Mtu yeyote atakayejaribu kupambana na Rais Magufuli atakuwa anapambana na Mungu. The man is an indigo. Ka google indigo wana tabia zipi na huwa wanakuja duniani kwa makusudi maalum. Utawala wake unewekwa na Mungu. Ndo maana maamuzi yake huwa sio rahisi kuyaelewa kwa muda anaosema iwe hivi, ila kadri muda unavyoenda huonekana yupo sahihi kabisa, japo alifanya maamuzi kinyume kabisa na taratibu, sheria, ama sayansi. Binafsi nimejifunza kuamini kila kitu anachosema hata kama moyo wangu haukipendi ama haukubaliani na maamuzi yake