UKIMWI ni biashara, nchi za dunia ya tatu tunatumika

UKIMWI ni biashara, nchi za dunia ya tatu tunatumika

Kwahiyo ushauri wako ni kuwa ukishakutwa na Virusi usinywe dawa,nina mashaka sana na uelewa wako kuhusu huu ugonjwa,Sky Eclat endelea kumfundisha huyu,nadhani anahitaji elimu ya ziada..
Inasukitisha sana wakati tunakoendea wale wenye undetectable status wanaweza kutibiwa na kupona kabisa thanks to ARV’s. Pamoja na hayo ARV’s zimepunguza sana maambukizi mapya.
 
Inasukitisha sana wakati tunakoendea wale wenye undetectable status wanaweza kutibiwa na kupona kabisa thanks to ARV’s. Pamoja na hayo ARV’s zimepunguza sana maambukizi mapya.
Nilisikia kua ARV inasaidia ugonjwa huo na unaweza kuishi miaka mingi ila matokeo yake ni kifo cha ghafla. Je ni kweli?
 
Nilisikia kua ARV inasaidia ugonjwa huo na unaweza kuishi miaka mingi ila matokeo yake ni kifo cha ghafla. Je ni kweli?
Si kweli, kwasababu ARV’s zinasaidia kuwa funga virus na CD4 kuzaliwa upya na kuendelea kukulinda. Kifo linaweza kutokana na high PB labda na unashauriwa kufanya mazoezi na kula vizuri ukiwa mwathirika
 
Ni kwasababu kama umepata maambukizi ARV’s zitasaidia kuimarisha afya yako pia usiambukize wengine
siyo kweli niko kwenye sector ya virology mwaka wa 10 huu...... Nikiwa nna degree ya microbiology... Nimeshinda lab na damu za hiv sana....
Nna ndugu yangu nilimkataza kabisa kutumia kabisa arvs baada ya kugundua ziko kibiashara zaidi..... Mpk kesho ananishukuru hakuingia kwenye mtego... Na amekuwa balozi mzuri wa kimyakimya wa kushauri watu wasidumbukie kwenye huu mtego.....
Research it!!!!!!! Unachojaribu kukielezea hapa ndo kinachofundishwa kwenye taaluma ya LIFE SCIENCE kuhusiana na huu ugonjwa fake..... But siyo reality...
Na kama kwenye maisha ako ulishawahi mshauri mtu atumie ARVs trust me umemgeuza mtumwa wa dawa.... Umemuua na unapaswa ujilaumu mpk uingie kaburini.......
 
Kinga ya mwili inaposhuka unakuwa hatarini zaidi kupata cancer. Kheri ujue status yako mapema uitunze afya yako na uanze kubugia ARV”s.
Dada kwenye taaluma ya afya kama ndo hivi ulifundishwa mfumo wa elimu ya afya tanzania utakuwa unatabu..... Unachoelezea hakipo kabisa...unapotosha
 
RAV’s ndiyo zinatufanya bado tuwapigie makofi watu kibao tukisema hoyeeee. Bila ARV’s sasa hivi tungekuwa tumesha wa RIP.
Siyo kweli hata wanaozitumia wanakufa tena siyo kwa ukimwi tena either kisukari au kansa au uvimbe na magonjwa mengine ya ku fail organs
 
Nilishaamua hivyo. Nimeona madhara yake kwa watu wangu wa karibu wanaotumia
msihangaike hii kitu mbona ina tiba na inaisha kabisa, Stem cell inawezesha kuzalisha seli nyingi za kinga na kumaliza UKIMWI ndani ya wiki 2-3
 
Siyo kweli hata wanaozitumia wanakufa tena siyo kwa ukimwi tena either kisukari au kansa au uvimbe na magonjwa mengine ya ku fail organs
Waambie hao wote hakuna kufa tena kwa Cancer, sukari, pressure au failure yoyote ya organ, TIBA ya stem cell inamaliza kila ugonjwa au tatizo lolote na mfumo wa mwili
 
mkuu hilo halipingiki, na ndo maana tunahimizana kupima zaidi kuliko kuchukua hadhari dhidi ya tatizo hili, pia maleria nayo ni biashara ya mabeberu maana wanatuletea net ila kunadawa za kuweza kuangamiza mbu wote na mazalia ila hawafanyi hivyo ili wazidi kuuza dawa za maleria, pia kitu ka sukari na presha si vitu ambavyo haviepukiki ila ni biashara za watu hasa mababeru
 
HIV imepewa kipaumbele na serikali za dunia kwaku infectious disease ambayo mpaka sasa hivi haina tiba ingawaje inaweza kuwa controllable.
HIV husabsbisha upungufu wa kinga na si kweli kuwa ARV’s huleta upungufu wa kinga mwilini.
Unapotumia ARV unaangaliwa kidney function levels kila mara na unabadilishiwa dawa kama levels zinashuka.

Ni muhimu kujitunza usipate HIV
[emoji106]
 
Good Girl.... tunatakiwa kuelimisha na wengine zaidi, eti mtu anajiua kisa kakutwa na HIV so pathetic na wa kansa afanyaje sasa.
Ila nasikia na Kansa inatibika kwa limao na maji ya moto, ila sijajaribu
 
Kinga ya mwili inaposhuka unakuwa hatarini zaidi kupata cancer. Kheri ujue status yako mapema uitunze afya yako na uanze kubugia ARV”s.
Duuuuu kubugia...! Kwanini utumie dawa ambazo unajua kamwe haziwezi kukuponesha? Yaani maisha yako yote utakua unakula tu hizo dawa... ! Huoni kama huo ni uzwa uzwa?
 
Back
Top Bottom