Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdada tulikuwa tumezoeana ila yy akiishi mkoa mwingine. Kuna wkt akanitembelea mkoa nilipo. Nakumbuka alikuja Ijumaa usiku na ilikuwa tushinde pamoja ile J'mosi hlf aondoke mapema J'pili. Sasa bwana mimi geto huwa nina vile vidude vyeupe vya kupimia ngoma. Kuna jamaa alinipaga[emoji38]Ebu mpige picha tuone anavyohaha saiv.
Niliwah kuwa na mahusiano na mdada anayafakaz kwenye hicho chuo, Kila siku nilikua namfata stand na kumpeleka kwake ila nilikua siingii ndani... Kuna siku alinishawishi sana nilale kwake japo nilikubali ila visingizio nilitoa vya kutosha but ikashindikana
Tukaingia ndani zen tukaanza uchokozi wa wapendanao ikafikia hatua mbaya kosa alilolifanya alisema ngoja kwanza akaoge, alivorud mim nikiwa nimelala kitandani akanirukia Kwa furaha mtoto alikua mzuri balaaaaa Ile rangi ya mapaja ilikuwa ni moto.
Mungu alivyowaajabu nilijikuta nimemsukuma ghafla pembeni na kumwambia twende tukapime kwanza( wazo la kupima sikuwa nalo nilijikuta tu nimefanya hivyo bila kufikiria hapo ndo ujue mungu akitaka kukuepusha na kitu fulani hashindwi kitu)
Kwa shingo upande akakubali tutaelekea hospital na dokta akatuambia tuje kesho twende hospital kubwa maana mmoja wetu hayupo vizuri hivyo tukaangalie mnazi mmoja.
Mm nilikua naijua afya yangu na nazijua saikolojia za wanawake namna wanavyoshindwa kuhimili mambo kama hayo, nikamuomba msamaha sana kwamba Kuna sehem nilichepuka inawezekana ndo nimeambukizwa huko, basi naye akanipa pole sana na kushukuru nimemuokoa asijue kwamba ni yeye ndo mwenye tatizo. Kesho yake alinitafuta sana anipeleke hospital ila nikapiga chini coz ningeenda yeye ndo angeonekana ameungua halaf ningepata kazi ya kumtuliza
Tukapotezana
Majuzi namuona amepost tik tok mada za kumeza dawa na hajali kuhusu watu wanamchukuliaje, nikajisemea kimoyo moyo kwamba tayari ameshajijua
Mimi ni mtu wa kusafiri sana na huwa nakaa muda mrefu hivyo nikiwa narudi jambo la kwanza Kwa wife ni kupima mimba na ukimwi japo anahisi namuonea ila Hawa wadudu hawatabiriki Bora kinga kuliko kuombana msamaha na kuharibiana future
Unaambiwa kapimwa akiwa mzima wa afya hii thread imenishtua kidogo Kuna uwezekano watanzania wengi wakawa na maambukizi bila kujua zamani tulizoea kuona dalili za mwanzo ya HIV kama homa au TbKwann alienda kupima kwani aliumwa?
Hivyo vipimo vinasaidia sana ni vile tu watu hawana misimamo.. mwanamke kama hataki kupima achana naye kwasababu huyo haushindi naye muda wote so hujui amepitia mangapi.Kuna mdada tulikuwa tumezoeana ila yy akiishi mkoa mwingine. Kuna wkt akanitembelea mkoa nilipo. Nakumbuka alikuja Ijumaa usiku na ilikuwa tushinde pamoja...
[emoji38][emoji38] umerudi nyuma ili unitumbukize na mimi humo haya bhna mkuu, ila 90 mpka 96 kama mtu bado anafukuzana na mbususu huyo atakua hajielewi bado.
Nilishatolea ufafanuzi. Wafanyakazi wa bandari ndiyo walikuwa wanaongoza kwa kuwaponda vijana wasio na ajira na kuwaambia wajiajiri maana fursa ni njingi. Sasa nimewatimua wote ili waje kuwafundisha kwa vitendo.Vipi mkuu, upo? maana juzi ulitafutwa sana na wadau humu ili utolee ufafanuzi juu ya kuwafukuza kazi wazawa pale bandarini kisa unataka kuajiri wafanyakazi wapya.
Hivyo vipimo vinasaidia sana ni vile tu watu hawana misimamo.. mwanamke kama hataki kupima achana naye kwasababu huyo haushindi naye muda wote so hujui amepitia mangapi.
Mimi mpaka Leo hii Nina Zaid ya wanawake wanne ambao nimeshuhudia kwenye vipimo wakiwa hawako vizuri na kabla ya kupima wanakuwa watata sana ila ukishapima mambo yanakua sio mazuri na wapo wengine wanakubali bila ubishi ila ukipima unakuta imooooo, kwaiyo usimwamini mtu bila kumpima mwenyewe......anza kumpima ndo muende hospital kuhakikisha rushwa IPO Kila sehemu, Kuna Dem ashawahi nizunguka Kwa dokta ila alikuta mm mwenyewe sidanganyiki tulivoingia ndani nikamwambia hapa tunapima Tenaaaaaa na ndo ikawa mwisho wa mm na yeye
Acha uzinziHivyo vipimo vinasaidia sana ni vile tu watu hawana misimamo.. mwanamke kama hataki kupima achana naye kwasababu huyo haushindi naye muda wote so hujui amepitia mangapi.
Mimi mpaka Leo hii Nina Zaid ya wanawake wanne ambao nimeshuhudia kwenye vipimo wakiwa hawako vizuri na kabla ya kupima wanakuwa watata sana ila ukishapima mambo yanakua sio mazuri na wapo wengine wanakubali bila ubishi ila ukipima unakuta imooooo, kwaiyo usimwamini mtu bila kumpima mwenyewe......anza kumpima ndo muende hospital kuhakikisha rushwa IPO Kila sehemu, Kuna Dem ashawahi nizunguka Kwa dokta ila alikuta mm mwenyewe sidanganyiki tulivoingia ndani nikamwambia hapa tunapima Tenaaaaaa na ndo ikawa mwisho wa mm na yeye
Huyo binti anaroho mbayaaaKuna mdada tulikuwa tumezoeana ila yy akiishi mkoa mwingine. Kuna wkt akanitembelea mkoa nilipo. Nakumbuka alikuja Ijumaa usiku na ilikuwa tushinde pamoja ile J'mosi hlf aondoke mapema J'pili. Sasa bwana mimi geto huwa nina vile vidude vyeupe vya kupimia ngoma. Kuna jamaa alinipaga[emoji38]
Sasa bidada kaja tu kabla ile mambo hayajawa mengi nikachomoa mavipimo mbele ya bibie tayari kwa upimaji. Nikaona kabisa bibie kapoteza nuru na uchangamfu wa mwanzo[emoji20][emoji2296]. Basi ile kugusisha tu chake kikachora mistari mara mbili waah waah! kuashiria tayari apa kuna moto. ila nkazuga sijapaniki.
daah apo bana pozi likapotea ukimya ukatanda mb.00 nayo ikarudi kujificha ndani kabisa uko kwenye korodani. cha ajabu bidada yey hakushtuka!
Usiku ukaisha kukakucha. Sasa bana mpango mzima wa sikuile ulikuwa tutumie ile Jmos yote kukanyagana ila sasa ndoivo mpango wenyewe umeshaingia luba maana hakuna kinacholika tena.
Ikabidi ile asbh na mapema ntafute pakwenda maana nilijua nikishinda pale nisijezalisha mengine.
Basi nkasepa na kurudi saa 5 usiku, nikamkuta bibie kalala nikamuamsha tukaenda bar ya mkesha. Tulikaa huko hadi J'pili asbh tukapita home kuchukua vitu vya bibie na kujiswafi tukapitiliza stendi akapanda basi zile za asbh akarudi kwao.
Siku ile nimerudi geto nimechoka vibaya kila kiungo cha mwili kinauma vibaya maana toka ile ijumaa baada ya yale majibu sikuwahi kupata usingizi kamwe. nmetoka stendi nikapitiliza geto nikatandika usingizi wa mwana nikome.
Tunashukuru kwa ushauri watu watumie kondomu au wapime afya zao kabla ya kuanza kumiminiana mbeguUKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.
Umesema kweli Mkuu, hao Wana nafuuHahahah demu wa kuvaa visendo vya manyoya unagonga kishababi kweli? Ukitaka uwe salama pendelea a kugonga wale mademu ambao wanaonekana washamba washamba. Hao mara nyingi huwa watu wanawa ignore sababu hawako kisasa.
Si ndyo hapo sasa 🤣🤣Eti tuwe makini na wadada, hivi hao wadada huwa wanajiambukiza ukimwi wenyewe bila kukutana na wanaume waathirika.
Ogopaaa ni hatariiiTayari kashaunganishwa na grid ya taifa huyo 😂😂😂😂
Sawa mjomba huu ushauri nitaufanyia kazi vilivyo🙏Jombaa, maana wewe ni anko wangu, ukijiepusha na mbusus katika umri wako, utakuwa jembe miaka yako yote. Hata ukifika 45, utaonekana kama vile uko 35. Maana mbusis zinazeesha. Utakuta kijana mdogo tu, ana 40 kesha choka na kuanza kukanyaga chini kama anatembea kwenye kokoto bila viatu. 😂 🤣 😇
Ukifikia hatua hiyo, ni shidaaa.
Kuna watu kadhaa nawafahamu huu ni mwaka 20 tangu waanze kutumia dawa za kupunguza makali ya ukimwi. Siku hizi siyo kama zamani, wagonjwa wengi wanaisha maisha ya kawaida. Kupata HIV siyo mwisho wa maisha.Amekata tamaa anaona anakufa