Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ni kwa mujibu wa tafiti za kitaalamu hii ni kutokana na athari za virusi vya ukimwi na dawaHiyo ni kwa mujibu wa tafiti za kitaalam au hisia za watu?
za kufubaza virusi.
Ndio maana unasikia wanasema kafariki kwa kansa, ugonjwa wa moyo, kisukari au figo lakini
wengi wao wanakuwa na HIV muda mrefu tuu iliyopelekea kupata hayo magonjwa mengine.
Hivyo kwa mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi ili apunguze hatari hizo hapo juu
anapaswa afuatilie afya yake kwa umakini sana, kunywa dawa kwa usahihi,
kupima afya mara kwa mara na kutibu magonjwa kwa wakati.