Ukimwi: Mbeki atuhumiwa kupotosha umma

jamanii,kwa hiyo ukimwi haupo na hauambukizi kwa kujamiiana wala kuchangia damu,na watu wanaumwaga vitu vingine Tu sio ukimwi,sasa hawa madaktari wetu wanatudanganya au nao hawajui kitu?


Nadhani watu wengi bado wanakanganya hili neno UKIMWI. Mkuu Dinazarde, Ukimwi sio ugonjwa. Ukimwi (Upungufu wa Kinga Mwilini) ni hali ambapo kinga ya mwili ya asili (immune system) kushuka au kupungua. Hali hiyo (yani Ukimwi) ndo sasa huruhusu magonjwa/infections mbali mbali kuweza kuingia mwilini kirahisi kisha mtu anaanza kuugua.

So ukimwi sio ugonjwa na wala hauambukizwi from one person to another kwa njia yoyote ile. Bali Ukimwi ni hali ya kushuka/kupungua kwa kinga mwilini, kisha sasa mtu huyo anaanza kuugua magonjwa haya haya yanayofahamika tangu zamani, mfano anaweza kuugua TB, Mapele, Kuharisha, Maralia, n.k. Pia mtu anaweza kuwa na Ukimwi (yaani kinga yake imepungua) na asiugue ugonjwa wowote, inategemea na exposure to the infection!

Watu wote hupata Ukimwi (yaani kinga kupungua) katika nyakati mbali mbali za maisha yao. Na ndio maana watu wengi, karibia wote (hasa Africa), huwa tunaugua magonjwa hayo hayo Maralia, Typhoid, TB, Kuharisha, n.k from time to time na tunapona kwa dawa zilizopo.

Hivyo basi, ili hoja yako hiyo ijibiwe vzuri, ulitakiwa umuulize kwa namna hii:

"Kwa hiyo Virusi Vya Ukimwi (V.V.U / H.I.V) havipo na haviambukizwi kwa kujamiiana wala kuchangia damu?? na watu wanapata Ukimwi kwa sababu zingine tu sio VVU/HIV ?? sasa hawa madaktari wetu wanatudanganya au nao hawajui kitu? "

N.B: Kama umefuatilia vizuri uzi huu tangu mwanzo, hii hoja tayari ilishajibiwa mara kadhaa kwenye uzi huu.

-Kaveli-
 

1.Mkuu,kuhusu ufafanuzi wa vipimo ni suala pana.Lakini nadhani hutajali nikikushauri ufuatilie kwenye mitandao kuna kila kitu kuhusu vipimo hivyo,na kwa kuwa unajua kiingereza basi nina uhakika hutakwama,utajua tu.Pia unaweza kupata wadau wengine wakajikita kukuelezea humuhumu.Nikiamua kuelezea undani wa vipimo mada itakuwa ndefu sana.

2.Kuhusu vipimo vya antibodies vya syphilis,Typhoid nk;Turudi palepale mwanzo kwa kujiuliza hivi,Je,vijidudu vya typhoid,syphilis na hata malaria au TB vimeshawahi kuonekana kutoka kwa wagonjwa?Jibu lake ni,kweli vimeshawahi kuonekana na vinaendelea kuonekana,hatuishii hapo tu,bali hata tabia zao na jinsi vinavyosababisha magonjwa pia inajulikana.Kwa maana hiyo hakuna utata kwamba typhoid,malaria,TB,syphilis yanasababishwa na vijidudu hivyo tulivyoambiwa.Sasa kuhusu vipimo vyao vya antibodies,huku tunatakiwa kugusa mambo mengi sana,kwa maana ya manufaa ya kibiashara ya vipimo,urahisi wa kupima nk.Kwa maana hata wakiamua kupima kwa kuviona hivyo vijidudu tajwa hapo juu nina uhakika wataviona tu kama kweli mgonjwa anavyo,lakini wao kuamua kutumia antibodies tests kuna mambo mengi ndani yake,hivyo hatuwezi kulinganisha magonjwa haya na uongo wa HIV/AIDS kwa kuwa HIV hajawahi kuonekana,na kwa kuwa hajawahi kuonekana hivyo kutengeneza vipimo vya antibodies zake ni kama kutaka kurubuni akili zetu tu.

3.Kuhusu rashes;Labda nikuhakikishie kitu kimoja kuhusu western medicine:

Western medicine hawatibu magonjwa ambayo sio infectious/yaani yasiosababishwa na vijidudu.Mfano kisukari,cancer/saratani,vitiligo/autoimmune nk.Western medicine wamejikita katika kutibu dalili tu za magonjwa haya,lakini chanzo chake kinabaki palepale,na ndio maana huwa wanasema kisukari au cancer au vitiligo nk ni magonjwa yasiyokuwa na tiba,hii ni kwasababu wana deal na dalili tu,na sio chanzo.

Sasa kama kweli rashes zako hazisababishwi na vijidudu,basi hawawezi kukutibu.Na pia kama hazisababishwi na vijidudu basi nenda kapime blood pH yako,nina uhakika haitakuwa normal,nenda kapime uthibitishe hilo.Siwezi kukuliza humu baadhi ya maswali,lakini nina uhakika kuna sababu fulani za msingi zilizopelekea blood acidity yako kubadilika.

Normal blood acidity/pH ni 7.365 na ipo kwenye range ya 7.35 na 7.45.Blood pH ndio buffer ya kila tissue na organs katika mwili ikiwemo hiyo ngozi yako,pH ya ngozi yako inarekebishwa na damu yako,kama pH ya damu yako haiko sawa lazima pH ya ngozi yako pia haitakuwa sawa.Sasa nenda kacheki ya kwako.Ukishamaliza nitakushauri cha kufanya ili uondokane na tatizo kilo kabisa,na wewe mwenyewe utashangaa,sitahitaji unipe pesa yoyote,ni ushauri tu,nitakushauri humuhumu kwa faida ya wote halafu ulete ushuhuda kwa faida ya wote.Haya mambo ni rahisi sana,ukiyajua hutakuwa mtumwa tena.

Western medicine ina nafasi yake katika tiba,nakubali hilo.Lakini kuna magonjwa mengi western medicine haitibu,hapa ndipo unatakiwa kwenda nje ya western medicine,hutakiwi kusema kwamba "ahaa ugonjwa huo hauna tiba bwana",western medicine kushindwa kuutibu haina maana kwamba ugonjwa husika hauna tiba.

Karibu sana.
 
Ok, ngoja nitafute hicho kipimo. Vinapatikana hospitali ya kawaida? Au niende big hospitals
 
Ok, ngoja nitafute hicho kipimo. Vinapatikana hospitali ya kawaida? Au niende big hospitals

Hata hospitali za kawaida,ila wengine hupima urine pH,sikiliza daktari atakwambia nini,lakini mwisho wa siku uje na jibu.Au jaribu kupata ushauri kutoka kwenye pharmacy kubwa wanaweza kuwa na pH tests.
 
Nimekuelewa kwa mambo mengi lakini umenpoteza kwenye suala la ARV
 
jamanii,kwa hiyo ukimwi haupo na hauambukizi kwa kujamiiana wala kuchangia damu,na watu wanaumwaga vitu vingine Tu sio ukimwi,sasa hawa madaktari wetu wanatudanganya au nao hawajui kitu?
Dina,

Nani kasema hakuna Ukimwi?

Ukimwi upo lakini ni ugonjwa ambao hausababishwi na kirusi yoyote yule bali mtindo wako wa maisha tu na una dawa.....
 
jamanii,kwa hiyo ukimwi haupo na hauambukizi kwa kujamiiana wala kuchangia damu,na watu wanaumwaga vitu vingine Tu sio ukimwi,sasa hawa madaktari wetu wanatudanganya au nao hawajui kitu?
Dina,

Nani kasema hakuna Ukimwi?

Ukimwi upo lakini ni ugonjwa ambao hausababishwi na kirusi yoyote yule bali mtindo wako wa maisha tu na una dawa.....
 
Dina,

Nani kasema hakuna Ukimwi?

Ukimwi upo lakini ni ugonjwa ambao hausababishwi na kirusi yoyote yule bali mtindo wako wa maisha tu na una dawa.....
Nashindwa kuamini, kila nikijitahidi kuaminisha nafsi yangu suala hilo nashindwa kabisa.
 
Mi nimesoma mara nyingi maelezo ya Deception lakini jambo moja ambalo nadhani hajaweza kutoa maelezo ya kuniridhisha ni mbona tunashuhudia mtu anapimwa anakutwa kaathirika anaweza kukaa bila kuumwa for sometime lakini baadae ataugua ukimwi na kufa.
Tatizo lako la kwanza nimeliona hapa,unahitimisha kwamba waliugua Ukimwi na kufa [hapa nadhani unamaanisha HIV/AIDS] hivi una uthibitisho upi kuwa ndio walikuwa wanaugua huo ugonjwa?

Kitu cha msingi ambacho tunawasisitiza hapa ni kuacha kuhitimisha kuwa ni kitu fulani kimemuua mtu kabla ya kutoa uthibitisho kuwa ni kweli hivyo ndivyo ilivyo

Umeambiwa ni hiki kinamsumbua huyu unaishia kuamini na kuhitimisha kuwa hicho ndicho kimemuua bila kuchunguza,hii ni hatari sana
Yaani ingekuwa ni kitu hakipo isingekuwa inajirudia hivyo hivyo kwa watu wengi kiasi hicho.
Nani kasema hakuna nini?

Kinachosemwa hapa hakipo ni virus wa HIV na sio Ukimwi,Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini na ni tatizo ambalo lilikuwepo tangu zamani sana na linasababisha vifo au kifo kwa mtu ambae hatalishughulikia tatizo hili

Linasababisha kifo kwasababu unapokosa kinga utashambuliwa na maradhi ambayo ndiyo yatapelekea kifo.....

Sasa ambacho hakipo sijui ni nini unachoshangaa hapo
Labda uniambie kuna vimelea vingine ambavyo sio HIV vinavyosababisha ukimwi.
Uambiwe mara ngapi kuwa mtindo wa maisha wa watu ndio unaosababisha Ukimwi?

Kama mtu habadili mtindo wake wa maisha kwanini tatizo lile lile lisiibuke mfululizo kwa vipindi tofauti?
lakini kusema hakuna kabisa na watu wanakufa tunawaona,
Hakuna nini?
ndugu jamaa marafiki na hata watoto wanazaliwa wameathirika tunawafahamu na wanaishi afya mgogoro hadi wanakufa.
Watoto wamezaliwa wameathirika nini?

Ukimwi hauambukizwi,hata madaktari wanajua hilo,hakuna kirusi kinachosababisha haya matatizo ya kiafya,wewe unasema wamezaliwa wameathirika,wameathirika nini?

Watoto kuzaliwa na matatizo ya kiafya ni kitu kinachoeleweka,watoto wanazaliwa na maradhi kibao yanayosababisha afya mgogoro,hili nalo ni ajabu kwako?
Family anaanza mume afya mgogoro anakuja anafuata mama dalili zilezile za ukimwi anakufa Kama hakuna vimelea vyovyote vimewapata basi ni nini?
Soma hii thread kuna mahali Deception amejibu swali hili kwa ufasaha naona hujasoma....

Hili sio ajabu watu kufa kwa kufuatana na maradhi yale yale....

Jifunze uelewe na utajua tu uongo wa jambo hili ulipo.....
 
Unashindwa kuamini kipi?
Kwamba virusi vya ukimwi havipo. Inakuwaje mtu alishafiwa na mume wake baada ya miaka kadhaa nayeye anaanza kuumwa dalili zilezile?

Kutokana na maelezo mmesema kwamba watu wanafariki kwa kufuatana kutokana na kuambukizana sasa je mbona akifa mume kwa ukimwi unakuta hafuatii dada wa kazi kufariki bali anafuatia mke wake? Na unakuta wanakaa nyumba moja.
 
Mkuu naona nazidi kukuelewa, sasa naomba tuzungumzie life style gani inaweza kukufanya upate ukimwi (hapo nishafutilia mbali mambo ya Hiv) na life style gani ukiishi unakuwa na nafasi kubwa ya kutopata ukimwi.
 
Nashukuru kwa somo zuri, asante kwa kutuelimisha.
Mimi swali langu je? Mtu au mgonjwavaliyewahi kutumia hizi ARVs anaweza kuacha bila ya kumletea madhara?
 
Mkuu naona nazidi kukuelewa, sasa naomba tuzungumzie life style gani inaweza kukufanya upate ukimwi (hapo nishafutilia mbali mambo ya Hiv) na life style gani ukiishi unakuwa na nafasi kubwa ya kutopata ukimwi.
Mtindo wa maisha wa kula vyakula vya vuwandani ambavyo ni hatari kwa afya ya binadamu....

Kutumia madawa ya kimagharibi kwa muda mrefu hasa madawa kama ARVs...

Matumizi ya madawa ya kulevya....

Matumizi ya vileo vikali kama gongo,viroba n.k....

Na mambo mengine ya kufanana na hayo....

Unachotakiwa ni kuishi maisha chanya,epuka msongo wa mawazo,kunywa majimengi ambayo ni safi na salama,fanya mazoezi,kula matunda na pumzika vizuri haya maradhi utaishia kuyasikia kwa jirani tu......
 
Nashukuru kwa somo zuri, asante kwa kutuelimisha.
Mimi swali langu je? Mtu au mgonjwavaliyewahi kutumia hizi ARVs anaweza kuacha bila ya kumletea madhara?
Kwa namna ninavyojua ni kwamba inategemea na muda ambao mhusika ametumia...

Kama ni muda mrefu kuna namna ambayo wataalam wanashauri aitumie katika kuacha,ngoja aje Deception atakueleweza vizuri zaidi....

Lakini inawezekana kuacha na usipate madhara kama madawa hayo hayajaleta athari kubwa kwa mhusika....
 
Mkuu embu nipe maelezo zaidi kuhusu vile vipimo vya hiv.

Vinapima nini sasa kama hiv wenyewe hawa exist?

Na inakuwaje mtu ukishakuwa positive ata ufanye nini kila ukipimwa unakuwa positive hivohivo?
 
Waelimishaji taratibu naanza kuwaelewa pia nimepita kwenye mitandao kadhaa nimeona kuwa ni kweli HIV haionekani kwenye vipimo na tena Kuna watafiti Doctors na Profs wamewahi kupinga dhana ya Hiv / Aids kwa tafiti. Sasa hebu tuweke kando HIV tuzungumzie moja kwa moja kwamba Ukimwi zaidi ni swala la life style kama mlivyoeleza. Mi naomba sasa muweke wazi life style ipi italeta ukimwi na ni life Style gani Ukiishi unakuwa na nafasi kubwa ya kutopata ukimwi (najua haitakuwa 100% lakini tu-assume ceteris paribus)
 
Mkuu embu nipe maelezo zaidi kuhusu vile vipimo vya hiv.

Vinapima nini sasa kama hiv wenyewe hawa exist?

Na inakuwaje mtu ukishakuwa positive ata ufanye nini kila ukipimwa unakuwa positive hivohivo?
Mkuu,

Unapotaka kupata maarifa pinguza uviovu wa kusoma,majibu ya haya maswali yako yako humu humu kwenye huu uzi lakini naona unaendelea tu kuuliza....

Vipimo vya HIV vinapima antibody ambazo wao wanadhani mwili umezitoa ili kupambana na hao virusi wakati uwepo wao ni kitendawili ambacho wameshindwa kukitegua,ukitaka kujua zaidi kuhusu hili angali replay nyingi huko juu utaona majibu ya kina

Sio kweli kwamba mtu akipima leo na kukutwa HIV+ na kesho akipima itakuwa hivyo hivyo,wapo watu wengi wamepima mara nne na majibu yote yamekuwa tofauti.....

Kwahiyo sio kweli kwamba ukipimwa mara ya kwanza ukakutwa HIV+ basi mara zote ukipima utakutwa hivyo hivyo.....
 
Soma hapo juu nimeshajibu swali lako mkuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…