UKIMWI sasa baaaasi! Tujiachie tu mpaka shetani ashangae

UKIMWI sasa baaaasi! Tujiachie tu mpaka shetani ashangae

l
giphy.gif
Asee zemaulid inakuwaje. Jimena yuko wapi?
 
View attachment 2420481
KIBERA, Kenya – The Bill & Melinda Gates Foundation today announced two new grants totaling US$2 million for Kenyan HIV/AIDS prevention-focused initiatives. William H. Gates, Sr., co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation, made the announcement at an HIV/AIDS town forum in Kibera, a community in Nairobi.

Mr. Gates, Sr., and former U.S. President Jimmy Carter, co-founder of the Carter Center, today completed their joint mission to Kenya, South Africa and Nigeria. The mission called attention to the urgent need for comprehensive strategies to fight HIV/AIDS.

"Positive change on HIV/AIDS prevention happens locally, at organizations that are working with and within communities and on university campuses," said Mr. Gates. "These institutions are doing incredibly important work for the people of Kenya, but much more help is needed. With more than 700 new HIV infections in Kenya each day, it is critical that we continue to push forward with innovative prevention, care and support initiatives."
The new Kenya grants announced today are:

  • Strengthening STD/AIDS Control in Kenya Project (Universities of Nairobi and Manitoba): A grant of US$1 million over two years will cover three programs jointly run by the Universities of Nairobi and Manitoba. The first program, run by the Kenya Voluntary Women's Rehabilitation Centre (K-VOWRC), provides livelihood options and career training for under-age sex workers in Nairobi. The second program, the STD/AIDS Project, provides prevention counseling and support to sex workers and their clients in Nairobi's poorest communities, including Kibera. The third component is an initiative to establish targeted HIV prevention programs in Meru, the region with one of the highest levels of HIV in Kenya.

  • Moi University and Indiana University: The foundation is providing a grant of nearly US$1 million to the Moi University Faculty of Health Sciences (MUFHS). In partnership with the Indiana School of Medicine, the effort will incorporate HIV prevention into the routine clinical, educational, and research activities of Moi University Faculty of Health Sciences. Students will be trained in HIV prevention methods and will work in the local Community-Based Education and Service program.
Kuha hizi taarifa sijui zina ukweli?
IMG_20221115_223452_819.jpg
 
Aaah...! Nikiwaza yule Ke alivyokuwa akimfanyia Mumewe mwenye kisukari huwa naumia sana...[emoji24]

Ilifikia hatua akawa anagongwa hovyo hovyo na vijana wadogo na wakati mwingine hadi hapo hapo kwake kwakweli Mungu aniepushie mbali na hiyo adha [emoji119][emoji26]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Haya mambo yapo kote kote, ukute Baba akiwa active [emoji3] alikuwa mbabe hatari sasa siku ikiwa hivyo unazani mkewe afanyaje [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza lazima iangaziwe jamii isiyositarabika japokua hofu lazima iangaziwe Sana, maana kwa majaribio ya kisayansi tumosana pia
Wangeanzana wao huko kwao ndio ambao hawajastaarabika

Mpaka kufikia kuoana wanaume kwawanaume na kinyume chake

Afrika naumaskini wao na dhiki zao (zetu) ila ndio bara linaloongoza ama lapili kwaustaarabu

Hao wazungu hata maana yakustaarabika hawajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa inaisha sio kwa sababu Mke kakutwa na Ukimwi LA hasha,sababu ni kiwa hamna Mwanaume anayeweza kuvumilia kuishi na Mwanamke malaya.-hadi kapata ukimwi maana yake hiyo mwanamke hajatulia.
Ila ukimwi haupatikani kwaajili yaumalaya tu MKUU

Nahisi ndoa inavunjika sababu UKIMWI sio MALARIA kwamba utatumia dawa ama sindano upone baada ya kuupata

Mfano kenya UTI kuna muda ilikua inaweza kuvunja ndoa ila Tanzania UTI gonjwa lakawaida sanaaa

Ila kwaukimwi nadhani ishu tofauti MKUU ingawaje wanaoupata huo UKIMWI sio wote kwamba ni malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
''Ataleta Dawa inayozuia Ukimwi Afrika'' inashangaza kwakweli....means kuna sababu moja kati ya hizi:-

1) Ukimwi upo tu Afrika

2) Ukimwi wa Afrika ni special na haufanani na wa mabara mengine

3) Kuna wagonjwa/waathirika wengi zaidi wa UKIMWI barani Afrika kuliko kwingine

Halafu tumefurahia na kukenua meno kuanzia Rais

Tuna Ujinga mkubwa sana watu wa bara hili.
Tuna Ujinga mkubwa sana watu wa bara hili.



Nakazia MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeishi na ninaishi kwenye jamii. Kipindi au kizazi hiki hakuna mwanamke msamaria mwema. Anaishi sikwasababu anataka bali hana pakwenda. Kipindi cha kumwona mwanamke ni mtakatifu au mwaminifu sana kilishaisha muda na waliobaki ni wazazi wetu ambao ni kizazi cha zamani sio sasa. Mwanamke simwema kama mumtambulishavyo na hana uvumilivu kama msemavyo, bali upendo kwa watoto wake hautaisha. So, nothing new. Jamii ndio hii, uvumilivu hsuna maana kama utamuumiza mwenzako kipsycholojia kwa maneno au vitendo vya dharau. Mke au mme si ndugu na tumeyaona, mnalindwa ili kulinda heshima yenu yaani ya mwanamke ila kuna vitu vingi mnavifanya. Tunaishi katika jamii hii hii nasimkoa mmoja so hakuna uvumilivu kwa mwanamke, msijiongopee sista.
Haya sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka minne wakati muda huu tu watu wapo kuutafuta kwa bed,kwa kitchen,kwa swimming pool, kwa nk....
 
White skin will never sleep never rest, they are struggling to eliminate/vanish black skin.....

The secret they do not know is, melanin is valuable than Gold and Diamonds.... and they don't have one...

Wanapata tabu sana wakiona ngozi nyeusi inadunda kwenye kila majaribio ya maabara zao...

God's Love.
Nakusalimia mrembo wa kinyamwezi,habar yako binti Kasie
 
Kwanin Afrika? Na Isiwe dunia nzima

Mpuuzi sana huyu jamaa, kwa nini hasianzie huko kwao Merikani ambako ugonjwa huu ulihibukia kwa mara ya kwanza Duniani - Afrika inapaswa kuwa makini na jamaa huyu, kaona chanjo zake za kovidi zimebuma sasa anakuja na plan 'B' akiwa na lengo lile lile la kudhibiti ongezeko la watu Duniani especially third World Nation, group lake la watu wenye mawazo ya ajabu bado wako determined kutekeleza malengo yao kwa kutumia njia tofauti za kisayansi ambazo watawala wengi barani Afrika na Asia wala hawawashtukii!! Wana wajia na chango za vijana wadogo wa jinsia ya kike wakidai ni kinga dhidi ya cervicle cancer kumbe wanaongezea virutubisho vya kuzuia wasichana wasitunge mimba kirahisi na wakipata mimba ina haribika mapema, tatizo hilo liligunduliwa na wataalamu wa Malaysia na Ufilipino wakai tahadhalisha Dunia kuhusu chanjo anazo zipigia debe Bill Gates.

Simsemi vibaya Bill Gates, nisicho kitaka mimi ni imani zake hatarishi za kupinga ongezeko la idadi ya watu Duniani akilenga continent la Afrika na baadhi ya mataifa barani Asia - pamoja na umaskini wetu barani Afrika tuqw makini sana na nyenendo za jamaa huyu ambaye yeye na wenzake wenye imani hatarishi wana ajenda zao za siri huku wakijifanya kutoa misaada mingi ya kibinadamu.
 
Back
Top Bottom