eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Amekata tamaa anaona anakufa
Muache afe, kwani si ukimwi alienda mwenyewe kuufuata. Muache afe kwa ujinga wake. Wengine tuendelee kuzingatia maokoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekata tamaa anaona anakufa
Inaonesha na wewe unao. Pamoja na kuwa ile comment haikuwa nzuri lakini ku legalise Ukimwi ni hatari zaidi
Mnaangamiza vijana kwa kuwasimanga na vibamia vyao mara hana shughuli, kimoja chali dah😁Acheni ngono zembe na kukamia kitu ambacho mtu akiosha kinaendelea tena na matumizi mxiewwww!!!
Nimepata wazo jipya.... Kama wewe unaukimwi na umekata tamaa njoo zako pm kwa speed (Mwezi mtukufu upo mbele hapo,,,, huenda meza ikapinduka ndani ya mwezi mmoja)
Ntakupatia njia salama kabisa.... N muongozo wa kiibada pekee!!! Pia ntakupatia siri ya kuwa karibu na Allah halafu kwenye ule usiku wa lailatul qadr ntakuombea uzima kwa mwenyez Mungu!!!
Trust me unapona kabisa..... Ninahakika na nnachokiongea!!!
Note: Ramadhan yote mm ntajitaahd kujitenga na maaswi kwa kukaa sehem moja siku zote 30 nikifanya ibada na nyirad zangu(watu wa twariqa tunaita chimbo)
If you have a solution then good luck...... Kuliko kukaa na kulia bila sabb kwanini usifate njia yangu (note: dozi utaendelea nazo Kama kawaida ili uwe na amani)
Halafu huduma n free kabisa
😂😂Huwa ata ndom bila kupima sigusi mkuu, wadada wengi wanapenda pigwa kavu na me wengi hawana msimamo kwenye hilo.
Haitosaidia kujua kapata wapi. Mungu amtie nguvu tu.Anayemuhisi kuna demu tunasoma nae mwaka wa TATU
Hahahah demu wa kuvaa visendo vya manyoya unagonga kishababi kweli? Ukitaka uwe salama pendelea a kugonga wale mademu ambao wanaonekana washamba washamba. Hao mara nyingi huwa watu wanawa ignore sababu hawako kisasa.Wakati mwingine tunaweza kumsimanga mtoa mada kuhusu madhaifu kadhaa kwenye maandishi yake hapa JF
Lakini kumbe lengo lake ilikuwa kuendelea kuikumbusha Jamii, ikiwemo Jamii ya watumiaji wa JamiiForums kwamba pamoja na kimya kilichopo kuhusu HIV/Ukimwi ila still ugonjwa huu upo kwenye jamii zetu.
Muhimu tuendelee kuchukua tahadhari ili kuepusha maambukizi mapya.
Miaka ya Zamani niliwahi kusikia wimbo mmoja wa Bongo Fleva unaitwa Jirushe - Ferouz Ft Jay Moe Kuna sehemu Jay Moe alighani Kwa kusema "Hakuna Demu wa kwenda naye Nyama Kwa nyama" unless umepima naye na mmejiridhisha kwamba nyote mko salama.
Vinginevyo Vijana wa hovyo hapa jamvini hupenda kusema "Vaa Kondomu mbili 🙌" na usiende safari zaidi ya Mbili
For whatever reason, tuendelee kuchukua tahadhari Vijana Kwa Wazee 🤗
Ukimwi hauui, akiwa makini ataendelea kuishi mpaka mwisho wa maisha yake kama alivyopangiwa na Mungu.UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.
Unavaa ndomu mbili(double)Huwa ata ndom bila kupima sigusi mkuu, wadada wengi wanapenda pigwa kavu na me wengi hawana msimamo kwenye hilo.
Noma sna sijafikia level ya ugwadu wa hivyo mkuu.Unavaa ndomu mbili(double)
Dah kaisha kweli alikuwa mpole wa sura tuTayari kashaunganishwa na grid ya taifa huyo 😂😂😂😂
Ukigegeda tena unaambukizwa tena, unakufa mapema zaidi.Akija mzabzab hapa atatoa pongezi kwake kwamba “sasa anaweza kugegeda kwa uhuru bila hofu ya kuugua tena”.
Dah nimecheka sana...😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣malaria ni rakaa mbili sio ukimwi itakuwa 8
Nimeipenda hii wengi hawatakuelewaMwambie aanze dawa mara moja kabla hajapata ukimwi nadhani bado yupo katika stages za mwanzo.
Shida yote ya nini! Mtu unapiga chenga zako 2 - 3 unafunga vigoli viwili unamwacha aende.Watu wanataka wafunge magoli ya chenga nyingi kama za mzee Ronaldinho