Mwwe kweli insurance maana in case shitt happens.Hapa nilipo ipo pembeni inakoroma mkuu[emoji23][emoji23]
Ila hii nimeikatia issuarence
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwwe kweli insurance maana in case shitt happens.Hapa nilipo ipo pembeni inakoroma mkuu[emoji23][emoji23]
Ila hii nimeikatia issuarence
Sasa mbususu na hiv sii kama vuzi na uchi🤣🤣🤣🤣Mzabzab unaanza change mada sasa hivi unatuleta kwenye mbususu 😃😃🤣🤣🤣🤣
,😁😁😁😁😁🏃🏃🏃🏃🤜🤜🤜🥱🥱🥱🥱Sasa mbususu na hiv sii kama vuzi na uchi🤣🤣🤣🤣
White skin will never sleep never rest, they are struggling to eliminate/vanish black skin.....
The secret they do not know is, melanin is valuable than Gold and Diamonds.... and they don't have one...
Wanapata tabu sana wakiona ngozi nyeusi inadunda kwenye kila majaribio ya maabara zao...
God's Love.
Kwanin Afrika? Na Isiwe dunia nzima
HIV is a proj kama Malaria ilivyo...
Wanavyoambiwaga mtu wa kwanza duniani alikuaga black hawaelewi. Hawatuwezi
Wazungu hawa wanalakujb Kwa mungu, sijui wanatuonaje Yani [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
''Ataleta Dawa inayozuia Ukimwi Afrika'' inashangaza kwakweli....means kuna sababu moja kati ya hizi:-
1) Ukimwi upo tu Afrika
2) Ukimwi wa Afrika ni special na haufanani na wa mabara mengine
3) Kuna wagonjwa/waathirika wengi zaidi wa UKIMWI barani Afrika kuliko kwingine
Halafu tumefurahia na kukenua meno kuanzia Rais
Tuna Ujinga mkubwa sana watu wa bara hili.
Bara la majaribio, huku huku Africa km unakumbuka ndio maabara ya virus ilipoanzia wakaanza na nyani kisha nyani akafanya yake ukaanza kuendelea kuenea kote, kwa hio wakimaliza Africa wamemaliza duniani, in short Africa ndio duniani Africa ndio bara lenye nguvu ila ndio bara masikini, bara lenye utajiri mwingi ulioanza kuchotwa karne na karne na watu wake kubakia masikini karne na karne,
Wameanza Tena, Hata COVID 19 Walianza Hivi Watupige Cha Juu
Kwasababu we are the test subjects acha kututetea. Dawa haipo FDA approved nawewe bado unaitaka[emoji23][emoji23][emoji23], waAfrica tutakufa vibaya aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nichokoze uone! Unadhani siufahamu ujinga uliomo kwenye ugonjwa wa kutungwa?
Nikupe hints kwa kukuuliza maswali?
Wewe ndo unaonekana hujui kitu, kuporoja kwingi sna nyinyi ndo mnafanya wengi sna wanakufa na huu ugonjwa sabbu ya mitazamo yenu ya kipumbavu sna
Hizi ni zama za science na technology sio kuropoka tu
Jibu maswali yafuatayo;
Kuna vipimo hospitali vyenye uwezo wa kuona virusi?
Kama kuna dawa ya kufubaza virusi kwann hakuna dawa ya kutibu ukimwi?
Kama ni hivyo basi ni vyema, hamna shida.
Hakuna. Vipimo vinapima antibodies
Swali lipo kitaaluma sana, kwann umehisi uwepo wa dawa za kufubaza bila kuwepo dawa ya kutibu ni kiashiria kuwa HIV ni fix. Mkuu mm sikupuuzi, wazungu si wa kuamini 100%, ukibahatika kufanya nao kazi katika taasisi kubwa huwezi dharau hofu yako.
Kama flat earthers pia[emoji16]Naenda na tone yake boss ili afunguke sababu zinazomfanya aamini HIV ni uongo huenda tukajifunza kitu. Watu kama hawa huwa napenda kujadiliana nao, wakati wote mnaenda kulia yeye anaenda kushoto. Inafurahisha kujua kwann wamechagua kuwa tofauti na dunia [emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa nimeconclude ni wa form 7 au form 4
Haya maswali yako ni ya biology ya form 4
Anyway hakuna kipimo kinachoweza kuona kirusi bali kipimo kinatumia mechanism ya immunoeassy means....kinauwezo wa ku detect antibody against HIV virus
Yaani akiingia HIV virus mwilini mwako mwili una respond na kuzalisha antibody against antigen(HIV virus)
Hizo antibody haziwezi kuzalishwa na mwili mpaka pale tu iwe ni HIV virus kaingia
Kama utasema hivyo hata hivyo vipimo vyengine vya H-pylori, mrdt for malaria , homa ya ini huwezi kuona parasite au bacteria husika kwaiyo navyo havikubaliki?
Pili imekua ni ngumu kupata dawa inayotibu HIV sabbu ya mechanism ya virus in multiplication wanachofanya wanatumia cells zko to make their millions copy
Na hua ukiwa attack wanajificha in periferal organs zako(liver,kidney ) na kua dormant kwa mda then wanarudi tena thats why mtu akiwa anatumia dawa vzur kila sku basi hivi vimelea vinapotea kwenye blood circulation ndo maana tukumchukua mtu huyu damu kwa ajili ya kupima VRL tunakuta inasoma TND (target not detected) means no virus detected ila haimanishi tayar amekua HIV negative
Ni kwamba havipo tu kwenye circulation
Daaaah yaan mda wote huu nilikua najua hili gonjwa ngozi nyeupe hawana.. au virusi vimetofautiana makali...?