UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Mfuatilie mada zake kuhusiana na huo ugonjwa,ila siku hizi kapotea,zaidi ya mwaka mmoja sijamuona sijui atakuwa amefagiliwa na huo ugonjwa,maana yake alikua hivi hivi anasema UKIMWI haupo,inaonekana alikua ni mtu wa dry sana
Hakuwa anasema ukimwi haupo bali alikuwa anasema hakuna virusi vya kusababisha ukimwi.
 
Ukiona mtu abisha kweny ILO ujue kichwan hamna kitu apo
 
Duh, Ukimwi umefikia kiwango cha kudharauliwa kiasi hiki? Hebu bwana Trump sitisha ruzuku ya ARV heshima irudi.
Waliyokuwa wanatumia hizo dawa kwa muda mrefu watakufa sana tu.
 
Hakuwa anasema ukimwi haupo bali alikuwa anasema hakuna virusi vya kusababisha ukimwi.
Kwani ugonjwa ni nini? ukisema hakuna kirusi kinachosababisha ukimwi basi utasema hata Blood Pressure sio ugonjwa maana hakuna vimelea vinavyo usababisha BP . Hitilafu yoyote ikitokea mwilini na kuharibu utendaji kazi wa mwili iwe imesababishwa na vimelea au mwili wenyewe umejichanganya tayari huo ni ugonjwa. Tusikariri .Magonjwa mengi hivi sasa hayasababishwi tena na vimelea , lakini huwezi kusema sio ugonjwa.Kitendo cha HIV kusababisha mwili mwili uwe exposed kushambuliwa na magonjwa tayari huo ni ugonjwa.Hypertension inasababisha mtu apatwe na magonjwa kama stroke , huwezi kusema BP siyo ugonjwa.
 
Mkuu hamna watu mazezeta kama hawa wa afya yaani ni hopeless kabisa washakuwa programmed tayari.
Yani hao hawafuati kitu nje ya ya yale waliyofundishwa hata kama ameona kabisa ukweli wake, kufanya hivyo wenzio watakuona kama mshamba vile.
 
Ni kwamba anachosema ukimwi upo ila hausababishwi na virusi kwa maana hakuna virusi ambavyo ndio vinasababisha ukimwi.
 
hiyo document siyo scientific doc, ni kama wewe unavyozidi kupotosha, pls share published sientific document/journals
 
Deception
"Ukimwi sio tishio,ulikuwapo tangu zamani,ila tofauti ya sasa ni kwamba umedanganywa kwamba unasababishwa na mdudu ambaye hajawahi kuonekana na daktari yoyote duniani aitwaye HIV.

Ukifuata ushauri wangu utakuja kugundua kwamba HIV/AIDS ni upuuzi mtupu na kwamba watu hufa kwa magonjwa yaleyale ya zamani bila kujali kama wana huyo HIV(feki) au hawana.

1.Ugonjwa gani unachagua nani wa kumwambukiza hata kama wote wako kwenye level sawa za risk ya kupata?
2.Tumeambiwa huambukizwa kwa njia ya ngono zembe,lakini kuna familia nyingi utakuta mume au mke ana HIV lakini mwenzake hana na wamezaa watoto na watoto pia hawana,ugonjwa gani wa kipumbavu huu?
3.Tumeambiwa kwamba bila ARVs lazima ufe mapema,lakini hadi sasa kuna rundo la watu wameambiwa wana HIV na hawatumii ARVs kwa zaidi ya miaka 20,Je,unataka kuishi miaka mingapi hapa duniani kama unaweza kuishi na mdudu huyu feki kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia ARVs?
4.HIV hajawahi kuonekana hata kwa kutumia electron microscope,hata wale wanaosema kwamba wamemgundua HIV hawajawahi kumuona na wanakiri kwamba hawajawahi kumuona,sasa picha yake wamepata wapi?,wamejuaje kwamba yeye ndiye sababu ya ukimwi?
5.Tumeambiwa vipimo vinapima HIV,lakini ukweli ni kwamba vinapima kinga ya mwili na sio HIV,Je,wangapi wanajua upumbavu huu?Leo hii ukiambiwa wewe ni HIV+ kwa vipimo hivi uta panic na kufa hata kabla ya kunywa sumu zao(yaani ARVs).
6.Wangapi wanajua madhara ya ARVs humu?Kama kuna mtu hajui basi atafute mitandaoni au vitabuni.Kwa urahisi zaidi chukua kikopo cha ARVs na ndani yake utaona karatasi ya maelekezo,soma karatasi hiyo kwa makini sana na utagundua kwamba side effect zilizotajwa humo ndizo zinazoua watu na si HIV(hewa) kama anavyosingiziwa.

Watu huwa hawasomi karatasi hizo kutokana na rundo la maneno yaliyomo,lakini nina uhakika kama wangesoma na kuzielewa basi wasingekubali kula ARVs katika maisha yao na woga huo ndio ungewaokoa.

-ARVs husababisha cancer
-ARVs husababisha kisukari
-ARVs husababisha presha/matatizo ya moyo
-ARVs husababisha upungufu wa damu
-ARVs husababisha matatizo ya figo
-ARVs husababisha matatizo ya Ini.

Matatizo yote haya anasingiziwa HIV(hewa)."
 
Yani hao hawafuati kitu nje ya ya yale waliyofundishwa hata kama ameona kabisa ukweli wake, kufanya hivyo wenzio watakuona kama mshamba vile.
Washafundishwa kutoboa watu basi ila kujiongeza no scientifically dawa za hospital hazitibu bali zina mask the symptoms of the disease and leads to long term effects kwenye miili yetu.
 
Washafundishwa kutoboa watu basi ila kujiongeza no scientifically dawa za hospital hazitibu bali zina mask the symptoms of the disease and leads to long term effects kwenye miili yetu.
Na ndio kazi yao kubwa kufanikisha kuuzika kwa hayo madawa na sio kutibu.
 
Sasa si nimekujibu ataumwaje au wewe hujui kusoma???? Ngoja nirudie..

Kwenye mwili kuna bacteria wanaoishi kwenye mwili...wapo tu mda wote, kinga ikishuka wanaongezeka, wanakushambulia...sitaki niwataje hao bacteria kwa majina nitakuchanganya...
 
Umeanza kuchanganyikiwa, Wahalifu si ndio ‘pathogen’, sasa iweje useme wahalifu ni ugonjwa? , Ugonjwa ni yale matokeo hasi ya uvamizi wa ‘wahalifu’.

Kama unakiri mtu hatougua hadi apate maambukizi fulani baada ya kinga kupungua, maana yake upungufu wa kinga wenyewe kama wenyewe si ugonjwa, maana mtu hatoumwa milele..
 
Sasa si nimekujibu ataumwaje au wewe hujui kusoma???? Ngoja nirudie..

Kwenye mwili kuna bacteria wanaoishi kwenye mwili...wapo tu mda wote, kinga ikishuka wanaongezeka, wanakushambulia...sitaki niwataje hao bacteria kwa majina nitakuchanganya...
Tunaposema ‘Hypothetical sterile environment’ tunamaanisja ndani na nje ya mwili, kwamba assuming hakuna pathogen nje wala ndani ya mwili, bali wawepo hao tu wa HIV ambao wanashusha kinga, mtu ataumwa?
 
Kwanini unasema wakati huo ukimwi ulikuwa hatari mno kuzidi tuliyoyashuhudia kwenye covid 19?

Nilikustahi tu uzi wako una mapotovu mengi sema sikutaka kukwambia ...sick ndiyo matokeo ya ugonjwa unaweza kuwa na ugonjwa bila yakuwa unaumwa yaani unaugua ...ugonjwa utangulia kabla ya kuumwa au kuugua ...kwenye huu uzi kuna ujinga mkubwa sana umeuongea mwanzo wa uzi wako sikutaka kukuambia wewe umesema kuwa Ukimwi siyo ugonjwa ni mlundikano wa magonjwa mbali mbali ambayo yanajulikanq tiba yake hapa umepotosha ...tumia akili mfano tiba ya Malaria tunaijuq ...sasa mtu mwenye ugonjwa wa ukimwi akitumia hiyo tiba biba inashindwa kufanya kazi kirahisi tofauti na asiye na ugonjwa wa ukimwi ....na ukimwi ukiwa mkali maana yake dawa za magonjwa hayo mengine zinakuwa aziwezi kufanya kazi kwa sababu dawa aifanyikazi yenyewe hadi mwili uwe na chembe za kinga...ndiyo maana ni rahisi mgonjwa wa ukimwi kufa kwa Malaria kuliko asiye kuwa na ukimwi ...na ndiyo maana ni rahisi mgonjwa wa ukimwi kupelekeshwa na Malaria hata mwezi mzima ndiyo anapona tofauti na kabla ya kuwa na ukimwi ....hivyo hojq yqko kuwa dawa za magonjwa mengine zipo kuna upotofu kinga za mwili zikibaki 0 hata 7tumie dawa ya Malaria hiyo dawa aiwezi kukuponyesha...kajifunze namna dawa zenye kufwnya kazi damu zinavyo fanya kazi chini ya kinga za mwili
 
Maelezo mengi yaliyokosa dira. Mtu mwenye Ukimwi, asipopata maambukizi zaidi ya hayo ya HIV, ataumwa?
 
Ugonjwa ni kitendo cha hao wadudu au virus kuzi halibu na kuziua kinga za mwili ...kama baada ya hapo ukapata Malaria hapo tuna hesabu una magonjwa mawili HIV NA MALARIA
 
Wewe kichwa chako unafugia nywele au🙄 kuwa na ugonjwa siyo lazima uumwe ndiyo maana magonjwa yana hatua mfano cancer hatua ya 1...2...3....4 baadhi ya hizo hatua unakuwa hau umwi kitu hadi hatua fulani ndiyo unaanza kuumwa
Maelezo mengi yaliyokosa dira. Mtu mwenye Ukimwi, asipopata maambukizi zaidi ya hayo ya HIV, ataumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…