Ukimwi: Mbeki atuhumiwa kupotosha umma

Ukimwi: Mbeki atuhumiwa kupotosha umma

jamanii,kwa hiyo ukimwi haupo na hauambukizi kwa kujamiiana wala kuchangia damu,na watu wanaumwaga vitu vingine Tu sio ukimwi,sasa hawa madaktari wetu wanatudanganya au nao hawajui kitu?

Nadhani watu wengi bado wanakanganya hili neno UKIMWI. Mkuu Dinazarde, Ukimwi sio ugonjwa. Ukimwi (Upungufu wa Kinga Mwilini) ni hali ambapo kinga ya mwili ya asili (immune system) kushuka au kupungua. Hali hiyo (yani Ukimwi) ndo sasa huruhusu magonjwa/infections mbali mbali kuweza kuingia mwilini kirahisi kisha mtu anaanza kuugua.

So ukimwi sio ugonjwa na wala hauambukizwi from one person to another kwa njia yoyote ile. Bali Ukimwi ni hali ya kushuka/kupungua kwa kinga mwilini, kisha sasa mtu huyo anaanza kuugua magonjwa haya haya yanayofahamika tangu zamani, mfano anaweza kuugua TB, Mapele, Kuharisha, Maralia, n.k. Pia mtu anaweza kuwa na Ukimwi (yaani kinga yake imepungua) na asiugue ugonjwa wowote, inategemea na exposure to the infection!

Watu wote hupata Ukimwi (yaani kinga kupungua) katika nyakati mbali mbali za maisha yao. Na ndio maana watu wengi, karibia wote (hasa Africa), huwa tunaugua magonjwa hayo hayo Maralia, Typhoid, TB, Kuharisha, n.k from time to time na tunapona kwa dawa zilizopo.

Hivyo basi, ili hoja yako hiyo ijibiwe vzuri, ulitakiwa umuulize kwa namna hii:

"Kwa hiyo Virusi Vya Ukimwi (V.V.U / H.I.V) havipo na haviambukizwi kwa kujamiiana wala kuchangia damu?? na watu wanapata Ukimwi kwa sababu zingine tu sio VVU/HIV ?? sasa hawa madaktari wetu wanatudanganya au nao hawajui kitu? "

N.B: Kama umefuatilia vizuri uzi huu tangu mwanzo, hii hoja tayari ilishajibiwa mara kadhaa kwenye uzi huu.

-Kaveli-
 
Deception naomba unipe ufafanuzi juu ya suala la kipimo cha UKIMWI. Unasema vipimo vya ukimwi havipimi presence of viruses in the blood, right? Na hakuna aliyewahi kuona kirusi cha UKIMWI. I agree

Lakini je, unakijua kipimo cha VDRL na wilder (correct if wrong) tests? VDRL inatumika kujua kama mgonjwa ana syphilis kwa kuangalia hizo hizo antibodies lkn mbona hiki kipimo kinaaminika na ni cha kweli? Hata cha typhoid, hawapimi uwepo wa salmonella typhi kwa kuhakikisha wamemuona bali kwa kupima antibodies hizo hizo.

Na unisaidie hapa pia, nilishawahi kwenda hospital kwa sababu ya non-itching rashes kwenye ngozi. Docta akaniandikia nipime VDRL, nakumbuka ilikua mwaka 2011. Majibu yakatoka "active" kwamba nina syphilis!!! Niligombana na daktari kwamba vipimo vyao vya uongo coz nilikua sijashiriki kitendo chochote kati ya vile vinavyosababisha syphilis. Na hizo rashes ninazo tangu 2008, nishatumia dawa nyingi bila matokeo mazuri.

Utata ulikua mkubwa lkn mwisho wa siku nikakubali nidungwe sindano za penadu. Nikamaliza dozi, rashes ninazo mpaka leo hii hapa ninapoandika hii reply. Ninashiriki mapenzi bila kinga na partner wangu na wala yeye hajawahi kuugua chochote. Na kama ilikua ni syphilis saa hizi ningekua nishakufa. Hii nayo ni nn?

1.Mkuu,kuhusu ufafanuzi wa vipimo ni suala pana.Lakini nadhani hutajali nikikushauri ufuatilie kwenye mitandao kuna kila kitu kuhusu vipimo hivyo,na kwa kuwa unajua kiingereza basi nina uhakika hutakwama,utajua tu.Pia unaweza kupata wadau wengine wakajikita kukuelezea humuhumu.Nikiamua kuelezea undani wa vipimo mada itakuwa ndefu sana.

2.Kuhusu vipimo vya antibodies vya syphilis,Typhoid nk;Turudi palepale mwanzo kwa kujiuliza hivi,Je,vijidudu vya typhoid,syphilis na hata malaria au TB vimeshawahi kuonekana kutoka kwa wagonjwa?Jibu lake ni,kweli vimeshawahi kuonekana na vinaendelea kuonekana,hatuishii hapo tu,bali hata tabia zao na jinsi vinavyosababisha magonjwa pia inajulikana.Kwa maana hiyo hakuna utata kwamba typhoid,malaria,TB,syphilis yanasababishwa na vijidudu hivyo tulivyoambiwa.Sasa kuhusu vipimo vyao vya antibodies,huku tunatakiwa kugusa mambo mengi sana,kwa maana ya manufaa ya kibiashara ya vipimo,urahisi wa kupima nk.Kwa maana hata wakiamua kupima kwa kuviona hivyo vijidudu tajwa hapo juu nina uhakika wataviona tu kama kweli mgonjwa anavyo,lakini wao kuamua kutumia antibodies tests kuna mambo mengi ndani yake,hivyo hatuwezi kulinganisha magonjwa haya na uongo wa HIV/AIDS kwa kuwa HIV hajawahi kuonekana,na kwa kuwa hajawahi kuonekana hivyo kutengeneza vipimo vya antibodies zake ni kama kutaka kurubuni akili zetu tu.

3.Kuhusu rashes;Labda nikuhakikishie kitu kimoja kuhusu western medicine:

Western medicine hawatibu magonjwa ambayo sio infectious/yaani yasiosababishwa na vijidudu.Mfano kisukari,cancer/saratani,vitiligo/autoimmune nk.Western medicine wamejikita katika kutibu dalili tu za magonjwa haya,lakini chanzo chake kinabaki palepale,na ndio maana huwa wanasema kisukari au cancer au vitiligo nk ni magonjwa yasiyokuwa na tiba,hii ni kwasababu wana deal na dalili tu,na sio chanzo.

Sasa kama kweli rashes zako hazisababishwi na vijidudu,basi hawawezi kukutibu.Na pia kama hazisababishwi na vijidudu basi nenda kapime blood pH yako,nina uhakika haitakuwa normal,nenda kapime uthibitishe hilo.Siwezi kukuliza humu baadhi ya maswali,lakini nina uhakika kuna sababu fulani za msingi zilizopelekea blood acidity yako kubadilika.

Normal blood acidity/pH ni 7.365 na ipo kwenye range ya 7.35 na 7.45.Blood pH ndio buffer ya kila tissue na organs katika mwili ikiwemo hiyo ngozi yako,pH ya ngozi yako inarekebishwa na damu yako,kama pH ya damu yako haiko sawa lazima pH ya ngozi yako pia haitakuwa sawa.Sasa nenda kacheki ya kwako.Ukishamaliza nitakushauri cha kufanya ili uondokane na tatizo kilo kabisa,na wewe mwenyewe utashangaa,sitahitaji unipe pesa yoyote,ni ushauri tu,nitakushauri humuhumu kwa faida ya wote halafu ulete ushuhuda kwa faida ya wote.Haya mambo ni rahisi sana,ukiyajua hutakuwa mtumwa tena.

Western medicine ina nafasi yake katika tiba,nakubali hilo.Lakini kuna magonjwa mengi western medicine haitibu,hapa ndipo unatakiwa kwenda nje ya western medicine,hutakiwi kusema kwamba "ahaa ugonjwa huo hauna tiba bwana",western medicine kushindwa kuutibu haina maana kwamba ugonjwa husika hauna tiba.

Karibu sana.
 
Ok, ngoja nitafute hicho kipimo. Vinapatikana hospitali ya kawaida? Au niende big hospitals
 
Ok, ngoja nitafute hicho kipimo. Vinapatikana hospitali ya kawaida? Au niende big hospitals

Hata hospitali za kawaida,ila wengine hupima urine pH,sikiliza daktari atakwambia nini,lakini mwisho wa siku uje na jibu.Au jaribu kupata ushauri kutoka kwenye pharmacy kubwa wanaweza kuwa na pH tests.
 
Wewe unaonekana una nia ya kuelewa,napenda sana watu kama ninyi,sasa tuliza akili zako vizuri kabisa wakati unasoma haya ninayoandika.Najua @Kavel na Mish Albert wameelezea vizuri sana ila hawawezi kuelezea mambo yote kwenye post moja kutokana na upana/wigo wa suala lenyewe.

Sasa tuliza akili na usome hapa chini;

Waliotudanganya kuhusu HIV/AIDS wametumia akili nyingi sana kwa kuugawanya uongo huu katika nyanja kuu 4 zifuatazo;
1.Historia ya HIV/AIDS;
Wametumia vyombo vyao vya habari kurubuni akili za watu kwa kutangaza nadharia tofauti tofauti kuhusu wapi HIV/AIDS ilianzia huku kusudi lao lilikuwa kuwafanya watu walemae akili na wasijue chanzo halisi.Lakini ukweli ni kwamba hata hiyo HIV/AIDS yenyewe inayotungiwa nadharia hizo haipo kiuhalisia.HIV/AIDS ni ugonjwa wa matangazo tu,yaani matangazo haya yamerudiwa mara nyingi kwenye vyombo vya habari yakiambatana na picha za kutisha ili kuwaogopesha watu.Watu hawajui kwamba magonjwa yanayouwa watu hao wanaoonekana kwenye picha au mitaani/mahospitalini ni magonjwa yaleyale ya zamani yanayofahamika na yana tiba zake.Akili za watu zimetekwa na vyombo vya habari na haziwezi tena kufikiri tofauti na kile kilichotangazwa.

2.Nadharia ya HIV/AIDS;Kwamba ukimwi unasababishwa na HIV,na HIV huambukizwa kwa njia ya ngono,na HIV anaua na hana dawa.

Kwanza kabisa neno 'ukimwi' linaonekana kubwa sana na lakutisha kwa watu wengi kutokana na ukosefu wa uelewa.UKIMWI=Upungufu wa Kinga Mwilini.Sasa upungufu wa kinga kila mtu anaweza kuwa nao wakati wowote kwa sababu mbalimbali(lakini sio HIV).Na ukimwi huondoka wakati mwingine hata bila mtu kujijua,hata wewe na mimi inawezekana muda huu tuna tunaoandika humu tuna ukimwi.Ukiona mtu anaumwa malaria mara kwa mara ujue ana ukimwi,ukiona mtu anaumwa TB ujue ana ukimwi,lakini watu hawa wote wanatibiwa na kupona magonjwa yao na kuendelea na shughuli zao,LAKINI HAWANA HIV.Hivyo ukimwi umepata umaarufu kupitia vyombo vya habari,lakini hapo mwanzo(kabla ya kutangazwa HIV) wala watu hawakuujali na hawakuuzungumzia ukimwi kwa kuwa ukimwi sio kitu cha kutisha.Ukimwi ni hali tu ya kinga ya mwili kushuka,pia kinga hupanda kama mtu anabadili utaratibu wa maisha uliomsababisha kinga yake kushuka.

HIV hayupo na haambukizwi kwa njia ya ngono.Kwa maana hiyo kinachosababisha ukimwi wenzangu walishakizungumzia,si lazima nikirudie.

3.Vipimo vya HIV;Vipimo hivi ni feki,havipimi HIV kama watu walivyoaminishwa kupitia vituo vya afya na vyombo vya habari.Wenzangu walishalizungumzia hili pia,si lazima nirudie.

4.Dawa za ARVs;Wanasema kwamba ARVs ndio suluhisho pekee kwa sasa kuhusu HIV/AIDS.Sasa hapa ndipo matatizo yanapoanzia,kwa mtu mwenye uvivu wa kufikiri hapa ndipo tunapoachana njia,huyu kule na huyu huku,hivyo kuwa makini hapa.Nitazungumzia hili kwa kujibu maswali yako hapo juu kwenye bold.

Sasa watu wote ambao ni wagumu kuelewa kama tumedanganywa ujue ubongo wao umesharubuniwa kwenye nyanja hizo kuu 4 hapo juu.Tafakari nyanja hizo utajua tu.

Mtiririko wa mwongozo wa tafakari jinsi tulivyokubali kudanganywa kuhusu nyanja hizo 4:

-Kwanza kabisa mwaka 1984 wamekutangazia kuhusu janga ambalo linaonekana ni jipya duniani,janga hilo linaitwa Ukimwi(kumbuka nilikwambia ukimwi si kitu kipya).Wakasema ukimwi unaua.Wakaendelea kukudanganya kwa kutaja dalili za ukimwi huku zikiambatana na picha za kutisha kupitia vyombo vyao vya habari.(hapa wanataka kukuogopesha ili siku wakisema wamepata dawa basi uikimbilie hiyo dawa).

-Halafu wakakwambia kwamba ukimwi unasababishwa na kijidudu kiitwacho HIV.Wakaendelea kusema kwamba HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono na hana dawa.(fahamu kwamba,kati ya ndoa zote ambazo mmoja au wote wawili wamepimwa HIV+,basi ujue kwamba 90% ya ndoa hizo utakuta mmoja amepimwa HIV+ lakini mwingine ni HIV- halafu hata watoto utakuta ni HIV- na ndoa hii ni ya muda mrefu),hata wewe chunguza mtaani kwako lazima utakuta ndoa ya namna hii,hii inaonesha jinsi ndoa za namna hii zilivyo nyingi,lakini pamoja na hayo yote watu bado wanaamini HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono.

-Halafu wakaja wakakwambia kwamba wamepata njia ya kumpima HIV kwenye damu ya mtu.Vipimo hivi ndio njia pekee ya wao kupata watu ambao watatumia ARVs pale vipimo vitakapoonesha majibu ya HIV+.Kumbuka nilishasema vipimo havipimi HIV.

-Halafu wakaja wakasema kwamba wamegundua dawa za kurefusha maisha ziitwazo ARVs.Je,ni nani angependa kufa mapema pale atakapoambiwa kwamba ana HIV?Sasa unajionea mwenyewe jinsi hawa jamaa walivyozi set akili za watu ili zikubaliane na kile wanachokitaka wao.Kila mtu atakimbilia kula ARVs ili kurefusha maisha kwa maana HIV anaua na hana dawa nyingine kama tulivyoambiwa,pia hakuna mtu atakayebisha kwamba ana HIV wakati ameambiwa ni HIV+ wakati anapimwa,kwa maana ameambiwa HIV huambukizwa kwa njia ngono,na karibu kila mtu anajua kwenye nafsi yake kwamba alishawahi kufanya ngono.Yaani hawa jamaa wamepata watu wengi sana kwa kuwa kundi la wafanyaji ngono ni kubwa sana kuliko la wasiofanya ngono.Sasa ARVs ndizo zinazosababisha vifo kwa wale wanaozitumia.

Nitakujibu swali lako kwenye reply nyingine ili kupunguza urefu wa post yangu.Lakini ili unielewe majibu nitakayokupa,lazima kwanza uelewe reply hii.
Nimekuelewa kwa mambo mengi lakini umenpoteza kwenye suala la ARV
 
jamanii,kwa hiyo ukimwi haupo na hauambukizi kwa kujamiiana wala kuchangia damu,na watu wanaumwaga vitu vingine Tu sio ukimwi,sasa hawa madaktari wetu wanatudanganya au nao hawajui kitu?
Dina,

Nani kasema hakuna Ukimwi?

Ukimwi upo lakini ni ugonjwa ambao hausababishwi na kirusi yoyote yule bali mtindo wako wa maisha tu na una dawa.....
 
Nashindwa kuamini, kila nikijitahidi kuaminisha nafsi yangu suala hilo nashindwa kabisa.
 
Mi nimesoma mara nyingi maelezo ya Deception lakini jambo moja ambalo nadhani hajaweza kutoa maelezo ya kuniridhisha ni mbona tunashuhudia mtu anapimwa anakutwa kaathirika anaweza kukaa bila kuumwa for sometime lakini baadae ataugua ukimwi na kufa.
Tatizo lako la kwanza nimeliona hapa,unahitimisha kwamba waliugua Ukimwi na kufa [hapa nadhani unamaanisha HIV/AIDS] hivi una uthibitisho upi kuwa ndio walikuwa wanaugua huo ugonjwa?

Kitu cha msingi ambacho tunawasisitiza hapa ni kuacha kuhitimisha kuwa ni kitu fulani kimemuua mtu kabla ya kutoa uthibitisho kuwa ni kweli hivyo ndivyo ilivyo

Umeambiwa ni hiki kinamsumbua huyu unaishia kuamini na kuhitimisha kuwa hicho ndicho kimemuua bila kuchunguza,hii ni hatari sana
Yaani ingekuwa ni kitu hakipo isingekuwa inajirudia hivyo hivyo kwa watu wengi kiasi hicho.
Nani kasema hakuna nini?

Kinachosemwa hapa hakipo ni virus wa HIV na sio Ukimwi,Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini na ni tatizo ambalo lilikuwepo tangu zamani sana na linasababisha vifo au kifo kwa mtu ambae hatalishughulikia tatizo hili

Linasababisha kifo kwasababu unapokosa kinga utashambuliwa na maradhi ambayo ndiyo yatapelekea kifo.....

Sasa ambacho hakipo sijui ni nini unachoshangaa hapo
Labda uniambie kuna vimelea vingine ambavyo sio HIV vinavyosababisha ukimwi.
Uambiwe mara ngapi kuwa mtindo wa maisha wa watu ndio unaosababisha Ukimwi?

Kama mtu habadili mtindo wake wa maisha kwanini tatizo lile lile lisiibuke mfululizo kwa vipindi tofauti?
lakini kusema hakuna kabisa na watu wanakufa tunawaona,
Hakuna nini?
ndugu jamaa marafiki na hata watoto wanazaliwa wameathirika tunawafahamu na wanaishi afya mgogoro hadi wanakufa.
Watoto wamezaliwa wameathirika nini?

Ukimwi hauambukizwi,hata madaktari wanajua hilo,hakuna kirusi kinachosababisha haya matatizo ya kiafya,wewe unasema wamezaliwa wameathirika,wameathirika nini?

Watoto kuzaliwa na matatizo ya kiafya ni kitu kinachoeleweka,watoto wanazaliwa na maradhi kibao yanayosababisha afya mgogoro,hili nalo ni ajabu kwako?
Family anaanza mume afya mgogoro anakuja anafuata mama dalili zilezile za ukimwi anakufa Kama hakuna vimelea vyovyote vimewapata basi ni nini?
Soma hii thread kuna mahali Deception amejibu swali hili kwa ufasaha naona hujasoma....

Hili sio ajabu watu kufa kwa kufuatana na maradhi yale yale....

Jifunze uelewe na utajua tu uongo wa jambo hili ulipo.....
 
Unashindwa kuamini kipi?
Kwamba virusi vya ukimwi havipo. Inakuwaje mtu alishafiwa na mume wake baada ya miaka kadhaa nayeye anaanza kuumwa dalili zilezile?

Kutokana na maelezo mmesema kwamba watu wanafariki kwa kufuatana kutokana na kuambukizana sasa je mbona akifa mume kwa ukimwi unakuta hafuatii dada wa kazi kufariki bali anafuatia mke wake? Na unakuta wanakaa nyumba moja.
 
Tatizo lako la kwanza nimeliona hapa,unahitimisha kwamba waliugua Ukimwi na kufa [hapa nadhani unamaanisha HIV/AIDS] hivi una uthibitisho upi kuwa ndio walikuwa wanaugua huo ugonjwa?

Kitu cha msingi ambacho tunawasisitiza hapa ni kuacha kuhitimisha kuwa ni kitu fulani kimemuua mtu kabla ya kutoa uthibitisho kuwa ni kweli hivyo ndivyo ilivyo

Umeambiwa ni hiki kinamsumbua huyu unaishia kuamini na kuhitimisha kuwa hicho ndicho kimemuua bila kuchunguza,hii ni hatari sana

Nani kasema hakuna nini?

Kinachosemwa hapa hakipo ni virus wa HIV na sio Ukimwi,Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini na ni tatizo ambalo lilikuwepo tangu zamani sana na linasababisha vifo au kifo kwa mtu ambae hatalishughulikia tatizo hili

Linasababisha kifo kwasababu unapokosa kinga utashambuliwa na maradhi ambayo ndiyo yatapelekea kifo.....

Sasa ambacho hakipo sijui ni nini unachoshangaa hapo

Uambiwe mara ngapi kuwa mtindo wa maisha wa watu ndio unaosababisha Ukimwi?

Kama mtu habadili mtindo wake wa maisha kwanini tatizo lile lile lisiibuke mfululizo kwa vipindi tofauti?

Hakuna nini?

Watoto wamezaliwa wameathirika nini?

Ukimwi hauambukizwi,hata madaktari wanajua hilo,hakuna kirusi kinachosababisha haya matatizo ya kiafya,wewe unasema wamezaliwa wameathirika,wameathirika nini?

Watoto kuzaliwa na matatizo ya kiafya ni kitu kinachoeleweka,watoto wanazaliwa na maradhi kibao yanayosababisha afya mgogoro,hili nalo ni ajabu kwako?

Soma hii thread kuna mahali Deception amejibu swali hili kwa ufasaha naona hujasoma....

Hili sio ajabu watu kufa kwa kufuatana na maradhi yale yale....

Jifunze uelewe na utajua tu uongo wa jambo hili ulipo.....
Mkuu naona nazidi kukuelewa, sasa naomba tuzungumzie life style gani inaweza kukufanya upate ukimwi (hapo nishafutilia mbali mambo ya Hiv) na life style gani ukiishi unakuwa na nafasi kubwa ya kutopata ukimwi.
 
1: ......japo maambukizi ni yale yale kujamiana, kutiwa damu ya muathirika, michubuko n.k..Issue iko pale pale....

HIV haambukizwi kwa njia ya kujamiiana kwa kuwa HIV mwenyewe hayupo kiuhalisia.HIV amepata umaarufu kutokana na vipimo vinavyosemekana vinapima HIV na pia vyombo vya habari.

Ili kuthibitisha hili,fuatilia mwenyewe mitaani utagundua kuna ndoa nyingi sana ambazo mmoja ni HIV+ na mwingine ni HIV- na watoto ni HIV-,sasa umeshawahi kujiuliza kwanini inatokea hivi?Au ndio na wewe utasema ni mipango ya mungu?

Pia kuna watu walijidunga damu kabisa ambayo watu wanaamini kwamba ni ya mtu mwenye HIV,lakini kila wakipima wanaambiwa ni HIV-.Je,hawa watu pia mungu amewaokoa eenh!

2:..........kama tatizo kukos lishe bora, kuna watu wenye pesa na wanatoka familia safi na wameugua hayo maradhi na unakuta baada ya kufa mume mke anafatwa.....

Kwenye reply yangu ya kwanza kabisa kwenye uzi huu nilishatoa angalizo kwamba,kula lishe bora hakuna uhusiano na mtu kuwa tajiri au mwenye pesa.Lishe bora ni vyakula rahisi sana na wala havihitaji pesa nyingi kuliko unavyofikiri,sasa nikwambie kwamba,kwa kifupi,matajiri ndio wanaokula vyakula vibovu zaidi ya masikini,tofauti ni kwamba wakati mwingine masikini huwa wanakosa kabisa pesa ya kununulia chakula,lakini wakipata utaona wananunu matembele(alkaline food),dona,dagaa(protein food),atachuma majani ya mchaichai,ataweka na bamia kidogo na nyanya chungu original,unaona mambo hayo?Sasa matajiri huwa hawali mambo haya mara nyingi,wao sanasana ni nyama(acidic food,mbaya sana hii),juisi za kwenye maboksi(aspartame=very acid food),atatumia microwave kupasha chakula=kuua virutubisho vyote vya chakula,atahifadhi chakula kwenye jokofu kwa muda mrefu=chakula mfu,na mambo mengi kama hayo.Hivyo kuwa na pesa sio kula chakula bora.

Suala la kufuatana kufa kwa ugonjwa mmoja au wenye dalili zinazofanana sio la ajabu kama unavyofikiria.Hebu tuliza ubongo na ufikiri tofauti na hapo utajua tu.

-Hivi kwani mme akiwa na TB halafu kila siku analala kitanda kimoja na mkewe kwa muda mrefu hata wewe unajua kwamba mkewe naye yuko hatarini kupata TB.Sasa mme akifa kwa TB halafu mkewe naye asipopata uangalizi naye baadaye atakufa kwa TB,hivyo watakufa kwa dalili zinazofanana.Je,unazijua dalili za TB?Dalili za TB ndio zilezile tulizoambiwa kwamba ni za ukimwi,nadhani sasa unapata picha,ndio maana nilishasema kwamba magonjwa haya ni ya zamani sana ila yamepewa majina mapya na nadharia mpya kwa lengo la kuuza ARVs.

-Hata ukifanya mapenzi na mtu mwenye TB mara moja tu unaweza kupata TB,unajua hilo?Sasa wewe utapata TB kwa njia ya hewa kutoka kwa mpenzi wako na utakuwa na dalili ambazo wewe umesharubuniwa kwamba ni za ukimwi na watakwambia kwamba ni ukimwi,halafu wewe utaamini hivyo kwamba mpenzi wako amekuambukiza kwa njia ya ngono wakati wewe umepata TB kwa njia ya hewa,he he heeee! haya mambo mazito kweli.

-Hivi wewe umeona wapi watu wanaugua ukimwi?Huwezi kuugua ukimwi kamwe,kama huamini basi muulize daktari yeyote yule atakwambia vivyo hivyo.Mtu hawezi kuugua ukimwi kwa kuwa ukimwi sio ugonjwa,ukimwi ni hali ya kinga tu kushuka na haisababishwi na HIV,bali watu huugua ugonjwa fulani unaofahamika tangu zamani baada ya kinga yake kushuka,na kama atapewa tiba sahihi lazima apone hata kama hatumii ARVs.Fanya utafiti wako utajua tu.

-Unajua nilichokiona kwa watu wengi ni kwamba,watu hawaelewi na hawatambui kile wanachokiona kwa macho yao.Wakiona mtu kakonda,anaharisha,ana homa mara kwa mara nk na mwenzi wa huyo mtu naye vivyo hivyo,basi watasema kwamba ni HIV bila kujua undani wake.Nilichokiona pia ni kwamba watu wengi hata hawafanyi uchunguzi zaidi ya kubeba kile walichokiona na kuambiwa tu,ukichunguza utagundua mambo mengi sana,hivyo nakushauri,ukiona mtu anaumwa sana basi nenda kafanye uchunguzi wako ujue anaumwa ugonjwa gani,lakini usikimbilie kusema tu kwamba anaumwa ukimwi,ukimwi sio ugonjwa.

3:....ukiangalia chain za mitaani tu kila alielala na flani anakuwa nayo hayo maradhi, nadhani UAMBUKIZWAJI UKIMWI UKO PALE PALE....

Nilishajibu hili hapo juu,wewe hujafanya uchunguzi,fanya uchunguzi,usichukulie mazoea ya kile ulichoambiwa,haya mambo hayako hivyo kama unavyodhani,ukiangaziwa kukubali kufanya uchunguzi tu basi ujue umeshajua ukweli,tatizo la watu wengi ni wagumu kuamua kuchunguza.

Ukimwi sio tatizo,tatizo ni akili zetu/mindset zetu,hatuelewi kile tunachokiona kimesababishwa na nini.

Hata wewe unajua na unawafahamu watu wengi waliowahi kutembea na watu wanaosadikika kuwa na huyo HIV tena bila kutumia kinga lakini hawajapata huyo HIV.Lakini pamoja na hayo watu haohao bado wanaamini kwamba HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono ila wao mungu ndio amewaokoa,he he heee,hili ni tatizo kubwa kwa kweli,hawa jamaa wamejitahidi sana kuusuka uongo huu.

Mwisho,haya yote ninayoyasema nina ushahidi nayo,sizungumzi tu kutoka hewani,nimeshafanya uchunguzi/utafiti.

ANGALIZO:
Kwanini nasema ARVs(na si HIV) ndizo zinazowaua watu wanaozitumia?Yaani ilipaswa tuseme ARVs/AIDS badala ya HIV/AIDS.

-Zile zinazoitwa side effects za ARVs kiukweli sio side effects na badala yake ni direct effects,hii ni kwasababu waliotengeneza ARVs walidhamiria ARVs zisababishe matatizo hayo,ARVs ni DNA chain terminator,hakuna anayeweza kuishi kama atatumia ARVs kwa muda mrefu,mwishowe lazima zimuue.

-Ukitaka kujua madhara ya ARVs basi fanya yafuatayo:
1.Ingia kwenye website hii hapa,web hii sio yangu mimi,bali ni ya walewale waliotengeneza hizo ARVs,yaani hata wenyewe wanakubali kwamba ARVs zina madhara haya,na madhara haya ndio yanayoua,sasa ingia hapa halafu soma WARNING:Hapa wameelezea dawa moja tu,lakini ukifuatilia dawa zote za ARVs utakuta zina madhara hayohayo.

Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo

2.Fuatilia ndani ya kikopo cha ARVs kuna karatasi imekunjwa,kunjua karatasi hiyo na uisome kwa umakini mkubwa utaona madhara yake yanafana na ya kwenye website niliyoweka hapo juu.

3.Kama bado huamini,basi fuatilia mahospitalini au mitaani kwa wale wagonjwa waliozidiwa ambao wanatumia ARVs.Utakuta wana dalili hizohizo zilizotajwa hapo juu.

Sasa kama ulikuwa hujui,kile unachokiona kinadhoofisha watu na kuua watu wanaotumia ARVs ni ARVs zenyewe.Na kama mtu amedhoofika lakini hatumii ARVs basi ujue anaumwa ugonjwa unaofahamika na kama atapewa tiba sahihi lazima apone na kuendelea na shughuli zake kama kawaida.

-Najua ulishawahi kuona mtu anayetumia ARVs ana matatizo yafutayo;
1.Matatizo ya moyo/presha,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
2.Matatizo ya Ini,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
3.Matatizo ya figo,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
4.Matatizo ya upungufu wa damu,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
5.Cancer yoyote ile,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
6.Kisukari,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
7.Nywele zimedhoofika au kunyonyoka,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
8.Ngozi kufubaa au kuwa na vipele au vidonda,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs....nk.

Sasa tumia werevu hapa,matatizo hayo yote hayasababishwi na vijidudu na hasa huyo HIV,hata madaktari wanajua hilo.Sasa jiulize,kila mgonjwa anayetumia ARVs mwisho wa siku anapata moja au kadhaa kati ya matatizo hayo,na matatizo hayo ndio yanayowaua.Sasa matatizo hayo yanasababishwa na nini?

Jibu lake ni,yanasababishwa na ARVs.

Watu wanachukia HIV na kukimbilia kula ARVs bila kujua kwamba ARVs ndio ugonjwa wenyewe.Tunaruka maji,tunakanyaga moto,yaani kama kenge anavyokimbia mvua na kuingia mtoni.Watu wakijua haya watajilaumua sana kwa nini hawakujua tangu mwanzo.

Hivyo basi,mtego mkubwa uko kwenye vipimo,kwa maana vipimo ndio hutafuta wateja wa ARVs.Halafu watu wakianza kutumia ARVs mwisho wa siku hufa kwa madhara yake halafu anasingiziwa HIV(ambaye ni hewa/hayupo),yaani kama wewe ukifanya dhambi kwa tamaa zako halafu unamsingizia shetani.

Tulia,dadisi,hoji,uliza,fanya utafiti.Huu ndio ukombozi wako pekee kwenye suala hili.
Nashukuru kwa somo zuri, asante kwa kutuelimisha.
Mimi swali langu je? Mtu au mgonjwavaliyewahi kutumia hizi ARVs anaweza kuacha bila ya kumletea madhara?
 
Mkuu naona nazidi kukuelewa, sasa naomba tuzungumzie life style gani inaweza kukufanya upate ukimwi (hapo nishafutilia mbali mambo ya Hiv) na life style gani ukiishi unakuwa na nafasi kubwa ya kutopata ukimwi.
Mtindo wa maisha wa kula vyakula vya vuwandani ambavyo ni hatari kwa afya ya binadamu....

Kutumia madawa ya kimagharibi kwa muda mrefu hasa madawa kama ARVs...

Matumizi ya madawa ya kulevya....

Matumizi ya vileo vikali kama gongo,viroba n.k....

Na mambo mengine ya kufanana na hayo....

Unachotakiwa ni kuishi maisha chanya,epuka msongo wa mawazo,kunywa majimengi ambayo ni safi na salama,fanya mazoezi,kula matunda na pumzika vizuri haya maradhi utaishia kuyasikia kwa jirani tu......
 
Nashukuru kwa somo zuri, asante kwa kutuelimisha.
Mimi swali langu je? Mtu au mgonjwavaliyewahi kutumia hizi ARVs anaweza kuacha bila ya kumletea madhara?
Kwa namna ninavyojua ni kwamba inategemea na muda ambao mhusika ametumia...

Kama ni muda mrefu kuna namna ambayo wataalam wanashauri aitumie katika kuacha,ngoja aje Deception atakueleweza vizuri zaidi....

Lakini inawezekana kuacha na usipate madhara kama madawa hayo hayajaleta athari kubwa kwa mhusika....
 
Mtindo wa maisha wa kula vyakula vya vuwandani ambavyo ni hatari kwa afya ya binadamu....

Kutumia madawa ya kimagharibi kwa muda mrefu hasa madawa kama ARVs...

Matumizi ya madawa ya kulevya....

Matumizi ya vileo vikali kama gongo,viroba n.k....

Na mambo mengine ya kufanana na hayo....

Unachotakiwa ni kuishi maisha chanya,epuka msongo wa mawazo,kunywa majimengi ambayo ni safi na salama,fanya mazoezi,kula matunda na pumzika vizuri haya maradhi utaishia kuyasikia kwa jirani tu......
Mkuu embu nipe maelezo zaidi kuhusu vile vipimo vya hiv.

Vinapima nini sasa kama hiv wenyewe hawa exist?

Na inakuwaje mtu ukishakuwa positive ata ufanye nini kila ukipimwa unakuwa positive hivohivo?
 
Waelimishaji taratibu naanza kuwaelewa pia nimepita kwenye mitandao kadhaa nimeona kuwa ni kweli HIV haionekani kwenye vipimo na tena Kuna watafiti Doctors na Profs wamewahi kupinga dhana ya Hiv / Aids kwa tafiti. Sasa hebu tuweke kando HIV tuzungumzie moja kwa moja kwamba Ukimwi zaidi ni swala la life style kama mlivyoeleza. Mi naomba sasa muweke wazi life style ipi italeta ukimwi na ni life Style gani Ukiishi unakuwa na nafasi kubwa ya kutopata ukimwi (najua haitakuwa 100% lakini tu-assume ceteris paribus)
 
Mkuu embu nipe maelezo zaidi kuhusu vile vipimo vya hiv.

Vinapima nini sasa kama hiv wenyewe hawa exist?

Na inakuwaje mtu ukishakuwa positive ata ufanye nini kila ukipimwa unakuwa positive hivohivo?
Mkuu,

Unapotaka kupata maarifa pinguza uviovu wa kusoma,majibu ya haya maswali yako yako humu humu kwenye huu uzi lakini naona unaendelea tu kuuliza....

Vipimo vya HIV vinapima antibody ambazo wao wanadhani mwili umezitoa ili kupambana na hao virusi wakati uwepo wao ni kitendawili ambacho wameshindwa kukitegua,ukitaka kujua zaidi kuhusu hili angali replay nyingi huko juu utaona majibu ya kina

Sio kweli kwamba mtu akipima leo na kukutwa HIV+ na kesho akipima itakuwa hivyo hivyo,wapo watu wengi wamepima mara nne na majibu yote yamekuwa tofauti.....

Kwahiyo sio kweli kwamba ukipimwa mara ya kwanza ukakutwa HIV+ basi mara zote ukipima utakutwa hivyo hivyo.....
 
Waelimishaji taratibu naanza kuwaelewa pia nimepita kwenye mitandao kadhaa nimeona kuwa ni kweli HIV haionekani kwenye vipimo na tena Kuna watafiti Doctors na Profs wamewahi kupinga dhana ya Hiv / Aids kwa tafiti. Sasa hebu tuweke kando HIV tuzungumzie moja kwa moja kwamba Ukimwi zaidi ni swala la life style kama mlivyoeleza. Mi naomba sasa muweke wazi life style ipi italeta ukimwi na ni life Style gani Ukiishi unakuwa na nafasi kubwa ya kutopata ukimwi (najua haitakuwa 100% lakini tu-assume ceteris paribus)
Soma hapo juu nimeshajibu swali lako mkuu.....
 
Back
Top Bottom