Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
Hii thread ukisoma kwa kutulia ina shule sana. Kuna kitu nimejifunza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, UKIMWI unatisha .Hii thread ukisoma kwa kutulia ina shule sana. Kuna kitu nimejifunza.
Hii inatokana na dawa kukukataaHii kitu nakuwa sielewi,
Broo alikufa kwa hii kitu 1999, mke mkubwa Alifuatia mwaka 2000,
mke wa pili mdogo anatumia ARV yuko hai hadi leo anadunda mwaka wa 25 huu tangu mmewe afariki.
Daaah! yawezekana ndo iliyotokea kwa mjomba.Wake zake wanadunda tu na ARVs.Hii inatokana na dawa kukukataa
Huwa kuna aina tatu za dawa
Wanakupa ya kwanza ikikataa wanakupa ya pili ikikataa
Wanakupa ya tatu nafikil hii ya tatu ndio balaa coz unameza mara mbili kwa siku kwa hiyo hizo dawa zikigoma zote tatu hapo ndio basi tena unasubili kupata Ukimwi na kufa
Kayatimba... ila S.A since February wameanza kutoa chanjo na dawa tiba awahi kwa madiba.UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.
InawezekanaDaaah! yawezekana ndo iliyotokea kwa mjomba.Wake zake wanadunda tu na ARVs.
SawaAsante kwa ufafanuzi mkuu.
nshashtuka humu wengi wameshaungua wanajibizana wenyewe kwa wenyewe utafikiri wanaongelea malaria au mafua vile wanataka na wengine waingie mkenge kama wao. ndugu zangu iyo sio vizuri.
kama uliteleza ukaupata ndo imeshatokea ivo auwezi kurudi nyuma wew mshukuru mungu ila waokoe wengine
Anayemuhisi kuna demu tunasoma nae mwaka wa TATU
Zinaa vitawamaliza vijana
Haka yani uni... Kavu kama huwez kuvaa Condom basi Kilainishi kipo nikupake unisuguwe mpk basi lakin kama vyote Hamna sikupi Ng'oo.UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.
Siku mzungu akiacha kuleta hizo ARV ndio mbivu na mbichi zitajulikana kama huo ukimwi ni ugonjwa au ni kitu gani.Acha uoga bana mdogo. Ukimwi siyo ugonjwa, wee nenda zingatis maokoto halafu acha uasherati/uzinzi. Ukiwa na hivi utafanikiwa maishani.
Siku mzungu akiacha kuleta hizo ARV ndio mbivu na mbichi zitajulikana kama huo ukimwi ni ugonjwa au ni kitu gani.
Kama bado hujaukwaa jilinde na ujikinge kijana taifa bado linakutegemea.