Kama ambavyo wewe huwezi kuthibitisha kwamba Mungu hahusiki na John Pombe Magufuli kuwa rais ndivyo hivyo hivyoSawa, lakini unaweza kuthibitisha kwamba Mungu ndiye kamchagua JPM??!!, mimi nataka huo uthibitisho tu wala sitaki kujua kama Mungu anaweza au hawezi.
Kama ambavyo wewe huwezi kuthibitisha kwamba Mungu hahusiki na John Pombe Magufuli kuwa rais ndivyo hivyo hivyo
Qadar.Mimi sijasema kama Mungu anahusika au hausiki katika kumchagua JPM, kama ningalisema Mungu hausiki ndipo ingebidi unihoji kwanini hausiki??, lakini mimi sijasema chochote kuhusu Mungu kuhusika au kutohusika katika kumchagua JPM, ni nyie mnaodai kwamba Mungu kahusika katika kumchagua JPM, sasa tuleteeni uthibitisho na ushahidi wa hayo madai yenu kwamba Mungu kamchagua JPM.
Nadhani utakuwa umenipata vyema.
Ahsante.
Hakuna linalotokea kwa bahati mbaya Mokaze. Kubali au kataa kila kinachotokea kiwe kizuri au kibaya ni kwa uweza wakeMimi sijasema kama Mungu anahusika au hausiki katika kumchagua JPM, kama ningalisema Mungu hausiki ndipo ingebidi unihoji kwanini hausiki??, lakini mimi sijasema chochote kuhusu Mungu kuhusika au kutohusika katika kumchagua JPM, ni nyie mnaodai kwamba Mungu kahusika katika kumchagua JPM, sasa tuleteeni uthibitisho na ushahidi wa hayo madai yenu kwamba Mungu kamchagua JPM.
Nadhani utakuwa umenipata vyema.
Ahsante.
Membe namfananisha na lowasa.Kimya mzee wa watu!
Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.
Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.
Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.
Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
kila kinachotokea kiwe kizuri au kibaya ni kwa uweza wake
Mungu
Kijana huijui dini na vema ukakaa kimya."Eti hawezi kushindana na Magufuli sababu ni Chaguo la Mungu"!π€
Atakuwa siyo Mungu huyu ninaye mwamini mimi bila shaka! Mungu anaye tutaka tuwe ni watu wenye upendo, amani, furaha, umoja, upole, unyenyekevu, nk.
Naye huyu kuna mtu atamnyamazisha kabisa atakapoondoka ofisini - ikiwezekana hata retiremeent benefits zote kuondolewa na pengine kuswekwa lupango kabisa. Wenye vinyongo waliojeruhiwa wapo ndani na nje ya CCM.
Apandacho mtu ndicho avunacho!
Bado hata iweje! Huyo jamaa yako siyo chaguo la Mungu! Walio mpendekeza na kumchagua, wanajulikana. Msimsingizie Mungu katika hili.Kijana huijui dini na vema ukakaa kimya.
Mamlaka (ufalme au urais) ni kivuli cha Mwenyezi Mungu, na kila anayetwaa MAMLAKA ana baraka zake. Isipokuwa Mungu anasema atawapa kiongozi mbaya kama ameamua kuadhibu jamii fulani au kiongozi mwema kama ameamua kuituza kuzawadia jamii fulani.
Kwa hiyo kiongozi awe mbaya au mzuri Mungu kaona huyo ndio anatustahili kulingana na matendo ya jumla ya jamii yetu.
Kifupi Kiongozi ni Chaguo la Mungu na anaakisi maono mtazamo wa Mungu ktk jamii husika.
Mungu hakushindwa kumfanya ashindwe! Mungu hajawahi shindwa lolote.
Basi tuitii mamlaka
Mama D.
Umeleta madai mengine mazito kumsingizia Mungu, KILA kinachotokea kizuri au KIBAYA ni kwa uweza wake Mungu???, kila kitu KIBAYA kinaweza kutokea kwa uwezo wa Mungu???.
Mungu kumjua JPM au kunijua mimi kabla hatujazaliwa hiyo bado haitoshi kuonyesha kwamba Mungu ndiye kamchagua JPM, tafadhali Mama D niletee uthibitisho kwamba JPM alichaguliwa na Mungu, hata ukiniambia Mungu alikuotesha kukujulisha jambo hilo mimi nitakubali βπ».
Mbna mnamsingizia sana Mumgu????hiv Mungu anaruhusu kutafuta mamlaka kwa njia yoyote???
Atakuwa ana subiri ushauri toka "Brazil "Kimya mzee wa watu!
Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.
Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.
Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.
Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
Kizuri au kibaya kinatokana na kinayempata
Ushindi wa Musa ulikua kitu kizuri kwake na Mungu wake lakini kitu kitu kibaya kwa Farao
Ushindi wa Magufuli ni kitu kizuri kwa watanzania walio wengi na Mungu wao lakini ni kitu kibaya kwa vibaraka wa amstadamu na watu wakeπππ
Wacha tuendelee kuliombea taifa letu
Mtu yeyote atakayejaribu kupambana na Rais Magufuli atakuwa anapambana na Mungu. The man is an indigo. Ka google indigo wana tabia zipi na huwa wanakuja duniani kwa makusudi maalum. Utawala wake unewekwa na Mungu. Ndo maana maamuzi yake huwa sio rahisi kuyaelewa kwa muda anaosema iwe hivi, ila kadri muda unavyoenda huonekana yupo sahihi kabisa, japo alifanya maamuzi kinyume kabisa na taratibu, sheria, ama sayansi. Binafsi nimejifunza kuamini kila kitu anachosema hata kama moyo wangu haukipendi ama haukubaliani na maamuzi yake
Mungu hajawahi kuwa na chaguo lolote la mwizi wa kura. Na huyo Membe hana lolote nje ya ccm, isitoshe ni mzee. Hata huyo Magu nguvu zake ni kwakuwa yuko madarakani, ngoja siku atoke madarakani uone kama anaweza hata kuitisha mkutano wa kijiji na kupata watu 100 kumsikiliza.Kimya mzee wa watu!
Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.
Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.
Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.
Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.