UKIMWI upo ndugu zangu

UKIMWI upo ndugu zangu

Hii kitu nakuwa sielewi,
Broo alikufa kwa hii kitu 1999, mke mkubwa Alifuatia mwaka 2000,

mke wa pili mdogo anatumia ARV yuko hai hadi leo anadunda mwaka wa 25 huu tangu mmewe afariki.
Hii inatokana na dawa kukukataa
Huwa kuna aina tatu za dawa
Wanakupa ya kwanza ikikataa wanakupa ya pili ikikataa
Wanakupa ya tatu nafikil hii ya tatu ndio balaa coz unameza mara mbili kwa siku kwa hiyo hizo dawa zikigoma zote tatu hapo ndio basi tena unasubili kupata Ukimwi na kufa
 
Daaah! yawezekana ndo iliyotokea kwa mjomba.Wake zake wanadunda tu na ARVs.
 
UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.

Tuwe makini na wadada.
Kayatimba... ila S.A since February wameanza kutoa chanjo na dawa tiba awahi kwa madiba.
 
Ukiwa kwenye ndoa ni vigumu kuukwepa ukimwi.Labda Mungu tu akusaidie.
 
Mwanzoni utakavoanza kutumia Dawa utanenepa kweli utakua Na afya nzurii hutoonekana kama mgonjwa utatumiaaa Ila itafika point Dawa itakukataa within a week utamomonyoka utakonda kama Kuku kishingo zile dalili zitaanza kujidhirisha mapele vidonda mdomoni kuharisha nywele kubadilika mwishowe utafariki........pia ukitumia muda mrefu kama zisipokukataaa utaishia kupata ugonjwa wa figo
 
nshashtuka humu wengi wameshaungua wanajibizana wenyewe kwa wenyewe utafikiri wanaongelea malaria au mafua vile wanataka na wengine waingie mkenge kama wao. ndugu zangu iyo sio vizuri.

kama uliteleza ukaupata ndo imeshatokea ivo auwezi kurudi nyuma wew mshukuru mungu ila waokoe wengine

Acha uoga bana mdogo. Ukimwi siyo ugonjwa, wee nenda zingatis maokoto halafu acha uasherati/uzinzi. Ukiwa na hivi utafanikiwa maishani.
 
Zinaa vitawamaliza vijana

Hamna kitu kinachonisikitisha kama kuwa na taifa lenye vijana wanaoisha kwa sababu ya zinaa.

Na wazungu wametutegea tu. Wanaendelea kutupa misaada ya arv. Huku nchi zetu zikiwa zimestarehe na kubweteka bila kujishughulisha kupata dawa zetu wenyewe.

Sasa subiri, wasitishe huo msaada. Hawa vijana watadondoka wengi sana.
 
Deception hv yupo duniani kweli jamani,au ndio ameshazikwa kwa ugonjwa huu manake si kwa yale madharau yake kwamba hakuna Ukimwi,ni uoga wetu tu,sijamuona siku nyingi mno
 
UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.

Tuwe makini na wadada.
Haka yani uni... Kavu kama huwez kuvaa Condom basi Kilainishi kipo nikupake unisuguwe mpk basi lakin kama vyote Hamna sikupi Ng'oo.
 
Acha uoga bana mdogo. Ukimwi siyo ugonjwa, wee nenda zingatis maokoto halafu acha uasherati/uzinzi. Ukiwa na hivi utafanikiwa maishani.
Siku mzungu akiacha kuleta hizo ARV ndio mbivu na mbichi zitajulikana kama huo ukimwi ni ugonjwa au ni kitu gani.

Kama bado hujaukwaa jilinde na ujikinge kijana taifa bado linakutegemea.
 
Siku mzungu akiacha kuleta hizo ARV ndio mbivu na mbichi zitajulikana kama huo ukimwi ni ugonjwa au ni kitu gani.

Kama bado hujaukwaa jilinde na ujikinge kijana taifa bado linakutegemea.

Hawa vijana hawaujui ukimwi ndiyo maana wanajifanya vidume. Sisi tulioshuhudia mabaunsa yakipukutika mpaka kufikia kilo 2, hatuwezi kucheza na ukimwi. Nashauri serikali ianze kuonesha senema za miaka ya themanini mwishoni na tisini, ili waelewe maana ya ukimwi. Zamani barabara za kuingia miji mikubwa yote Tanzania, utaona mabango maubwa yenye kuonya ukimwi. Yaliambatana na picha zenye kuogofya za watu waliokonda mpaka ngozi imeshikana na mifupa. Lakini siku hizi hakuna mabango hayo.
 
Ukimwi ni kama mafua tu siku hizi [emoji81][emoji81][emoji81]chapeni iyo kitu vijana
 
Back
Top Bottom