Kuna mdada tulikuwa tumezoeana ila yy akiishi mkoa mwingine. Kuna wkt akanitembelea mkoa nilipo. Nakumbuka alikuja Ijumaa usiku na ilikuwa tushinde pamoja ile J'mosi hlf aondoke mapema J'pili. Sasa bwana mimi geto huwa nina vile vidude vyeupe vya kupimia ngoma. Kuna jamaa alinipaga[emoji38]
Sasa bidada kaja tu kabla ile mambo hayajawa mengi nikachomoa mavipimo mbele ya bibie tayari kwa upimaji. Nikaona kabisa bibie kapoteza nuru na uchangamfu wa mwanzo[emoji20][emoji2296]. Basi ile kugusisha tu chake kikachora mistari mara mbili waah waah! kuashiria tayari apa kuna moto. ila nkazuga sijapaniki.
daah apo bana pozi likapotea ukimya ukatanda mb.00 nayo ikarudi kujificha ndani kabisa uko kwenye korodani. cha ajabu bidada yey hakushtuka!
Usiku ukaisha kukakucha. Sasa bana mpango mzima wa sikuile ulikuwa tutumie ile Jmos yote kukanyagana ila sasa ndoivo mpango wenyewe umeshaingia luba maana hakuna kinacholika tena.
Ikabidi ile asbh na mapema ntafute pakwenda maana nilijua nikishinda pale nisijezalisha mengine.
Basi nkasepa na kurudi saa 5 usiku, nikamkuta bibie kalala nikamuamsha tukaenda bar ya mkesha. Tulikaa huko hadi J'pili asbh tukapita home kuchukua vitu vya bibie na kujiswafi tukapitiliza stendi akapanda basi zile za asbh akarudi kwao.
Siku ile nimerudi geto nimechoka vibaya kila kiungo cha mwili kinauma vibaya maana toka ile ijumaa baada ya yale majibu sikuwahi kupata usingizi kamwe. nmetoka stendi nikapitiliza geto nikatandika usingizi wa mwana nikome.