UKIMWI sasa baaaasi! Tujiachie tu mpaka shetani ashangae

Eti...nini? Endelea kujifariji au hao wasoojua sio kwa mimi ambae nimefanya kazi CTC kwa mda mrefu sna
Acha kujitia ujuaji wewe mgawa vidonge. Unatumia vipimo vilivyosetiwa na magwiji wa porojo halafu wewe unajitia kujua? Unajua nn wewe? Kuna kipi ulichowahi kugundua ewe mgawa vidonge uliyejipachoka jina la daktari??
 
Duuh. Mkuu una uelewa wowote kuhusu ukimwi
 
Acha kujitia ujuaji wewe mgawa vidonge. Unatumia vipimo vilivyosetiwa na magwiji wa porojo halafu wewe unajitia kujua? Unajua nn wewe? Kuna kipi ulichowahi kugundua ewe mgawa vidonge uliyejipachoka jina la daktari??
Wewe ndo unaonekana hujui kitu, kuporoja kwingi sna nyinyi ndo mnafanya wengi sna wanakufa na huu ugonjwa sabbu ya mitazamo yenu ya kipumbavu sna

Hizi ni zama za science na technology sio kuropoka tu
 
Care and treatment clinic

Yaani kliniki ya matunzo na tiba

Ni kwaajili ya ndugu zetu ambao tayar wameshakua HIV positive kuja kupata dozi , Ushauri n.k
Aaaah huwenda ikawa anachokiongea huyo jamaa aliyepo huko CTC ana uzoefu nacho
 
Wewe ndo unaonekana hujui kitu, kuporoja kwingi sna nyinyi ndo mnafanya wengi sna wanakufa na huu ugonjwa sabbu ya mitazamo yenu ya kipumbavu sna

Hizi ni zama za science na technology sio kuropoka tu
Jibu maswali yafuatayo;
Kuna vipimo hospitali vyenye uwezo wa kuona virusi?

Kama kuna dawa ya kufubaza virusi kwann hakuna dawa ya kutibu ukimwi?
 
Hakuna. Vipimo vinapima antibodies

Swali lipo kitaaluma sana, kwann umehisi uwepo wa dawa za kufubaza bila kuwepo dawa ya kutibu ni kiashiria kuwa HIV ni fix. Mkuu mm sikupuuzi, wazungu si wa kuamini 100%, ukibahatika kufanya nao kazi katika taasisi kubwa huwezi dharau hofu yako.
 
Mkuu unajibu kwa experience na uelewa et..?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom