DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Sauti huru ni kama ile sauti ambayo ipo ndani ya nyoyo zetu,huwa haipigi kelele lakini ina nguvu kubwa sana ama ilete mabadiliko chanya au hasiKUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA
Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa !!!!?
SIJUI.
Ukimya unaolazimishwa ni kama hewa chafu β inaua taratibu.
Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
Sauti huru ni kama ile sauti ambayo ipo ndani ya nyoyo zetu,huwa haipigi kelele lakini ina nguvu kubwa sana ama ilete mabadiliko chanya au hasiKUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA
Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa !!!!?
SIJUI.
Ukimya unaolazimishwa ni kama hewa chafu β inaua taratibu.
Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
Hakuna Amani watu kila siku wanazidi kuvimba ngoja wapasuke ndiyo siku utasikia kishindo chakeAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Sio kwa Tanzania, amani imekuwepo miaka na miaka, lakini kadiri muda unavyoenda haki ndo inazidi kuminywa kila pahala.Sauti huru ni kama ile sauti ambayo ipo ndani ya nyoyo zetu,huwa haipigi kelele lakini ina nguvu kubwa sana ama ilete mabadiliko chanya au hasi
Tunachagua kuleta mtazamo chanya wenye mazungumzo na maelewano
Popote Pale penye amani kila kitu kinawezekana
Watu wanaelewa sana hatar ya kukosa amani,wameona umuhimu wa amani,kitaani wameshakataa ujinga,mmebaki wachache humu mitandaoni mnajizima dataHakuna Amani watu kila siku wanazidi kuvimba ngoja wapasuke ndiyo siku utasikia kishindo chake
Kupitia mazungumo tutayaweka mambo sawa,bado muda upo,hatujachelewa badoSio kwa Tanzania, amani imekuwepo miaka na miaka, lakini kadiri muda unavyoenda haki ndo inazidi kuminywa kila pahala.
Hayo mazungumzo yameanza kuombwa toka lini? Why now baada ya kuchukua madaraka kupitia damu za watu ndo mtake mazungumzo?Kupitia mazungumo tutayaweka mambo sawa,bado muda upo,hatujachelewa bado
Sote tuwe mabalozi wa amani
Ungejua huyu boya asivyokubarika usingesema hivyo,na hatakuja kubalika kamweWatu wanaelewa sana hatar ya kukosa amani,wameona umuhimu wa amani,kitaani wameshakataa ujinga,mmebaki wachache humu mitandaoni mnajizima data
Soon mtatuelewa tu,wenzenu wameshaanza kuelewa
Ni hivi mimi binafsi sikubaliani na mambo mengi ya utawala huuUngejua huyu boya asivyokubarika usingesema hivyo,na hatakuja kubalika kamwe
Swala hili sio kuwa hawalielewiNi hivi mimi binafsi sikubaliani na mambo mengi ya utawala huu
Pamoja na hayo sipendi na sipo tayar kuona damu za ndugu zetu,watoto wetu zikimwagika tena
Ni ngumu kuelewa kwa hili,lkn mwisho wa siku tunapigania kile tunachoamini nacho ni amani
Yeah, tumechagua amani kwa matakwa ya mtawala.Acha watawala waendelee kuminya haki zetu kwa mgongo wa Amani.ππWatu wanaelewa sana hatar ya kukosa amani,wameona umuhimu wa amani,kitaani wameshakataa ujinga,mmebaki wachache humu mitandaoni mnajizima data
Soon mtatuelewa tu,wenzenu wameshaanza kuelewa
KUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA
Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa? SIJUI.
Ukimya uliolazimishwa ni kama hewa chafu β inaua taratibu. Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
Id 2 zinazofanya kazi interchangebly, badilisheni mbinu, hii ni so outdated.Sauti huru ni kama ile sauti ambayo ipo ndani ya nyoyo zetu,huwa haipigi kelele lakini ina nguvu kubwa sana ama ilete mabadiliko chanya au hasi
Tunachagua kuleta mtazamo chanya wenye mazungumzo na maelewano
Popote Pale penye amani kila kitu kinawezekana
Ww ndio msemaji wa watu huko mitaani, naona unalazimisha naratives zako. Kawaokote mabwege huko vijijini.Watu wanaelewa sana hatar ya kukosa amani,wameona umuhimu wa amani,kitaani wameshakataa ujinga,mmebaki wachache humu mitandaoni mnajizima data
Soon mtatuelewa tu,wenzenu wameshaanza kuelewa
Sisi tunaishi na jamii tunajua mitazamo yao na maono yaoWw ndio msemaji wa watu huko mitaani, naona unalazimisha naratives zako. Kawaokote mabwege huko vijijini.
Id 2 zinazofanya kazi interchangebly, badilisheni mbinu, hii ni so outdated.
Huku mitaani unadhani unakaa ww mwenyewe, na sisi wengine tunaishi mitandaoni? Bado una mawazo ya kizamani mzee, sikulaumu sana maana ww unataka kuamua kidigital, ila bado una mitazamo ya kianalogia. Soma alama za nyakati mzee, muda hauko upande wenu. Nguvu ya mtutu wa bunduki haiwatoi this time around.Sisi tunaishi na jamii tunajua mitazamo yao na maono yao
Hili nalo unataka liwe propaganda?