Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Eti ni kweli Bosi (Bill Gates) huwa hanuniwi sababu ya kutegemea misaada [emoji848][emoji847]''Ataleta Dawa inayozuia Ukimwi Afrika'' inashangaza kwakweli....means kuna sababu moja kati ya hizi:-
1) Ukimwi upo tu Afrika
2) Ukimwi wa Afrika ni special na haufanani na wa mabara mengine
3) Kuna wagonjwa/waathirika wengi zaidi wa UKIMWI barani Afrika kuliko kwingine
Halafu tumefurahia na kukenua meno kuanzia Rais
Tuna Ujinga mkubwa sana watu wa bara hili.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app