambao kinga zao zipo chini kama watu wa ukimwi ni kama wafuatao...
1.Wagonjwa wenye magonjwa sugu na ya muda mrefu kama kisukari, wasiozingatia dawa
2. Watu wanaotumia dawa za corticosteroids kwa muda mrefu
3. Watu waliofanya upandikizaji wa viungo kama figo
Upo sahihiARV haipandishi kinga, unabisha?
Achana na mimi.Me nakupa elimu, sio kwa ubaya lakini
ARV inawapa shida HIV kizaliana, hicho ndo cha kwanza cha msingi kinachotakiwaARV haipandishi kinga, unabisha?
Kwa ukiangazia hii hypothetical sterile environment, kama mtu anazingatia dose atakuwa na kinga madhubuti na atakuwa free from opportunistic diseases lakini bado kuna shida inakuja...matumizi ya arv kwa mrefu at some extent inapelekea drug resistance, kwahiyo itabidi mgonjwa aende kwa wataalamu ili atafutiwe alternative formulations ambazo zitafanya kazi kwake, suala ambalo linaweza chukua mda kwa baadhi ya watu, na hii ndio sababu kubwa ya watu kufariki anyway ingawa walitumia arv, hata hivo matumizi sahihi ya arv bado ni muhimuElewa kwanza nilichokuwa najadiliana nae, niliongelea ‘A hypothetical sterile environment’, sio mazingira halisi.
Unaelewa maana ya neno ‘Hypothetical’?
Sawa, samahaniAchana na mimi.