UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Ukimwi ni kisababishi cha magonjwa mengine Kwa kuwa Kinga ya mwili inakuwa chini hivyo unakuwa katika hatari ya kupata magonjwa mengine Kwa urahisi
 
Magonjwa mengi kwasababu Kinga ya mwili inakuwa na mushkeli
Hayo Magonjwa mengi kila ugonjwa vimelea vinavyousababisha si vinafahamika? Mfano T.B, hata wasio na Upungufu wa Kinga mwilini wanaupata, wanapewa dawa na wanapona.., sivyo?
 
Back
Top Bottom