UKIMWI jamani, UKIMWI!

UKIMWI jamani, UKIMWI!

Nenda sinza pale kati kuna loji moja ya waiti hivi ukiingia apo watu wamejitoa loki. Ni kama dunia hii hamna hili gonjwa maana watu wanajilia tu. Ukipita korido ni fulu mishindo inakitwa apo au nenda pale chama buguruni kuna baa ya ovyoovyo karibu na stendi ni balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jina la hyo loji tafadhali na mahali ilipo
 
Kitaalamu inaitwa hepatitis B inasababishwa na kirusi kinachoitwa:-

Hepadnaviridae
(a family of viruses. Humans, apes, and birds serve as natural hosts. There are currently over 12 species in this family, divided among 5 genera. Its best-known member is hepatitis B virus) source Wikipedia

ilikuwepo muda mrefu lakini sahivi mahospitalini imeonekana kunawagonjwa wapya wengi mno..

Huwa inapelekea cancer ya Ini ukiipata hutegemea uwezo wa kinga yako ya mwili kama ipo vizuri utapona kupitia kinga ya mwili.

Huambukizwa kwa njia sawa na Ukimwi isipokuwa hii hata kwa mate unawezaipata..!
Kama unakinga ya mwili dhaifu inakuwa ni hatari maana kinga yako ndio kupona kwako.

Habari njema ni kwamba inachanjo, Inatolewa hospitali ya ocean road(ndio gharama nafuu tofauti na kwingine ninavyo fahamu...!)
hivi huwa inapatwaje hiyo?

ahsante sana
 
Watu wakikimbiana na ukimwi kwishney. Corona ni hatari zaidi.
Ukimwi angalao una kamuda ka kuaga ndugu na marafiki kisha unakula na mtaji ili watoto wasije kuuwana kwenye urithi
Ila covid19 unakohoa kohoa tu kisha unavuta ndani ya wiki
 
Ni kumuomba MUNGU tu aieee, hizi ngono zinazofanyika ni za kiwango cha SGR hakuna cha kondomu wala vilainishi, watu wanatumia mate. Hatari
 
Back
Top Bottom