Kwasisi Wanaume wahangaikaji wa maisha kuna msemo wa kukumbushana unasema;
"Furaha yangu ni kurudi nyumbani bila maambukizi"
Tukumbuke Kuna vijana wadogo wanatutegemea kama Baba zao
Hebu tuchukue tahadhali katika mienendo yetu
Tanzania bila maambukizi mapya inawezekana 💪
Hakika ni hatari MkuuNimeependa hiyo moto.
"Furaha yangu ni kurudi nyumbani bila maambukizi"
Tuendelee kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunusurika miaka ya 80 mwishoni mpaka 90 mwishoni. Hali ilikuwa mbaya. Hata ukiwa baunsa vp, ukiupata lazima uondoke na kilo 2.
Gen Z haya yote hawayajui, ndiyo maana hawatulii.
Siku hizi ukimwi kama mafua tu! Umeona watu na afya zao ila wana VVU. Dawa ya pekee ni kukubaliana na hiyo hali na unachapa maisha kama kawa. Sema tu adhabu ni dawa za kila siku.
Ameen ameen.Kwasisi Wanaume wahangaikaji wa maisha kuna msemo wa kukumbushana unasema;
"Furaha yangu ni kurudi nyumbani bila maambukizi"
Tukumbuke Kuna vijana wadogo wanatutegemea kama Baba zao
Hebu tuchukue tahadhali katika mienendo yetu
Tanzania bila maambukizi mapya inawezekana 💪
Hakika MkuuAmeen ameen.
Ukimwi upo. ....tuzidi kuchukua tahadhari
Umesahau Stress na MwanamkeKati (miongoni)ya UKIMWI,malaria,vita na njaa vipangilie kwa takwinu ni kipi kinaongoza kwa kuua.
Ni kweli mkuu.Hakika Mkuu
Kuna watu wanatutegemea Kwa Kila kitu, na ndiyo kwanza unakuta wapo class II ama VII
Vyema tuendelee kuchukua tahadhali
Jay Mo Kuna sehemu aliwahi kuimba "...hakuna demu wa kwenda naye nyama Kwa nyama...."
Wimbo uliitwa Jirushe, akiwa na Ferouz
Egezaktre boss!Umesahau Stress na Mwanamke
Vitoto vya O-level, advance na Chuo sasaHakika ni hatari Mkuu
Ukimwi wa zamani ungeweza kumtambua mtu Kwa macho Kwa namna alivyoisha, huu wa nyakati hizi unakutana na binti kisu kweli, kumbe ndiyo anao.
All in all, tahadhali muhimu kuchukuliwa
Yaani ni hatariVitoto vya O-level, advance na Chuo sasa
Shida kubwa ni hapo kwenye kukubaliana na hiyo hali,wengi hapo ndio mtihani,kifupi tuache uzinzi,hata hao wanaotumia dawa sio rahisi hivyo unavyofikiri,ni kupanda na kushuka,leo mzima kesho mgonjwa...Siku hizi ukimwi kama mafua tu! Umeona watu na afya zao ila wana VVU. Dawa ya pekee ni kukubaliana na hiyo hali na unachapa maisha kama kawa. Sema tu adhabu ni dawa za kila siku.
unaongelea mambo ya mbali sana mkuu, mtu mweusi na mambo ya utafiti wapi na wapi? sisi mchango wetu unatakiwa uwe ni wa kufanya ngono salama maana hatuwezi kuacha ngonoPamoja na maendeleo haya, bara letu bado lina mchango mdogo San katika mapambano haya. Bado hatujasimama wenyewe kwenye kutengeneza madawa na tafiti.
unaongelea mambo ya mbali sana mkuu, mtu mweusi na mambo ya utafiti wapi na wapi? sisi mchango wetu unatakiwa uwe ni wa kufanya ngono salama maana hatuwezi kuacha ngono
Sasa kwa taarifa yako ukiwa na huo Ukimwi kupata Kansa na Kisukari ni rahisi zaidiKuna magonjwa ya hatari zaidi ya huo ukimwi! Mfano ugonjwa wa kansa na kisukari. Ukimwi ulikuwa hatari miaka ya 1980's na 1990's kabla ya watengenezaji wa huo ugonjwa hawajatuletea haya mashudu yao yanayofubaza makali.
Enzi hizo ukiupata mjini, basi lazima urudishwe kijijini huku ukiwa na uzito wa kilo 2 tu, kwa ajili ya kusubiri siku yako ya kufa.
Aisee hizo enzi ilikuwa hatari Sana🤔Kuna magonjwa ya hatari zaidi ya huo ukimwi! Mfano ugonjwa wa kansa na kisukari. Ukimwi ulikuwa hatari miaka ya 1980's na 1990's kabla ya watengenezaji wa huo ugonjwa hawajatuletea haya mashudu yao yanayofubaza makali.
Enzi hizo ukiupata mjini, basi lazima urudishwe kijijini huku ukiwa na uzito wa kilo 2 tu, kwa ajili ya kusubiri siku yako ya kufa.
Sasa kwa taarifa yako ukiwa na huo Ukimwi kupata Kansa na Kisukari ni rahisi zaidi
kuliko mtu asiyokuwa nao.
Umeuliza hili swali wakati una njaa bila shaka.Kwani ukiwa na UKIMWI huwezi kupata na kansa pia ?