theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Sorry white unawajua vizuri lakni wale wadudu??Sitatumia chochote ila ntahakikisha kinga yangu ya mwili haishuki kwa hali yeyote ile
Siwajui hataSorry white unawajua vizuri lakni wale wadudu??
Inasukitisha sana wakati tunakoendea wale wenye undetectable status wanaweza kutibiwa na kupona kabisa thanks to ARV’s. Pamoja na hayo ARV’s zimepunguza sana maambukizi mapya.Kwahiyo ushauri wako ni kuwa ukishakutwa na Virusi usinywe dawa,nina mashaka sana na uelewa wako kuhusu huu ugonjwa,Sky Eclat endelea kumfundisha huyu,nadhani anahitaji elimu ya ziada..
Bhasi nakuomba ujitunze vyema hata kama ukiteleka siku moja moja jaribu kutumia kinga white.....Siwajui hata
Nilisikia kua ARV inasaidia ugonjwa huo na unaweza kuishi miaka mingi ila matokeo yake ni kifo cha ghafla. Je ni kweli?Inasukitisha sana wakati tunakoendea wale wenye undetectable status wanaweza kutibiwa na kupona kabisa thanks to ARV’s. Pamoja na hayo ARV’s zimepunguza sana maambukizi mapya.
Si kweli, kwasababu ARV’s zinasaidia kuwa funga virus na CD4 kuzaliwa upya na kuendelea kukulinda. Kifo linaweza kutokana na high PB labda na unashauriwa kufanya mazoezi na kula vizuri ukiwa mwathirikaNilisikia kua ARV inasaidia ugonjwa huo na unaweza kuishi miaka mingi ila matokeo yake ni kifo cha ghafla. Je ni kweli?
Mawazo huua watuWengi wanaugua zaidi sababu ya depression. We angalia wengi ambao wanaojijua baada ya kupima wakati wakiwa hawaumwi wanavyokongoroka haraka wakishajijua.
Akili za mzungu zikijibu propaganda za mzunguKinga ya mwili inaposhuka unakuwa hatarini zaidi kupata cancer. Kheri ujue status yako mapema uitunze afya yako na uanze kubugia ARV”s.
siyo kweli niko kwenye sector ya virology mwaka wa 10 huu...... Nikiwa nna degree ya microbiology... Nimeshinda lab na damu za hiv sana....Ni kwasababu kama umepata maambukizi ARV’s zitasaidia kuimarisha afya yako pia usiambukize wengine
Dada kwenye taaluma ya afya kama ndo hivi ulifundishwa mfumo wa elimu ya afya tanzania utakuwa unatabu..... Unachoelezea hakipo kabisa...unapotoshaKinga ya mwili inaposhuka unakuwa hatarini zaidi kupata cancer. Kheri ujue status yako mapema uitunze afya yako na uanze kubugia ARV”s.
Siyo kweli hata wanaozitumia wanakufa tena siyo kwa ukimwi tena either kisukari au kansa au uvimbe na magonjwa mengine ya ku fail organsRAV’s ndiyo zinatufanya bado tuwapigie makofi watu kibao tukisema hoyeeee. Bila ARV’s sasa hivi tungekuwa tumesha wa RIP.
msihangaike hii kitu mbona ina tiba na inaisha kabisa, Stem cell inawezesha kuzalisha seli nyingi za kinga na kumaliza UKIMWI ndani ya wiki 2-3Nilishaamua hivyo. Nimeona madhara yake kwa watu wangu wa karibu wanaotumia
Waambie hao wote hakuna kufa tena kwa Cancer, sukari, pressure au failure yoyote ya organ, TIBA ya stem cell inamaliza kila ugonjwa au tatizo lolote na mfumo wa mwiliSiyo kweli hata wanaozitumia wanakufa tena siyo kwa ukimwi tena either kisukari au kansa au uvimbe na magonjwa mengine ya ku fail organs
[emoji106]HIV imepewa kipaumbele na serikali za dunia kwaku infectious disease ambayo mpaka sasa hivi haina tiba ingawaje inaweza kuwa controllable.
HIV husabsbisha upungufu wa kinga na si kweli kuwa ARV’s huleta upungufu wa kinga mwilini.
Unapotumia ARV unaangaliwa kidney function levels kila mara na unabadilishiwa dawa kama levels zinashuka.
Ni muhimu kujitunza usipate HIV
Ila nasikia na Kansa inatibika kwa limao na maji ya moto, ila sijajaribuGood Girl.... tunatakiwa kuelimisha na wengine zaidi, eti mtu anajiua kisa kakutwa na HIV so pathetic na wa kansa afanyaje sasa.
Duuuuu kubugia...! Kwanini utumie dawa ambazo unajua kamwe haziwezi kukuponesha? Yaani maisha yako yote utakua unakula tu hizo dawa... ! Huoni kama huo ni uzwa uzwa?Kinga ya mwili inaposhuka unakuwa hatarini zaidi kupata cancer. Kheri ujue status yako mapema uitunze afya yako na uanze kubugia ARV”s.