UKIMWI haupo,
Virusi Vya Ukimwi(VVU) havipo, ukienda kupima ukimwi hawapimi VVU wanapima antibodies kwanini???
swali: Unawezaji kumwambukiza Upungufu wa Kinga Mwilini mwako mwenzio????
Bila samahani mkuu, ni mwanamke yes...hapana anaanzia na 'J'.
Sijui kwanini wanachanganyikiwa jamani huruma sana.
ka huamini sukari haiepukiki sawa sikushikii panga mkuuHapa kwenye sukari napinga
Navyojua mimi Antobodies ndio zinapambana na Antigen,sasa ukiwa na HIV maana yake Antibodies zitaenda kpambana na Antigen(HIV) so wakipima ile contents za antbodies wakiona zina Protein za aina flan flan ambazo zinalink na hiv ndio unakuwa +UKIMWI haupo,
Virusi Vya Ukimwi(VVU) havipo, ukienda kupima ukimwi hawapimi VVU wanapima antibodies kwanini???
swali: Unawezaji kumwambukiza Upungufu wa Kinga Mwilini mwako mwenzio????
swali zuri vipimo vyote saiv viko kwa mtindo wa rapid test vikiwa na lengo laku detect antibody au antigen. Ili ku rahisisha utoaji wa majibu.UKIMWI haupo,
Virusi Vya Ukimwi(VVU) havipo, ukienda kupima ukimwi hawapimi VVU wanapima antibodies kwanini???
swali: Unawezaji kumwambukiza Upungufu wa Kinga Mwilini mwako mwenzio????
Kaveli heshima yako mkuu.Alright.
Kuhusu SWALI lako: Kwanini wanachanganyikiwa akili?
Here we gooo:
BEFORE ARVs intake = Mtu ni mzima mentally.
AFTER ARVs on board = Mtu anaanza kuchanganyikiwa akili.
Mpaka hapo bado hujaiona hiyo 'kwanini' ya swali lako? Hata kama ni kipofu, utapapasa!
-Kaveli-
Una jitahd sana kudanganya, ni lazma mtu atumie dawa za tb pamoja na Arvs kwani siku zote antibiotics haziwezi hua virus wala dawa ya virus haiwez hua bacteria kila dawa ina mechanism of action, kuhusu magonjwa ya ini ata pcm inaleta hakna dawa isiyo na side effects duniani labda maji tu. Kuhusu cancer hai husiani na arvs kwani canver ni upungufu wa kinga mwlini kama ilivyo kwa HIVHata sasa licha ya arvs kuja bado wanauguza tena mbaya zaidi wa sasa hv wagonjwa wanajiuguza magonjwa mengine ya kuathirika kwa organs.... Kwa vile lengo la wanaohamasisha matumizi ya arvs yako kibiashara zaidi.... Leo hii huwezi sikia mtu kaumwa ukimwi kachoka tena but kisukari,kansa, uvimbe tumbo, kufail kwa ini magonjwa yote haya ynahitaji pesa ndo hapo pharmaceutical industries zinakokuwa zimepata wateja kwa kuugeuza mwili wako income source. ‘Effects of ARVs in whoonga are worse than heroin’
Nimekuwa nikiwaambia wagonjwa wangu kuwa waachane na hizi dawa kwani haziwasaidii chochote zaidi ya kuwageuza watumwa wa dawa za magonjwa mengine...... Kama ni kweli zingekuwa zinasaidia ukiumwa tb ungezitumia tu ukae sawa lakini ili upone hiyo tb ni lazima utumie dawa specific za Tb ili upone TB....
Daaaa namuhurumia lakini hajihurumii.Nashindwa Ku comments kwa MTU kama huyu..Mimba haziingii mkuu, na imegundulika akiwa anaudhuria matibabu ya kutafuta mtoto
UKIMWI haupo??!!! Watu mnachanganya sana mambo hapa.
Kwani UKIMWI ni nini?
-Kaveli-
Navyojua mimi Antobodies ndio zinapambana na Antigen,sasa ukiwa na HIV maana yake Antibodies zitaenda kpambana na Antigen(HIV) so wakipima ile contents za antbodies wakiona zina Protein za aina flan flan ambazo zinalink na hiv ndio unakuwa +
swali zuri vipimo vyote saiv viko kwa mtindo wa rapid test vikiwa na lengo laku detect antibody au antigen. Ili ku rahisisha utoaji wa majibu.
kuhusu kutumika kwa antbody siyo vyote kuna vipimo kama PCR kina detect HIV kwnye DNA , mwimbili pale pana kipimo kina itwa western blot, pia hosptal za kanda kama KCM kuna vipimo kama ELiSA. Ivyo usi kariri antbody.
unavyo sema hujawahi ona una maanisha nini? Kama hauna electron microscope unatarajia ona vp kirusi wakati ni intracellular?Mkuu nikikuomba unionyeshe kirusi cha ukimwi kipo??? si huwa wanachora yale ma-cell
sijawahi muona kirusi wa ukimwi japo hapo mwanzo niliamini yale mamichoro ya kirusi
[HASHTAG]#Toxoplazima[/HASHTAG] gondii is the protozooan transmitted from cats esp preg n more linked to human femàle abortions dont think about HIV madnessKaveli heshima yako mkuu.
nikupinge direct known case ya HIV +ve yoyote anaye tumia ant retrovirus therapy na asiye tumia huwa wanapatwa na hyo hali ni kutokana na kwamba kuna ugonjwa nyemelezi wa parasite ajulikanayo kama taxoplasma gondii analeta ( toxoplasmosis) kwenye ubongo na ndio maana hu muona mtu akiwa katka hali hyo. Pia kuna fungus wajulikanao kama cryptoccocus meningitis ambao uleta matatizo kwnye ubongo. Naomba ni heleweke kwa hlo.
Sasa Mkuu kinachoambukiza ni nini? Kuna case unaweza ukatembea na mtu HIV+ na usipate na vile vile Ukapata HIV,sasa tuchukulie mtu amepata HIV+ baada ya kutembea na muathirika,sasa pale anachoambukizwa ni nini? Kama hakuna HIV inakuwaje anakuwa transmitted kwenda kwa mtu mwingine?Ndio, kwanini wameita virusi halafu wanapima antibodies?? wasipime virusi??
Ukosefu wa Kinga Mwilini( AIDS) ambao husababishwa na VVU(virusi vya Ukimwi)/ HIV
VVU havipo kama havipo ukimwi utakuepoje?
Kwahiyo ni HIV tu ndiye barozi pekee wa UKIMWI ?
Sikiliza wewe... UKIMWI sio ugonjwa. UKIMWI/AIDS ni hali ya mwili kupungukiwa kinga. Narudia, UKIMWI is NOT a disease, rather it is a status whereby the body immune system becomes defenseless na kisha mtu anapata magonjwa/infections kirahisi, magonjwa hayo ni haya haya ya kila siku ya tangu enzi na enzi, yaani magonjwa ni haya haya wanayougua watu wote duniani... mfano mafua, malaria, upele, typhoid, tb, headache, diarrhea, n.k n.k
UKIMWI upo tangu enzi na enzi hata kabla ya uwepo wa HIV. UKIMWI sio ugonjwa na wala Ukimwi hauambukizwi, bali ni hali ambayo yaweza mtokea mtu yeyote ndani ya mwili wake. Mfano nikuulize, mtu mwenye TB na vipimo vinaonesha ni HIV negative, je mtu huyo anakuwa ana UKIMWI? au hana UKIMWI?
Kwahiyo ukisikia kwamba ''mtu amekufa kwa Ukimwi'' usidhanie kuwa 'Ukimwi' ndio kamuua huyo mtu, la hasha! Kunakuwa na ugonjwa specific ambao ndio umemuua.
To summarize, cheki hii formula:
1. UKIMWI ====> 2. UGONJWA/MAGONJWA ====> 3. KUUGUA ====> 4. KUPONA/KUFA.
SWALI la msingi sasa ambalo ndiyo linaendelea kuibua global discussion, ni hili: JE, NI NINI HUSABABISHA UKIMWI? hapa sasa ndipo kuna several school of thoughts and some conspiracies being taken on board. Go figure.
Panueni akili. Acheni kupanua miguu.
-Kaveli-
Tulia wewe, naona tunaongea lugha moja ila hatuelewani,
Nimesema UKIMWI/AIDS haupo sijasema upungufu wa kinga mwilini ambao unaweza kusababishwa na kutokula vyakula vyenye virutubisho muhimu
naongelea AIDS ambayo imepandikizwa akilini mwa watu ambao hauna dawa wala hauponi na unaambukizwa kwa ngono ndio naoongelea
narudia tena UKIMWI huo hapo juu haupo chini ya jua
Kwahiyo kwa uelewa wako, kuna 'UKIMWI' aina mbili tofauti?
-Kaveli-