Ukimwi unaniuwa kwa haraka jamani

Pole! Ila usiamini HIV Streps sometime huwa vina react even wit malaria! Bt kama umefanya na Determine then UN GOLD vika react vyote posibilty ya kukosekana HIV kwenye elisa ni ndogo sana!ila usiogope
 
Ubarikiwe,mawazo_mazuri
 
Wewe unaumwa wasiwasi, tuliza mukali!
 
unaeza ukaenda hata kwenye hivi vituo wanapotoa arv and ukiongea vizuri na daktari anaeza akakuonea huruma akakuanzishia hii treatment ambayo kitaalamu inaitwa post exposure prophylaxis but inafanya kazi only within 72 hours after exposure na utazitumia for 28 consecutive days ila madhara yake ni kwamba unaeza kupoteza maisha due to liver failure since most of these arv's zina sumu kali kwa baadhi ya watumiaji
 
 
 
Sasa unatetemeka kupata shahada ya uzamivu kwenye ngono?UKIMWI ni umaarufu tu kama umaarufu mwingine ,chapombe,changudoa ,kibaka,miwaya endelea tu kumfaidi huyo dada mwenye miaka 19!
 
Fanya mazoezi mara kwa mara,kula vizuri,ukisubiri kifo! Hakuna msamalia hapa mkiambiwa acheni umalaya eti oooh mapenzi basic basic need.

kuwa na maneno faraja kwa wagonjwa mkuu
 
Fanya mazoezi mara kwa mara,kula vizuri,ukisubiri kifo! Hakuna msamalia hapa mkiambiwa acheni umalaya eti oooh mapenzi basic basic need.

kama hukupata zero form four itakuwa ulifaulu kwa chabo,umeshindwa hata kujua chanzo cha maambukizi ya ukimwi si ngono pekee bali kuna vitu kama kushare vitu vyenye nncha kali,ajali za barabarani,kuongezewa damu ya mtu aliyeathirika n.k....hata ivyo kama hukuwa na cha kumshauri si ungefunga bakuli lako ilo..... M.A.L.A.Y.A wa maneno wee....sikutaraji kama kuna binadamu wana moyo wa kinyama kama wako bt kumbuka usitukane mamba kabla ya kuvuka mto......
 
hospitali kubwa za rufaa, muhimbili, bugando na kcmc wana kipimo cha viral DNA, hiki ndio GOLD STANDARD katika upimaji wa HIV....kawaida bila hata kutumia dawa dalili za Ukimwi huanza kuonekana takribani miaka 10 baada ya kuambukizwa. Ondoa stress, ndio zinakutesa kwa sasa, kapime tena baada ya miezi sita utakuwa na uhakika zaidi
 
Pole sana Ndg Mwakambaya Mungu ni mwema anaweza kukuhurumia lakini pia tafuta maji ya TB Joshua wengi yamewaponyesha na kuwakinga na magonjwa mbalimbali
 
kwani kupata kirusi ndo kufa, wewe vipi?
ungekuwa unaogopa hivyo nani alikutuma kufanya.
 

At least five European and American studies have consistently demonstrated that male-to-female HIV transmission during vaginal intercourse is significantly more likely than female-to-male HIV transmission. In other words, HIV-positive men are much more likely to transmit the virus to HIV-negative women through vaginal intercourse than HIV-positive women are to HIV-negative men.
For men, HIV must enter through a cut or abrasion on the penis, through the lining of the urethra inside the penis. There has been some research suggesting that men who are uncircumcised have a higher risk of becoming infected with HIV or transmitting the virus if they are already HIV positive.

So you are still having a good chance my brother.
 

Wewe kiboko sijawahi ona!!! Haya maandishi yako yanafaa kupewa kila mtu anayepima na kukuta ameadhirika.

Kudos mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…