Ukimya wa Bavicha na Bawacha ni Ishara ya Ukomavu wa kisiasa kule UVCCM Jasusi Membe alivyotangaza kugombea Urais 2020 ilikuwa balaa tupu 🐼

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Saa 24 baada ya Tundu Antipas Lisu kutangaza kuvunja Utawala wa kidikteta ndani ya Chadema kwa kutia Nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti dhidi ya Freeman Mbowe aka Mugabe, Bavicha na Bawacha hawajatoa kauli yoyote ya kumpinga

Hii ni hatua kubwa sana kuelekea mabadiliko ya kweli

Zitto Kabwe alivyotia Nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema kundi kubwa la Bazecha, Bawacha na Bavicha Wakiongozwa na Mzee Mtei lilimfata na kumtaka asigombee

Hakika Saa ya Ukombozi ni Sasa

Jumaa Mubarak 😂😂🔥
 
Unawashwa sana na mambo ya Chadema, hebu tulia sasa uzi wa ngapi huu unaanzisha kuhusu Chadema?
 
Sisiemu ilishaKUFA

Sasa hivi ni Mapambano kati ya Serikali na Chadema ndo maana Chadema WANAJIPANGA
NO REFORM NO ELECTION....soma hii kitu vizuri
 
Hapo accidental site hamjakutwa na lolote mpaka muda huu?
 
Back
Top Bottom