PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Kwa mara ya kwanza nime-subscribe topic hii ili nijifunze vingi... Naanza kupata picha kwa kila kinachoelezewa na wachangiaji hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah. Research inahusika hapa kwa hao watu hiv positive kuprove hiyo kituMkuu,
Unapotaka kupata maarifa pinguza uviovu wa kusoma,majibu ya haya maswali yako yako humu humu kwenye huu uzi lakini naona unaendelea tu kuuliza....
Vipimo vya HIV vinapima antibody ambazo wao wanadhani mwili umezitoa ili kupambana na hao virusi wakati uwepo wao ni kitendawili ambacho wameshindwa kukitegua,ukitaka kujua zaidi kuhusu hili angali replay nyingi huko juu utaona majibu ya kina
Sio kweli kwamba mtu akipima leo na kukutwa HIV+ na kesho akipima itakuwa hivyo hivyo,wapo watu wengi wamepima mara nne na majibu yote yamekuwa tofauti.....
Kwahiyo sio kweli kwamba ukipimwa mara ya kwanza ukakutwa HIV+ basi mara zote ukipima utakutwa hivyo hivyo.....
Nina watu zaidi ya kumi nawajua wameshapima namna hii na wakapata majibu tofauti tofauti.....Daaah. Research inahusika hapa kwa hao watu hiv positive kuprove hiyo kitu
Na ukinijibu hapa nitaamini kweli hakuna hiv.Nina watu zaidi ya kumi nawajua wameshapima namna hii na wakapata majibu tofauti tofauti.....
Fanya na wewe utafiti utajua tu.....
Hujawahi kusika kuna fake result?
Kwamba virusi vya ukimwi havipo.
Inakuwaje mtu alishafiwa na mume wake baada ya miaka kadhaa nayeye anaanza kuumwa dalili zilezile?
Kutokana na maelezo mmesema kwamba watu wanafariki kwa kufuatana kutokana na kuambukizana sasa je mbona akifa mume kwa ukimwi unakuta hafuatii dada wa kazi kufariki bali anafuatia mke wake? Na unakuta wanakaa nyumba moja.
Mi naomba sasa muweke wazi life style ipi italeta ukimwi na ni life Style gani Ukiishi unakuwa na nafasi kubwa ya kutopata ukimwi (najua haitakuwa 100% lakini tu-assume ceteris paribus)
Na ukinijibu hapa nitaamini kweli hakuna hiv.
Nataka kujua sasa inakuwaje katoto kanazaliwa na hiv je hapo anakuwa kapata maambukizi kivipi wakati mama hajaanza kupatwa na magonjwa nyemelezi??.....
......Na swali la mwisho inakuwaje pia wanaokufa kwa series ni lazima wametembea na mgonjwa?? Kama hakuna kirusi cha hiv inakuwaje hapo?.....
.....Unakuta katika nyumba anakufa baba anafuatia mama kwanini asifuatie dada wa kazi au hata watoto ilhali kuna comment nilisoma hapa inasema wanaokufa kwa chain ni maambukizi ya magonjwa nyemelezi
Sawa mkuu asanteKwa namna ninavyojua ni kwamba inategemea na muda ambao mhusika ametumia...
Kama ni muda mrefu kuna namna ambayo wataalam wanashauri aitumie katika kuacha,ngoja aje Deception atakueleweza vizuri zaidi....
Lakini inawezekana kuacha na usipate madhara kama madawa hayo hayajaleta athari kubwa kwa mhusika....
yani mkuu kuna watu ni wagumu kuelewa kweli kweli ila ujitahid hvyo hvyo wakawe mabalozi huko,,mm nilishakuelewaga kitambo na nawaelimisha walio karibu na mm kadri ya uwezo wangu,,wataelewa tuUnasema katoto kanazaliwa na HIV,wewe umeshawahi kumwona HIV,au umesikia tu?Nakupa 'home work',hebu muulize daktari yeyote yule unayemwamini kama ifuatavyo;"Je,mheshimiwa daktari umeshawahi kuwona HIV 'live' kwa macho yako wewe mwenyewe kwa kutumia kipimo/chombo chochote kile cha kimaabara?"Atakwambia sijawahi,hata kama yeye ni daktari kwa miaka 100,atakwambia maisha yangu yote sijawahi kumwona HIV.Sasa jiulize,wanapima nini?
Kama hujui ngoja nikwambie kitu,hata yule wanayemsema kwamba ndio mgunduzi wa huyo HIV, yeye mwenyewe alikiri kwa mdomo wake kwamba hajawahi kumwona HIV kwa macho.Ndio maana sisi tunapoeleza haya mambo tunasisitiza watu mtulize akili,haya si mambo mepesi kama wengi wanavyofikiri.
HIV anayeogopwa na watu duniani ni HIV wa vipimo tu,hakuna HIV kiuhalisia.Yaani HIV ni sawasawa na kuangalia zile sinema za watu wa maboksi kipindi kile utotoni,yaani unaweka kitambaa cheupe na kibatari au mshumaa gizani halafu unachezesha watu wa maboksi nyuma ya kitambaa,unakumbuka?au wewe una umri gani?Ha ha haaa,utani tu.
Kama ulikuwa hujui sasa ngoja nikushangaze,tukiamua kuwa wakweli kupima kila mtoto anayezaliwa hospitali bila kujali kama mama yake ni HIV+ au ni HIV-,usione ajabu kukuta mtoto anapimwa HIV+ wakati mama yake ni HIV-,sasa mtoto mchanga kaanza lini kufanya ngono?Ukiwauliza madaktari hili lazima watakuwa na jibu la kukupa,huwa hawakosagi jibu.Ndio maana tunasema HIV huyu ni wa vipimo tu,hayupo kiuhalisia.
Au kwani hujawahi kuona watoto wengi tu wanazaliwa HIV- hata kama mama zao ni HIV+ wakati mama zao pia hawajaanza kutumia ARVs?Kama hujui hili,basi waulize watu wanaofanya kazi hizo kwenye vituo vya afya kila siku watakwambia vivyo hivyo,labda wao wakikwambia ndio utaamini.Sasa jiulize kwanini hutokea hivyo?
Nilishalijibu hili swali,fuatilia.
Nilishajibu hili swali.
Labda na mimi nikuulize,maana unaangalia upande mmoja tu pengine kutokana na kasumba iliyojengeka kwa muda mrefu.
Hivi inakuwaje mke na mume wanaishi pamoja kwa muda mrefu(zaidi ya miaka 10)na wamezaa watoto lakini utakuta mmoja ni HIV+ lakini mwingine ni HIV- na watoto pia ni HIV-?Na mimi naomba jibu hapo,HIV si anaambukizwa kwa njia ya ngono?Naomba jibu langu na mimi.
Au kama huamini ninachokisema,basi muulize daktari yoyote unayemwamini atakwambia vivyo hivyo kwamba ndoa za namna hiyo zipo nyingi sana mitaani,na ndoa hizi kama hujui ni nyingi zaidi ya zile ambazo wote wawili ni HIV+.Fanya uchunguzi wako wewe mwenyewe,maneno matupu hayajengi.
Mimi sijui,labda HIV anapendelea.
Hapo ht mimi ndo pananichangnya kidogiMie nadhani kwa uelewa wangu Huu ukimwi upo ila hicho kirusi hawajakijua japo maambukizi ni yale yale kujamiana, kutiwa damu ya muathirika, michubuko n.k..Issue iko pale pale, mana kama tatizo kukos lishe bora, kuna watu wenye pesa na wanatoka familia safi na wameugua hayo maradhi na unakuta baada ya kufa mume mke anafatwa n.k..na hata ukiangalia chain za mitaani tu kila alielala na flani anakuwa nayo hayo maradhi, nadhani UAMBUKIZWAJI UKIMWI UKO PALE PALE Ila hawajakijua hicho kirusi kinakaaje wala kikoje na ndio mana mpaka leo wameshindwa kukidhibiti. sabab hawajakipata.