Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Mnatumia mbinu za zamani sana, watu wameshaamka kitambo.Hamna kitu kama hiki mkuu
Mnatumia mbinu za zamani sana, watu wameshaamka kitambo.Hamna kitu kama hiki mkuu
Mnatumia mbinu za zamani sana, watu wameshaamka kitambo.
Amani ganiAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Mimi ni mtoto mdogo sana hapa jf, tazama mimi nimejiunga lini na ww umejiunga lini.Mkuu hauwezi kushindana na Mimi nyie watoto wadogo Sana hapa JF
Na sio JF mitandao yote hamtoweza kumshawishi Kijana yoyote kuandamana
Siasa za kuwatumia vijana tunaenda kuzizika rasmiMimi ni mtoto mdogo sana hapa jf, tazama mimi nimejiunga lini na ww umejiunga lini.
Watu kuandamana hawashawishiwi, bali wanaambiwa ukweli kisha wanachukua maamuzi. Nasisitiza, hizi id mbili zinafanya kazi moja, ndio maaan ww ukianzisha mada yeye ndio wa kwanza kwanza kujibu, na kinyume chake.
Vijana wanatakiwa kutumikia siasa za kujaza kura kwenye mabox ya kura tu.Siasa za kuwatumia vijana tunaenda kuzizika rasmi
Vijana wanatakiwa kutumikia siasa za kujaza kura kwenye mabox ya kura tu.
Nisharuka hatua za ugali.Najua ugali wako utakuwa mashakani kwa sasa
Sawa Ila waliokituma waambie vijana hawadanganyikiNisharuka hatua za ugali.
Najielewa boss, hizo zama za kuburuza wanaume zimeshapita. Kwa sasa ni silaha za moto tu tunakosa, tukizipata mtacheka kichina. Mtatamani siku zirudi nyuma lakini itakuwa too late to catch a bus.Sawa Ila waliokituma waambie vijana hawadanganyiki
Lengo letu ni moja pamoja na wenzetu wengine tunapigania uhai wa vijana wetu na wadogo zetuMimi ni mtoto mdogo sana hapa jf, tazama mimi nimejiunga lini na ww umejiunga lini.
Watu kuandamana hawashawishiwi, bali wanaambiwa ukweli kisha wanachukua maamuzi. Nasisitiza, hizi id mbili zinafanya kazi moja, ndio maaan ww ukianzisha mada yeye ndio wa kwanza kwanza kujibu, na kinyume chake.
This is old house Nigger I will show you how the different person I'mNajielewa boss, hizo zama za kuburuza wanaume zimeshapita. Kwa sasa ni silaha za moto tu tunakosa, tukizipata mtacheka kichina. Mtatamani siku zirudi nyuma lakini itakuwa too late to catch a bus.
Mkuu vijana wanatumikaje?. Kwamba wanaharakati wanawaambia hakuna ajira wakati mtaani ajira zipo za kumwaga? Acheni kufikiri Genz hawana akili ya kuona mambo yanavyoenda.Siasa za kuwatumia vijana tunaenda kuzizika rasmi
Endelea kujifarijiHuku mitaani unadhani unakaa ww mwenyewe, na sisi wengine tunaishi mitandaoni? Bado una mawazo ya kizamani mzee, sikulaumu sana maana ww unataka kuamua kidigital, ila bado una mitazamo ya kianalogia. Soma alama za nyakati mzee, muda hauko upande wenu. Nguvu ya mtutu wa bunduki haiwatoi this time around.
I don't give a damn.This is old house Nigger I will show you how the different person I'm