[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa nimeconclude ni wa form 7 au form 4
Haya maswali yako ni ya biology ya form 4
Anyway hakuna kipimo kinachoweza kuona kirusi bali kipimo kinatumia mechanism ya immunoeassy means....kinauwezo wa ku detect antibody against HIV virus
Yaani akiingia HIV virus mwilini mwako mwili una respond na kuzalisha antibody against antigen(HIV virus)
Hizo antibody haziwezi kuzalishwa na mwili mpaka pale tu iwe ni HIV virus kaingia
Kama utasema hivyo hata hivyo vipimo vyengine vya H-pylori, mrdt for malaria , homa ya ini huwezi kuona parasite au bacteria husika kwaiyo navyo havikubaliki?
Pili imekua ni ngumu kupata dawa inayotibu HIV sabbu ya mechanism ya virus in multiplication wanachofanya wanatumia cells zko to make their millions copy
Na hua ukiwa attack wanajificha in periferal organs zako(liver,kidney ) na kua dormant kwa mda then wanarudi tena thats why mtu akiwa anatumia dawa vzur kila sku basi hivi vimelea vinapotea kwenye blood circulation ndo maana tukumchukua mtu huyu damu kwa ajili ya kupima VRL tunakuta inasoma TND (target not detected) means no virus detected ila haimanishi tayar amekua HIV negative
Ni kwamba havipo tu kwenye circulation