Hata sasa licha ya arvs kuja bado wanauguza tena mbaya zaidi wa sasa hv wagonjwa wanajiuguza magonjwa mengine ya kuathirika kwa organs.... Kwa vile lengo la wanaohamasisha matumizi ya arvs yako kibiashara zaidi.... Leo hii huwezi sikia mtu kaumwa ukimwi kachoka tena but kisukari,kansa, uvimbe tumbo, kufail kwa ini magonjwa yote haya ynahitaji pesa ndo hapo pharmaceutical industries zinakokuwa zimepata wateja kwa kuugeuza mwili wako income source.
‘Effects of ARVs in whoonga are worse than heroin’
Nimekuwa nikiwaambia wagonjwa wangu kuwa waachane na hizi dawa kwani haziwasaidii chochote zaidi ya kuwageuza watumwa wa dawa za magonjwa mengine...... Kama ni kweli zingekuwa zinasaidia ukiumwa tb ungezitumia tu ukae sawa lakini ili upone hiyo tb ni lazima utumie dawa specific za Tb ili upone TB....