Ukimwi: Mbeki atuhumiwa kupotosha umma

Kwa mara ya kwanza nime-subscribe topic hii ili nijifunze vingi... Naanza kupata picha kwa kila kinachoelezewa na wachangiaji hapa
 
Daaah. Research inahusika hapa kwa hao watu hiv positive kuprove hiyo kitu
 
Daaah. Research inahusika hapa kwa hao watu hiv positive kuprove hiyo kitu
Nina watu zaidi ya kumi nawajua wameshapima namna hii na wakapata majibu tofauti tofauti.....

Fanya na wewe utafiti utajua tu.....

Hujawahi kusika kuna fake result?
 
Nina watu zaidi ya kumi nawajua wameshapima namna hii na wakapata majibu tofauti tofauti.....

Fanya na wewe utafiti utajua tu.....

Hujawahi kusika kuna fake result?
Na ukinijibu hapa nitaamini kweli hakuna hiv.

Kuna maelezo huko nyuma nilisoma kwamba watu wanavokufa kwa kufuatana inatokana na maambukizi ya yale magonjwa nyemelezi.

Nataka kujua sasa inakuwaje katoto kanazaliwa na hiv je hapo anakuwa kapata maambukizi kivipi wakati mama hajaanza kupatwa na magonjwa nyemelezi??

Na swali la mwisho inakuwaje pia wanaokufa kwa series ni lazima wametembea na mgonjwa?? Kama hakuna kirusi cha hiv inakuwaje hapo?

Unakuta katika nyumba anakufa baba anafuatia mama kwanini asifuatie dada wa kazi au hata watoto ilhali kuna comment nilisoma hapa inasema wanaokufa kwa chain ni maambukizi ya magonjwa nyemelezi
 
Kwamba virusi vya ukimwi havipo.

Ni kweli,hakuna virusi vya ukimwi.Nani mwenye uwezo wa kuthibitisha kwamba HIV kweli yupo?Aje hapa.

Inakuwaje mtu alishafiwa na mume wake baada ya miaka kadhaa nayeye anaanza kuumwa dalili zilezile?

He he hee,swali zuri sana,lakini wewe unaonekana husomi kwa bidii kilimo humu ndani.Maswali hayo yalishajibiwa mara kadhaa.

Hebu nikupe mfano;Najua unajua kwamba TB inaua na inaambukizwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa njia ya hewa,yaani HEWA.Pia najua unajua kwamba mke na mume huwa wanalala kitanda kimoja karibu kila siku ya maisha yao wawapo pamoja,yaani wanapumuliana pumzi zao.Hawa wawili si ajabu wote wakaugua TB,hakuna anayepinga hili.

Sasa najua umeshapata picha,ukitaka kujifunza jambo sharti uwe tayari kusikiliza wakati mwenzako anazungumza.Tuendelee.....

Dalili za TB:
-Kukohoa mara kwa mara kwa muda mrefu,
-Kukonda sana,
-Kuishiwa nguvu,
-Kupungua uzito,
-Homa za mara kwa mara,
-Kuharisha au kutapika hasa kama ni GI TB,nk.

Nina uhakika kama kweli umejionea mwenye hao watu unaosema,yaani hujasikia,maana kusikia na kuona ni mambo 2 tofauti.Lazima uliona dalili hizo hapo juu hasa kama walikuwa hawatumii ARVs,lakini kama walikuwa wanatumia ARVs watakuwa na dalili za nyongeza kama zifuatavyo;

-Matatizo ya moyo au matatizo ya ini au matatizo ya figo au kisukari au upungufu wa damu(anaemia) au cancer/saratani yoyote ile au ngozi kuwasha au kutoka vipele au nywele kudhoofika au kunyonyoka.Sasa fanya uchunguzi wako halafu utarudi kutoa ushuhuda hapa,maneno mengi hayajengi,soma,elewa halafu fanya uchunguzi wako.

Hivyo basi,usikariri kama ulivyoambiwa mwanzo kwamba watu wanakufa kwa ukimwi,ukimwi hauui kwa kuwa ukimwi si ugonjwa,kinachoua ni magonjwa halisi kama vile malaria,TB nk,jitahidi kuindoa KASUMBA uliyonayo ili iwe rahisi kwako kuelewa somo hili.

ANGALIZO:
Ukiwa na TB una hatari ya kupimwa HIV+ na vipimo vya HIV bila kujali kama uliwahi kufanya ngono katika maisha yako au la,au ulichangia damu ya mtu yeyote au la.Ndio maana tunasema vipimo vya HIV ni feki kwasababu ni feki.

Sasa nadhani hutashangaa tena kuona watu wanafariki kwa kuongozana kwa dalili zilezile.Wengi wamekariri sana hili neno 'dalili zilezile',he he heee,siwalaumu,ni ukosefu wa uelewa tu ambao wengi tunao katika nyanja tofauti.

Kutokana na maelezo mmesema kwamba watu wanafariki kwa kufuatana kutokana na kuambukizana sasa je mbona akifa mume kwa ukimwi unakuta hafuatii dada wa kazi kufariki bali anafuatia mke wake? Na unakuta wanakaa nyumba moja.

Ni kweli,kutokana na mfano niliokupa,mke wake ndio analala naye kitanda kimoja na TB inaambukizwa kwa njia ya hewa,sasa kipi cha kushangaza hapo?

Pia,si lazima awe mke wake,hata kama ana hawara,utakuta pia hawara yake anafariki kwa 'dalili zilezile' hata kama haishi naye nyumba moja,ni suala la kupumuliana tu/exposure.

Unajua ili uelewe haya mambo kwanza inabidi kukubali kufuta yale ya zamani,yale ya zamani ndio kikwazo kwa wengi kuelewa ukweli huu.

Pia kuna suala la mtoto mchanga kuambukizwa,nitajibu hili baadaye.Wewe na wengine bado mnahitaji kusoma kwa bidii,mada hii ina mambo mengi sana.Ina nyanja kuu 4 ambazo ni lazima uelewe zote ili kuondoa utata wote,kama hujaelewa vizuri moja tu kati ya hizo 4,basi lazima bado utakuwa unashangaa shangaa tu,na ndio maana waliosuka uongo huu wanaendelea kula mafao ya uongo wao huku waliwaji mkiendelea kuwasifia 'eti wao ndio wakombozi wetu kwa kutuletea ARVs'.

Nyanja hizo ni;
1.Historia ya HIV/AIDS(feki),2.Nadharia feki ya HIV,3.Vipimo vya HIV,4.Dawa za ARVs.

Ukijua vizuri nyanja hizo 4 basi hutakuwa na swali tena linalokutatiza.Vinginevyo nikikujibu hili utauliza lile,nikijibu lile utauliza hili,yaani nitakuwa kama napiga viraka kwenye suruali iliyooza tu.
 
Mi naomba sasa muweke wazi life style ipi italeta ukimwi na ni life Style gani Ukiishi unakuwa na nafasi kubwa ya kutopata ukimwi (najua haitakuwa 100% lakini tu-assume ceteris paribus)

-Mchunguze sana mtu anayekunywa pombe zisizo na viwango au pombe kali sana halafu hali chakula vizuri,utagundua kitu,ukigundua usisite kuja kushiriki nasi ulichokiona.

-Mchunguze sana mtu anayependa kutumia dawa za hospitali mara kwa mara au kwa muda mrefu,dawa yoyote ile,mafano diclofenac,antibiotics,dawa za uzazi wa mpango,dawa za kuongeza nguvu za kiume na kwa mashoga zile poppers,chemotherapy,ARVs nk.Utakachokiona usisite kutujuza na wenzako.

-Mchunguze sana mtu anayetumia sana dawa za kulevya kama vile heroin nk.Utakachokiona usisite kutujuza na wenzako.

-Mchunguze sana mtu mwenye MSONGO wa mawazo,naposema msongo namaanisha msongo kweli.Utakachokiona usisite kutujuza na wenzako.

-Mchunguze sana mtu mwenye uvivu wa kula chakula na hasa chakula bora(nina uhakika unakijua chakula bora ni kipi).Utakachokiona usisite kutujuza na wenzako.

Chunguza makundi haya ya watu katika criteria ya rate ya kuugua magonjwa kama vile malaria na TB,halafu linganisha na watu ambao hawako kwenye makundi hayo.Ukimaliza utafiti huu usisite kutujuza na wenzako.

Najua utasikia maneno meeengi kutoka vyanzo viiingi vya habari,lakini mwisho wa siku Je,umefanya uchunguzi wako binafsi?

Watu wanasema 'No research no right to talk',maneno matupu hayajengi,fanya utafiti.
 
Na ukinijibu hapa nitaamini kweli hakuna hiv.
Nataka kujua sasa inakuwaje katoto kanazaliwa na hiv je hapo anakuwa kapata maambukizi kivipi wakati mama hajaanza kupatwa na magonjwa nyemelezi??.....

Unasema katoto kanazaliwa na HIV,wewe umeshawahi kumwona HIV,au umesikia tu?Nakupa 'home work',hebu muulize daktari yeyote yule unayemwamini kama ifuatavyo;"Je,mheshimiwa daktari umeshawahi kuwona HIV 'live' kwa macho yako wewe mwenyewe kwa kutumia kipimo/chombo chochote kile cha kimaabara?"Atakwambia sijawahi,hata kama yeye ni daktari kwa miaka 100,atakwambia maisha yangu yote sijawahi kumwona HIV.Sasa jiulize,wanapima nini?

Kama hujui ngoja nikwambie kitu,hata yule wanayemsema kwamba ndio mgunduzi wa huyo HIV, yeye mwenyewe alikiri kwa mdomo wake kwamba hajawahi kumwona HIV kwa macho.Ndio maana sisi tunapoeleza haya mambo tunasisitiza watu mtulize akili,haya si mambo mepesi kama wengi wanavyofikiri.

HIV anayeogopwa na watu duniani ni HIV wa vipimo tu,hakuna HIV kiuhalisia.Yaani HIV ni sawasawa na kuangalia zile sinema za watu wa maboksi kipindi kile utotoni,yaani unaweka kitambaa cheupe na kibatari au mshumaa gizani halafu unachezesha watu wa maboksi nyuma ya kitambaa,unakumbuka?au wewe una umri gani?Ha ha haaa,utani tu.

Kama ulikuwa hujui sasa ngoja nikushangaze,tukiamua kuwa wakweli kupima kila mtoto anayezaliwa hospitali bila kujali kama mama yake ni HIV+ au ni HIV-,usione ajabu kukuta mtoto anapimwa HIV+ wakati mama yake ni HIV-,sasa mtoto mchanga kaanza lini kufanya ngono?Ukiwauliza madaktari hili lazima watakuwa na jibu la kukupa,huwa hawakosagi jibu.Ndio maana tunasema HIV huyu ni wa vipimo tu,hayupo kiuhalisia.

Au kwani hujawahi kuona watoto wengi tu wanazaliwa HIV- hata kama mama zao ni HIV+ wakati mama zao pia hawajaanza kutumia ARVs?Kama hujui hili,basi waulize watu wanaofanya kazi hizo kwenye vituo vya afya kila siku watakwambia vivyo hivyo,labda wao wakikwambia ndio utaamini.Sasa jiulize kwanini hutokea hivyo?

......Na swali la mwisho inakuwaje pia wanaokufa kwa series ni lazima wametembea na mgonjwa?? Kama hakuna kirusi cha hiv inakuwaje hapo?.....

Nilishalijibu hili swali,fuatilia.

.....Unakuta katika nyumba anakufa baba anafuatia mama kwanini asifuatie dada wa kazi au hata watoto ilhali kuna comment nilisoma hapa inasema wanaokufa kwa chain ni maambukizi ya magonjwa nyemelezi

Nilishajibu hili swali.

Labda na mimi nikuulize,maana unaangalia upande mmoja tu pengine kutokana na kasumba iliyojengeka kwa muda mrefu.

Hivi inakuwaje mke na mume wanaishi pamoja kwa muda mrefu(zaidi ya miaka 10)na wamezaa watoto lakini utakuta mmoja ni HIV+ lakini mwingine ni HIV- na watoto pia ni HIV-?Na mimi naomba jibu hapo,HIV si anaambukizwa kwa njia ya ngono?Naomba jibu langu na mimi.

Au kama huamini ninachokisema,basi muulize daktari yoyote unayemwamini atakwambia vivyo hivyo kwamba ndoa za namna hiyo zipo nyingi sana mitaani,na ndoa hizi kama hujui ni nyingi zaidi ya zile ambazo wote wawili ni HIV+.Fanya uchunguzi wako wewe mwenyewe,maneno matupu hayajengi.

Mimi sijui,labda HIV anapendelea.
 
Sawa mkuu asante
 
yani mkuu kuna watu ni wagumu kuelewa kweli kweli ila ujitahid hvyo hvyo wakawe mabalozi huko,,mm nilishakuelewaga kitambo na nawaelimisha walio karibu na mm kadri ya uwezo wangu,,wataelewa tu
 
Hapo ht mimi ndo pananichangnya kidogi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…