colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Inakuaje kwani unapomjeruhi simba au tembo halafu ukamuacha umetulia unamwangalia?Kwani ukianza then ukaacha hapa inakuaje sijakupata mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuaje kwani unapomjeruhi simba au tembo halafu ukamuacha umetulia unamwangalia?Kwani ukianza then ukaacha hapa inakuaje sijakupata mkuu
Oh wenza ndio wanatupeleka kaburini mwenyewe aloyekuwa gelofrend wangu ndio kaniunganisha kwa grid. Bora ningeendeleaga na malaya tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kwel ila angalia mtu asije pata mixed infection yaan ukawa na HIV 1 and HIV 2 at same time.....Oh wenza ndio wanatupeleka kaburini mwenyewe aloyekuwa gelofrend wangu ndio kaniunganisha kwa grid. Bora ningeendeleaga na malaya tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa tunaachake kichakata mbususu wakati ndio za burudani mzeya.Nacheka ka mazuri..😃😃😃😃😃😃😃😃😃 sema na we unachakata sana aiseeeeee daaah... Hvyo unaona bora ungeendelea tuu na malaya
Yaaan kuna mifano inakufanya mtu ucheke maana inaeleza really situation kwa jokes sana😃😃😃😃😃😃😃 hapo nimeelewa mkuu 🙏🙏🙏Inakuaje kwani unapomjeruhi simba au tembo halafu ukamuacha umetulia unamwangalia?
Umeona sasa😃😃😃😃😃 wee una shida sasa😃Sasa tunaachake kichakata mbususu wakati ndio za burudani mzeya.
Ehh kumbe kuna viris viwili tena...ah nyie sasa mnatufunga kamba🤣🤣🤣🤣 sii umesema kirusi hakionekana sasa inakuwaje mkajia kuna virus viwili. Jombaa mbona kama mnataka insult our intelligence sasaNi kwel ila angalia mtu asije pata mixed infection yaan ukawa na HIV 1 and HIV 2 at same time.....
Hapana shida ni burudani tuu usipo kufa kwa ngoma utakufa kwa ajali ya ndegeUmeona sasa😃😃😃😃😃 wee una shida sasa😃
Tena msikilize jamaa kwa makini... Kiufupi ana taaluma ya hayo mambo sasa weee endelea upate hiyo 2 in 1 😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ehh kumbe kuna viris viwili tena...ah nyie sasa mnatufunga kamba🤣🤣🤣🤣 sii umesema kirusi hakionekana sasa inakuwaje mkajia kuna virus viwili. Jombaa mbona kama mnataka insult our intelligence sasa
Kwenye ndege hapo.. majaliwa yupo labda kwa gari... Ila wew wote tunakufahamu kuwa ni mchakataji mzuri sana.... Sasa ulijichanganya vipi kuwa na gelofrend😃🤣🤣🤣🤣🤣Hapana shida ni burudani tuu usipo kufa kwa ngoma utakufa kwa ajali ya ndege
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jomba kipimo kile km ushawai kiangalia kimeandikwa HIV 1 , sehem nyengine kimeandikwa HIV 2 hizo ni species mbili tofaut wengi wana moja tu , na wachache wanatokea wana zote mbili hua inaleta shida kidgo kwenye drug resistenceEhh kumbe kuna viris viwili tena...ah nyie sasa mnatufunga kamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sii umesema kirusi hakionekana sasa inakuwaje mkajia kuna virus viwili. Jombaa mbona kama mnataka insult our intelligence sasa
Kwanza ushamchanganya hapo🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jomba kipomo kile km ushawai kiangalia kimeandikwa HIV 1 , sehem nyengine kimeandikwa HIV 2 hizo ni species mbili tofaut wengi wana moja tu , na wachache wanatokea wana zote mbili hua inaleta shida kidgo kwenye drug resistence
Ila sio big issue jomba tuachane na hizi mada....we kula sna juice za parachichi jomba .......na matunda
Sasa ukiwa nazo mbili sii ndio vizuri mzeya maana watakulana wenyewe kwa wenyewe humo mwilini hivyo dawa haipatishida sana kuwasambaratisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jomba kipomo kile km ushawai kiangalia kimeandikwa HIV 1 , sehem nyengine kimeandikwa HIV 2 hizo ni species mbili tofaut wengi wana moja tu , na wachache wanatokea wana zote mbili hua inaleta shida kidgo kwenye drug resistence
Ila sio big issue jomba tuachane na hizi mada....we kula sna juice za parachichi jomba .......na matunda
Ah sii ilikuwa pisi nikataka na mie niwe na ongozana na pisi kali....nyooo kumbe watu wanajipigia tuuKwenye ndege hapo.. majaliwa yupo labda kwa gari... Ila wew wote tunakufahamu kuwa ni mchakataji mzuri sana.... Sasa ulijichanganya vipi kuwa na gelofrend😃🤣🤣🤣🤣🤣
Watakulana...then eg kirusi baada ya kulana kinapata mimb baada ya masaa 2 what next hapo wakianza kulana kwa wiki mbili.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃 Maana uchakataji upo kwa viumbe vyoteSasa ukiwa nazo mbili sii ndio vizuri mzeya maana watakulana wenyewe kwa wenyewe humo mwilini hivyo dawa haipatishida sana kuwasambaratisha
Juice ya parachixhi, sio juice ya ubuyu tena? Ah nyi madaktari mnatuchanganya bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jomba kipimo kile km ushawai kiangalia kimeandikwa HIV 1 , sehem nyengine kimeandikwa HIV 2 hizo ni species mbili tofaut wengi wana moja tu , na wachache wanatokea wana zote mbili hua inaleta shida kidgo kwenye drug resistence
Ila sio big issue jomba tuachane na hizi mada....we kula sna juice za parachichi jomba .......na matunda
Vipi sasa...🤣🤣🤣 Ujapata tena pic ya kutulia nayo mazima maana kwa wa kwanza ulitelezaAh sii ilikuwa pisi nikataka na mie niwe na ongozana na pisi kali....nyooo kumbe watu wanajipigia tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hhahahaha mamba kwani hua wanakulana wenyewe kwa wenyewe mkuuSasa ukiwa nazo mbili sii ndio vizuri mzeya maana watakulana wenyewe kwa wenyewe humo mwilini hivyo dawa haipatishida sana kuwasambaratisha
Hatari yaani wakichakatana humo wanaleta specie nyingine tofauti. Dah balaa kweli kweli.Watakulana...then eg kirusi baada ya kulana kinapata mimb baada ya masaa 2 what next hapo wakianza kulana kwa wiki mbili.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃 Maana uchakataji upo kwa viumbe vyote
Huyu ndo correctly zaidi...Juice ya parachixhi, sio juice ya ubuyu tena? Ah nyi madaktari mnatuchanganya bwana