UKIMWI ni biashara, nchi za dunia ya tatu tunatumika

Waambie hao wote hakuna kufa tena kwa Cancer, sukari, pressure au failure yoyote ya organ, TIBA ya stem cell inamaliza kila ugonjwa au tatizo lolote na mfumo wa mwili
Toa elimu kuhusu stem cell kwa kirefu zaidi tafadhali
 
na sie tulioguza na kuzika ndugu zetu kabla hata ya kuja hizo ARV unatuambiaje
Hata sasa licha ya arvs kuja bado wanauguza tena mbaya zaidi wa sasa hv wagonjwa wanajiuguza magonjwa mengine ya kuathirika kwa organs.... Kwa vile lengo la wanaohamasisha matumizi ya arvs yako kibiashara zaidi.... Leo hii huwezi sikia mtu kaumwa ukimwi kachoka tena but kisukari,kansa, uvimbe tumbo, kufail kwa ini magonjwa yote haya ynahitaji pesa ndo hapo pharmaceutical industries zinakokuwa zimepata wateja kwa kuugeuza mwili wako income source. https://www.google.com/amp/amp.ewn.co.za/2015/08/21/Effects-of-ARVs-in-whoonga-are-worse-than-heroin

Nimekuwa nikiwaambia wagonjwa wangu kuwa waachane na hizi dawa kwani haziwasaidii chochote zaidi ya kuwageuza watumwa wa dawa za magonjwa mengine...... Kama ni kweli zingekuwa zinasaidia ukiumwa tb ungezitumia tu ukae sawa lakini ili upone hiyo tb ni lazima utumie dawa specific za Tb ili upone TB....
 
mkuu nimeuliza hivyo sababu mletw uzi kasema ukimwi haupo sasa nataka kujua ndugu yangu aliyeugua na kufa kwa ukimwi mwishoni mwa miaka ya tisini kama hakuwa na ukimwi alikuwa na ugonjwa gani?
 
Kinga ya mwili inaposhuka unakuwa hatarini zaidi kupata cancer. Kheri ujue status yako mapema uitunze afya yako na uanze kubugia ARV”s.

kwani unalipwa Tsh ngapi?au reasoning yako ni kama ya MONKEY?
kusoma hujui hata picha tu huoni?

UPUNGUFU WA KINGA MWILIN SIYO UGONJWA!
 
Kinga ya mwili inaposhuka unakuwa hatarini zaidi kupata cancer. Kheri ujue status yako mapema uitunze afya yako na uanze kubugia ARV”s.
Mbona una comment Mara nyingi zaidi kwenye huu Uzi...au ww ni mlengwa WA Maada usika
 
UPUNGUFU WA KINGA MWILINI SIO UGONJWA,hakuna kirusi mwenye uwezo Wa kusababisha UKIMWI!!!
 
Mimi toka kitambo nawaza kama ukimwi ni janga la hatari kama kipindu pindu au ebora kwa nini serikali isiweke sheria kali za kuzuia maambukizi? Nashangaa serikali inacheka na waambukizaji waambukizwaji wa makusudi wakati hao watu ni hatari zaidi ya kukutwa na bunduki au bomu bila kibari.
 
Kuna mtu alikutwa na huu ugonjwa alivyoenda clinic kupima, alijikubali na hali akaanza dawa cha ajabu anachanganyikiwa !!

mwisho familia yake imemkatisha dozi karudi katika hali ya uzima wanasubiri matokeo maana hawana jinsi!!


Sorry my dada, huyo mtajwa... ni mwanamke? jina lake halisi linaanza na 'P'?

Kuna a lot of cases (HIV related) mtaani watu wanaotumia ARVs kuishia kuchanganyikiwa akili. Hatari sana!

-Kaveli-
 
Acha mama nina rafiki yangu ana saratani ya shingo ya kizazi stage ya kwanza halafu amegoma kutoa kizazi uwiii yaani naogopa, tumemshauri tumechoka maana hana mtoto anasema hawezi kufa bila kuzaa.
Juzi tu mwezi wa sita
Nimemzika kipenzi changu Dada yangu mpendwa kwa ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi

Acha ni hatari miaka 3 ni mingi
 
Hapa kwenye sukari napinga
 
Seriously
Aisee labda huyo ndugu ana blood group O+ maana naskia hao ndo wagumu wa kuugua mara kwa mara
 
This world is full of bullshit.

-Kaveli-
 
Samahani, hivi wewe ni nesi au daktari? Uko very useful ktk kutoa elimu ya huu ugonjwa. Big up sana.
 
Sorry my dada, huyo mtajwa... ni mwanamke? jina lake halisi linaanza na 'P'?

Kuna a lot of cases (HIV related) mtaani watu wanaotumia ARVs kuishia kuchanganyikiwa akili. Hatari sana!

-Kaveli-
Bila samahani mkuu, ni mwanamke yes...hapana anaanzia na 'J'.

Sijui kwanini wanachanganyikiwa jamani huruma sana.
 
UKIMWI haupo,

Virusi Vya Ukimwi(VVU) havipo, ukienda kupima ukimwi hawapimi VVU wanapima antibodies kwanini???

swali: Unawezaji kumwambukiza Upungufu wa Kinga Mwilini mwako mwenzio????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…