Ukimya huu unaashiria kukubaliana kutokukubaliana, nafikiri hivyo

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
KUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA

Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa? SIJUI.

Ukimya uliolazimishwa ni kama hewa chafu — inaua taratibu. Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
 
Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa !!!!?
SIJUI.

Ukimya unaolazimishwa ni kama hewa chafu — inaua taratibu.
Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
Sauti huru ni kama ile sauti ambayo ipo ndani ya nyoyo zetu,huwa haipigi kelele lakini ina nguvu kubwa sana ama ilete mabadiliko chanya au hasi

Tunachagua kuleta mtazamo chanya wenye mazungumzo na maelewano

Popote Pale penye amani kila kitu kinawezekana
 
Sio kwa Tanzania, amani imekuwepo miaka na miaka, lakini kadiri muda unavyoenda haki ndo inazidi kuminywa kila pahala.
 
Hakuna Amani watu kila siku wanazidi kuvimba ngoja wapasuke ndiyo siku utasikia kishindo chake
Watu wanaelewa sana hatar ya kukosa amani,wameona umuhimu wa amani,kitaani wameshakataa ujinga,mmebaki wachache humu mitandaoni mnajizima data

Soon mtatuelewa tu,wenzenu wameshaanza kuelewa
 
Ungejua huyu boya asivyokubarika usingesema hivyo,na hatakuja kubalika kamwe
Ni hivi mimi binafsi sikubaliani na mambo mengi ya utawala huu

Pamoja na hayo sipendi na sipo tayar kuona damu za ndugu zetu,watoto wetu zikimwagika tena

Ni ngumu kuelewa kwa hili,lkn mwisho wa siku tunapigania kile tunachoamini nacho ni amani
 
Swala hili sio kuwa hawalielewi

Ila lina hatarisha UGALI wao

Ukienda beyond , u will understand this .

Ikiwa haukubaliani na utawala je kwanini usiwe front kupambana dhidi ya huo utawala Ila unataka watu kadhaa ndo waandamane .

Sisi hatumzuii MTU kudai haki n.k Ila hatutaki uwatumie VIJANA katika madai yako.

Mchezo wa kuwatumia VIJANA in useless things ndo umewapa utajiri wanasiasa na wanaharakati.

Mfano tangia VITA ya Ukraine na Russia umeona mtoto wa Rais akiuliwa jibu ni hapana

Kwahiyo tunachopambania hatutaki watu wachochewe wauliwe huku aliyewachochea yupo salama .
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Watu wanaelewa sana hatar ya kukosa amani,wameona umuhimu wa amani,kitaani wameshakataa ujinga,mmebaki wachache humu mitandaoni mnajizima data

Soon mtatuelewa tu,wenzenu wameshaanza kuelewa
Yeah, tumechagua amani kwa matakwa ya mtawala.Acha watawala waendelee kuminya haki zetu kwa mgongo wa Amani.😔😔
 
KUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA

Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa? SIJUI.

Ukimya uliolazimishwa ni kama hewa chafu — inaua taratibu. Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
Sauti huru ni kama ile sauti ambayo ipo ndani ya nyoyo zetu,huwa haipigi kelele lakini ina nguvu kubwa sana ama ilete mabadiliko chanya au hasi

Tunachagua kuleta mtazamo chanya wenye mazungumzo na maelewano

Popote Pale penye amani kila kitu kinawezekana
Id 2 zinazofanya kazi interchangebly, badilisheni mbinu, hii ni so outdated.
 
Sisi tunaishi na jamii tunajua mitazamo yao na maono yao

Hili nalo unataka liwe propaganda?
Huku mitaani unadhani unakaa ww mwenyewe, na sisi wengine tunaishi mitandaoni? Bado una mawazo ya kizamani mzee, sikulaumu sana maana ww unataka kuamua kidigital, ila bado una mitazamo ya kianalogia. Soma alama za nyakati mzee, muda hauko upande wenu. Nguvu ya mtutu wa bunduki haiwatoi this time around.
 
Back
Top Bottom