UKIMWI upo ndugu zangu

UKIMWI upo ndugu zangu

Inshort ulimnyanyapaa

uyo dada alijinyanyapaa mwenyewe kwa kuficha hali yake na hata kama tukasema alikuwa hajijui hali yake maana yake alikuwa mtu hatarishi zaidi maana hata dawa alikuwa hajaanza kutumia, sasa mtu kama uyo kuambukiza ni chapu tu
 
🤣🤣🤣Binadamu bwana
Daily wanaume wa jf mmekuwa mkihamasisha ngono,utasikia tombeer huyo,kula mbususu,akiileta sugua,mkaze halafu mteme, na lugha zingine za karaha za kutukuza ngono zembe mkidhani mnawakomoa wanawake,

Leo mnamkana memba mwenzetu,kweli pata matatizo ujue rafiki na adui zako👌

Jamii inajengwa na mtizamo yenu wanajamii,na wanaume wa kitz sio wote mmekuwa mkijinadi ni vinara wa ngono zembe,hadi mnapeana koneksheni za madanguro kwenye miji mikubwa na namba za malayaah.
Kijana pole yake,afike ctc atapimwa again na kama kaathirika kweli atapewa councelling na mengineyo.
ulishaona sehemu nikihamasisha ngono zembe?
natamani usingereply kwenye comment yangu
 
uyo dada alijinyanyapaa mwenyewe kwa kuficha hali yake na hata kama tukasema alikuwa hajijui hali yake maana yake alikuwa mtu hatarishi zaidi maana hata dawa alikuwa hajaanza kutumia, sasa mtu kama uyo kuambukiza ni chapu tu
Ilibidi amchane tu hapo hapo sasa kamsnitch
 
Ukiwa unatumia vilainishi ni ngumu sana kupata maambukizi maana hakuna michubuko
Virus wa Ukimwi wanapita zaidi kwenye epithelium cells na wala siyo kwenye hilo lingozi la nje la uume.
Epithelium celss ni kama ile ukibinua jicho ile ngozi nyekundu, au ukibinua mdomo ile ngozi nyekundu, au ukibinua kitundu cha mkojo kwenye uume ile ngozi nyekundu. Hizo epithelium cells ndo zina receptors nyingi zaidi za HIV.

Kwa hiyo msijidanganye na ishu ya kutumia vilainishi au sijui kukwepa michubuko. Load ya kutosha ikiweza kucontact na ngozi ndani ya tundu la uume imekula kwako!
 
Naomba kuuliza,
1. Kwenye kusex na mademu ukiwa unatumia vilaini vya kutosha ili kusiwe na michubuko unaweza kuambukizwa?

2. Vipi watu wa kundi la damu group O+ na O- wanaweza kupata maambukizi ya h.i.v?
Swali namba 1.
Ukitumia vilainishi it means ume-reduce friction. Hapo umezuia maambukizi kwa kiasi kikubwa ila usipaki basi, ukipaki basi hata hayo mafuta yatakauka tu mwishowe utachubuka utaukwaa tu.

Swali namba 2 sisi mtaani tunasemaga ni kweli group la damu linachangia kutopata ngoma kwa urahisi ila wataalamu wa afya wanakataa, wanasema tujikinge.
 
Virus wa Ukimwi wanapita zaidi kwenye epithelium cells na wala siyo kwenye hilo lingozi la nje la uume.
Epithelium celss ni kama ile ukibinua jicho ile ngozi nyekundu, au ukibinua mdomo ile ngozi nyekundu, au ukibinua kitundu cha mkojo kwenye uume ile ngozi nyekundu. Hizo epithelium cells ndo zina receptors nyingi zaidi za HIV.

Kwa hiyo msijidanganye na ishu ya kutumia vilainishi au sijui kukwepa michubuko. Load ya kutosha ikiweza kucontact na ngozi ndani ya tundu la uume imekula kwako!
tatizo wanaolipwa mshahara wameacha aya mambo ya kuelimisha

badala yake watu wamehamia vilingeni uko na tikitok na insta uko ndo wanakoambiana mambo ya kuloweka mb.00 kwenye wese
 
Duu, siku hizi mambo yenu yako shwari. Kwa hiyo unampima instantly. Errors ikoje kwenye kipimo hichoo. Mii zamani kuna mabinti kama watatu walivyokuja kutaka nichakate mbusisu machale yakanicheza. Kumbe kweli wameshaumia. Baada ya miaka 3 - 5 wote walikufa live kwa ukimwi. Zamani ilikuwa shidaa, you do you die. 😂🤣😇 starehe ya muda wa nusu saa na ushee, inakugharimu maisha yako yote.
Mkuu haya mambo ni experience,,ukizoea kuwapima mambo mengi unajifunza kwenye hivyo vipimo.

Mm kipimo kabla hakijachora mistar miwili tayar najua kwamba hii Ngoma imewaka, Kila kitu ni uzoefu na matumizi ya mara Kwa mara
 
  • Huyo hana UKIMWI bali ana virusi vya UKIMWI. Akiendelea kulia atapata UKIMWI.
  • Mshara wa dhambi ni mauti
 
Back
Top Bottom