Ukimwi unaniuwa kwa haraka jamani

nenda muhimbili kuna fourth generation test inayoweza kukujulisha afya yako mkuu
 
Mungu akusaidie upone katika hili...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
punguza mawazo.. Omba Toba kwa Mola wako. jishugulishe saana na kazi zako... huwez kuwa na hakika kama umeathirika au lah mpaka upime.. vumilia miez 3 halafu upime. Epuka vishawish vya ngono pia.. kama filamu za x... nk...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…