johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Saa 24 baada ya Tundu Antipas Lisu kutangaza kuvunja Utawala wa kidikteta ndani ya Chadema kwa kutia Nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti dhidi ya Freeman Mbowe aka Mugabe, Bavicha na Bawacha hawajatoa kauli yoyote ya kumpinga
Hii ni hatua kubwa sana kuelekea mabadiliko ya kweli
Zitto Kabwe alivyotia Nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema kundi kubwa la Bazecha, Bawacha na Bavicha Wakiongozwa na Mzee Mtei lilimfata na kumtaka asigombee
Hakika Saa ya Ukombozi ni Sasa
Jumaa Mubarak 😂😂🔥