buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,007
- 7,126
Kwaiyo unataka kunambia wote wanaotembea na wanawake ni kwasababu hawajaoa sio?Acha uzinzi
Unasema umeoa Ila kutwa kuwapima uwaitao mademu ngoma,ili iweje?uwaf.uck ama?mheshimu mkeo
Kifo kinaletwa hata na ajali brah
Ndoa zinachangamoto nyingi ukimuona mwanaume anatoka nje ukae chini ujiulize mara mbili mbili japo wapo wanaochepuka Kwa tamaa zao tu Ila wengine Kuna mambo yanayowasukuma kufanya hivyo Ili Kulinda afya ya moyo
Kuna level utaifikia utayakumbuka haya niliyokuambia