Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 657
- 1,540
Tanzania kuna Watu milioni 60+ (Sensa 2022)Vijana mnaopiga kavu mna mioyo migumu sana...yaan Karne ya 21 unapiga kavu?
kila mtu angepiga na ndom idadi yetu Watanzania tungekua chini ya milioni 20.