Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe,mawazo_mazuriWe unaumwa zaidi saikplojia... acha uoga. Zaidi ya 55% ya wanaume wanaofanya mapenz na wanawake waathirika kwa mara moja hawapati maambukizi. Hii ina maana kuwa una 55% probability ya kuwa hujaathirika. Pili, hata kama umeathirika, una zaidi ya miaka 5 kabla hujaanza kupata magonjwa nyemelezi (CD4 kushuka sana). Tatu, hata baada ya CD4 kushuka sana, una zaidi ya miaka 15 ya kuwa na afya njema kwa kutumia ARVs.
Kwa hiyo, Kwanza 55% kuwa hujaathirika, pili, miaka 5 kabla hujaugua, tatu miaka 15 au zaidi ya kuishi na afya kwa ARV..
miaka 5+15=20... hiyo ni minimum... ina maana hata kama kwa bahati mbaya uliambukizwa, una zaidi ya miaka 20 ya kuishi. Hivi hadi miaka 20 ijayo, tiba ya HIV itakuwa haijapatikana kwa kweli? Mi nadhani itakuwa imepatikana...
So, ondoa hofu mdogo wangu... miaka 20 inakutosha kutimiza ndoto zako zote za maisha. By the way unaweza shangaa hata kama usingeathirika na HIV, ndani ya hiyo miaka 20 (au zaidi, maana tafiti zinazidi kugundua dawa imara kila zaidi kila siku), ungekufa labda kwa moyo, cancer au ajali... so kifo kipo tu hata usingeambukizwa...
In addition, kwa nchi zilizoendelea kama ulaya wanatumia 3rd generation ya HIV, inayompa mtu uhakika wa kuishi zaidi ya miaka 40 baada ya kuathirika. Kwa Tanzania kwa sasa tunatumia ARV duni kwa sababu ya ukata wa serikali. Hata hivyo ARV hizo bora zimeanza kushuka bei huko duniani, na bila shaka ndani ya miaka michache, Tz itaanza kuzitumia, na utahakikishiwa kuishi hadi miaka 50 kutoka sasa... Sasa mdogo wangu una miaka mingapi sasa hivi... kama utaishi miaka 50 ijayo, kuna haja ya wewe kuwa na wasiwasi?
Nikuambie kitu... kama unasoma, au unafanya kazi, basi fanya bidii ili baadae uwe na ela ya kutosha kula na kugharamia dawa. Pia kama unasoma, soma kwa bidii ili baadae usilazimike kufanya kazi ngumu na hatarishi, zitakazoyaweka maisha yako hatarini...
Sawa e? Dont worry... wengi unaowaona humu, au huko uliko wanacheka, wanaishi kwa furaha ni waathirika, but hawana wasiwasi na wanaishi maisha mazuri na yenye afya zaidi ya maelfu ya wengine ambao hawajaathirika...
Lastly... Why worry if you can pray? Mungu wako hawezi kukuadhibu na kukutelekeza kwa dhambi moja bana... kula maisha... nothing has changed in you
By the way we ni mzima... hujaathirika...
Hivi ile part three ulishaianza nikaitembelee.asante kaka kwa ushauri wako, but usiwe na hofu juu yangu kabisa.
Hivi ile part three ulishaianza nikaitembelee.
Sio siri ilikuwa movie kali sana. du imeniacha na kiu.ile ilibidi niipitishe chemba manake ilikua movie kali sana
Huyu kengine miambie kisubiri kidogo,katapata mwaliko rasmi baada ya miezi 2.Dugu
Ukila asali lazima ujilambe!
Una haraka ya nini kujua vipimo mapema?
Mshahara wa dhambi........]
Sina haraka sana mkuu ya kutaka kujua hali yangu, lakini natamani kujifahamu maana kulikuwa na kengine kazuri zaidi sana ya yule sitaki kukaua iwapo nitakuwa na tatizo. Kamekuwa kakitamani kuja Home mala nyingi nikape mambo lakini naogopa kukaambukiza. Nakama nilivyosema hapa Singida rufaa hakuna kipimo hicho.
Ukumbuke kutumia mifuko ya platiki.
Nako kanaonekana kazuri? Kumshinda yule uliyempeleka kufanya uchunguzi pamoja na kukutikana ana HIV?
Kama jibu ni ndio...basi haka kengine katakuua wewe katika wiki 6 tu!!!
Huyu kengine miambie kisubiri kidogo,katapata mwaliko rasmi baada ya miezi 2.
Ukumbuke kutumia mifuko ya platiki.
Nako kanaonekana kazuri? Kumshinda yule uliyempeleka kufanya uchunguzi pamoja na kukutikana ana HIV?
Kama jibu ni ndio...basi haka kengine katakuua wewe katika wiki 6 tu!!!
katika mwezi mzima sijawahi cheka lakini leo nimecheka sana bro asante kwa ushauri.
Fanya mazoezi mara kwa mara,kula vizuri,ukisubiri kifo! Hakuna msamalia hapa mkiambiwa acheni umalaya eti oooh mapenzi basic basic need.
Fanya mazoezi mara kwa mara,kula vizuri,ukisubiri kifo! Hakuna msamalia hapa mkiambiwa acheni umalaya eti oooh mapenzi basic basic need.
ninmwezi mmoja tu tambu ni fanye mapenzi na dada ambaye baada kumfanya tulienda maabara kupima maana nilimuona anavutia sana na alikuwa na umri wa miaka 19 tu hivyo nikaamini atakuwa mzima. Baada ya kumfaidi nikajenga hoja ya kujua afya zetu na tulivyopima sikuamini matokeo binti alikutwa na UKIMWI na hakuwa na wasiwasi kabisa akaanza kunipa pole.
Naomba msaada wandugu kama kunaaina ya kipimo ambacho naweza kufanya nikawa na uhakika wa afya yangu maana mala tumbo, kichwa, usingizi saa 8 unakatika, kichefuchefu, mafua na kikohozi, mwili kuwasha. hayo ni machache tu kwa dalili na magonjwa niliyonayo.
haja yangu sio kujianika kwa umalaya wangu bali nimeamua kuandika hapa nikijieleza kwa DR ili niweze kupata msaada wa aina ya kipimo maana rapid test inaonyesha hakuna tatizo lakini mpaka miezi mitatu ndipo huwa na uhakika lakini iwapo kunakipimo ambacho naweza kujua hali yangu ndani ya hizi wiki 6 tangu nikutane kimwili na yule dada nitafurahi.
We unaumwa zaidi saikplojia... acha uoga. Zaidi ya 55% ya wanaume wanaofanya mapenz na wanawake waathirika kwa mara moja hawapati maambukizi. Hii ina maana kuwa una 55% probability ya kuwa hujaathirika. Pili, hata kama umeathirika, una zaidi ya miaka 5 kabla hujaanza kupata magonjwa nyemelezi (CD4 kushuka sana). Tatu, hata baada ya CD4 kushuka sana, una zaidi ya miaka 15 ya kuwa na afya njema kwa kutumia ARVs.