Kwahiyo ni HIV tu ndiye barozi pekee wa UKIMWI ?
Sikiliza wewe... UKIMWI sio ugonjwa. UKIMWI/AIDS ni hali ya mwili kupungukiwa kinga. Narudia, UKIMWI is NOT a disease, rather it is a status whereby the body immune system becomes defenseless na kisha mtu anapata magonjwa/infections kirahisi, magonjwa hayo ni haya haya ya kila siku ya tangu enzi na enzi, yaani magonjwa ni haya haya wanayougua watu wote duniani... mfano mafua, malaria, upele, typhoid, tb, headache, diarrhea, n.k n.k
UKIMWI upo tangu enzi na enzi hata kabla ya uwepo wa HIV. UKIMWI sio ugonjwa na wala Ukimwi hauambukizwi, bali ni hali ambayo yaweza mtokea mtu yeyote ndani ya mwili wake. Mfano nikuulize, mtu mwenye TB na vipimo vinaonesha ni HIV negative, je mtu huyo anakuwa ana UKIMWI? au hana UKIMWI?
Kwahiyo ukisikia kwamba ''mtu amekufa kwa Ukimwi'' usidhanie kuwa 'Ukimwi' ndio kamuua huyo mtu, la hasha! Kunakuwa na ugonjwa specific ambao ndio umemuua.
To summarize, cheki hii formula:
1. UKIMWI ====> 2. UGONJWA/MAGONJWA ====> 3. KUUGUA ====> 4. KUPONA/KUFA.
SWALI la msingi sasa ambalo ndiyo linaendelea kuibua global discussion, ni hili: JE, NI NINI HUSABABISHA UKIMWI? hapa sasa ndipo kuna several school of thoughts and some conspiracies being taken on board. Go figure.
Panueni akili. Acheni kupanua miguu.
-Kaveli-