Ukimya wa Bernard Membe

Ukimya wa Bernard Membe

Sawa, lakini unaweza kuthibitisha kwamba Mungu ndiye kamchagua JPM??!!, mimi nataka huo uthibitisho tu wala sitaki kujua kama Mungu anaweza au hawezi.
Kama ambavyo wewe huwezi kuthibitisha kwamba Mungu hahusiki na John Pombe Magufuli kuwa rais ndivyo hivyo hivyo
 
Mimi sijasema kama Mungu anahusika au hausiki katika kumchagua JPM, kama ningalisema Mungu hausiki ndipo ingebidi unihoji kwanini hausiki??, lakini mimi sijasema chochote kuhusu Mungu kuhusika au kutohusika katika kumchagua JPM, ni nyie mnaodai kwamba Mungu kahusika katika kumchagua JPM, sasa tuleteeni uthibitisho na ushahidi wa hayo madai yenu kwamba Mungu kamchagua JPM.

Nadhani utakuwa umenipata vyema.

Ahsante.
 
Qadar.
 
Hakuna linalotokea kwa bahati mbaya Mokaze. Kubali au kataa kila kinachotokea kiwe kizuri au kibaya ni kwa uweza wake
Mungu alimjua John Pombe Joseph Magufuli kabla hajazaliwa kama alivyokujua wewe

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Magufuli 😍😍🙏
 
Kimya mzee wa watu!

Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.

Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.

Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.

Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
Membe namfananisha na lowasa.
Yaani walijiamini sana kupitiliza kumbe ni weupe kabisa
 
kila kinachotokea kiwe kizuri au kibaya ni kwa uweza wake
Mungu

Mama D.
Umeleta madai mengine mazito kumsingizia Mungu, KILA kinachotokea kizuri au KIBAYA ni kwa uweza wake Mungu???, kila kitu KIBAYA kinaweza kutokea kwa uwezo wa Mungu???.

Mungu kumjua JPM au kunijua mimi kabla hatujazaliwa hiyo bado haitoshi kuonyesha kwamba Mungu ndiye kamchagua JPM, tafadhali Mama D niletee uthibitisho kwamba JPM alichaguliwa na Mungu, hata ukiniambia Mungu alikuotesha kukujulisha jambo hilo mimi nitakubali ✋🏻.
 
"Eti hawezi kushindana na Magufuli sababu ni Chaguo la Mungu"!🤔

Atakuwa siyo Mungu huyu ninaye mwamini mimi bila shaka! Mungu anaye tutaka tuwe ni watu wenye upendo, amani, furaha, umoja, upole, unyenyekevu, nk.
Kijana huijui dini na vema ukakaa kimya.
Mamlaka (ufalme au urais) ni kivuli cha Mwenyezi Mungu, na kila anayetwaa MAMLAKA ana baraka zake. Isipokuwa Mungu anasema atawapa kiongozi mbaya kama ameamua kuadhibu jamii fulani au kiongozi mwema kama ameamua kuituza kuzawadia jamii fulani.
Kwa hiyo kiongozi awe mbaya au mzuri Mungu kaona huyo ndio anatustahili kulingana na matendo ya jumla ya jamii yetu.
Kifupi Kiongozi ni Chaguo la Mungu na anaakisi maono mtazamo wa Mungu ktk jamii husika.
 
Naye huyu kuna mtu atamnyamazisha kabisa atakapoondoka ofisini - ikiwezekana hata retiremeent benefits zote kuondolewa na pengine kuswekwa lupango kabisa. Wenye vinyongo waliojeruhiwa wapo ndani na nje ya CCM.

Apandacho mtu ndicho avunacho!

Mambo sio maraisi kiasi icho !!
 
Kijana huijui dini na vema ukakaa kimya.
Mamlaka (ufalme au urais) ni kivuli cha Mwenyezi Mungu, na kila anayetwaa MAMLAKA ana baraka zake. Isipokuwa Mungu anasema atawapa kiongozi mbaya kama ameamua kuadhibu jamii fulani au kiongozi mwema kama ameamua kuituza kuzawadia jamii fulani.
Kwa hiyo kiongozi awe mbaya au mzuri Mungu kaona huyo ndio anatustahili kulingana na matendo ya jumla ya jamii yetu.
Kifupi Kiongozi ni Chaguo la Mungu na anaakisi maono mtazamo wa Mungu ktk jamii husika.
Bado hata iweje! Huyo jamaa yako siyo chaguo la Mungu! Walio mpendekeza na kumchagua, wanajulikana. Msimsingizie Mungu katika hili.
 
Mama D.
Umeleta madai mengine mazito kumsingizia Mungu, KILA kinachotokea kizuri au KIBAYA ni kwa uweza wake Mungu???, kila kitu KIBAYA kinaweza kutokea kwa uwezo wa Mungu???.

Mungu kumjua JPM au kunijua mimi kabla hatujazaliwa hiyo bado haitoshi kuonyesha kwamba Mungu ndiye kamchagua JPM, tafadhali Mama D niletee uthibitisho kwamba JPM alichaguliwa na Mungu, hata ukiniambia Mungu alikuotesha kukujulisha jambo hilo mimi nitakubali ✋🏻.

Mbna mnamsingizia sana Mumgu????hiv Mungu anaruhusu kutafuta mamlaka kwa njia yoyote???

Kizuri au kibaya kinatokana na kinayempata

Ushindi wa Musa ulikua kitu kizuri kwake na Mungu wake lakini kitu kitu kibaya kwa Farao

Ushindi wa Magufuli ni kitu kizuri kwa watanzania walio wengi na Mungu wao lakini ni kitu kibaya kwa vibaraka wa amstadamu na watu wake😃😃😃

Wacha tuendelee kuliombea taifa letu
 
Kimya mzee wa watu!

Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.

Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.

Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.

Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
Atakuwa ana subiri ushauri toka "Brazil "
 
Mtu yeyote atakayejaribu kupambana na Rais Magufuli atakuwa anapambana na Mungu. The man is an indigo. Ka google indigo wana tabia zipi na huwa wanakuja duniani kwa makusudi maalum. Utawala wake unewekwa na Mungu. Ndo maana maamuzi yake huwa sio rahisi kuyaelewa kwa muda anaosema iwe hivi, ila kadri muda unavyoenda huonekana yupo sahihi kabisa, japo alifanya maamuzi kinyume kabisa na taratibu, sheria, ama sayansi. Binafsi nimejifunza kuamini kila kitu anachosema hata kama moyo wangu haukipendi ama haukubaliani na maamuzi yake
 
Kizuri au kibaya kinatokana na kinayempata

Ushindi wa Musa ulikua kitu kizuri kwake na Mungu wake lakini kitu kitu kibaya kwa Farao

Ushindi wa Magufuli ni kitu kizuri kwa watanzania walio wengi na Mungu wao lakini ni kitu kibaya kwa vibaraka wa amstadamu na watu wake😃😃😃

Wacha tuendelee kuliombea taifa letu

Kifupi ni kwamba Mungu huwa hafanyi mambo mabaya, siku zote Yeye hufanya mambo mazuri na watu ndio hutafsiri kwa fikra zao au zetu mbaya kwamba Mungu kafanya vibaya linapotokea jambo tusilokipenda.

Sasa, kwa maoni yako, kama Mungu kafanya jambo zuri kwa kutuchagulia JPM naomba tuletee uthibitisho hapa tuuone ili tuamini hicho unachosema.
 
Mtu yeyote atakayejaribu kupambana na Rais Magufuli atakuwa anapambana na Mungu. The man is an indigo. Ka google indigo wana tabia zipi na huwa wanakuja duniani kwa makusudi maalum. Utawala wake unewekwa na Mungu. Ndo maana maamuzi yake huwa sio rahisi kuyaelewa kwa muda anaosema iwe hivi, ila kadri muda unavyoenda huonekana yupo sahihi kabisa, japo alifanya maamuzi kinyume kabisa na taratibu, sheria, ama sayansi. Binafsi nimejifunza kuamini kila kitu anachosema hata kama moyo wangu haukipendi ama haukubaliani na maamuzi yake

Tangu lini Jini mwenye kisirani huwa anaacha kisirani chake na kuongea points??!!---- wewe utakuwa ni Jini wa kwanza kuwa mwema.
 
Kimya mzee wa watu!

Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu.

Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena.

Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti akaamini hivyo. Leo ni historia yupo kimya na hayupo anayemjali.

Tuwiwe na kiasi na tuwahaeshimu walioshika makali.
Mungu hajawahi kuwa na chaguo lolote la mwizi wa kura. Na huyo Membe hana lolote nje ya ccm, isitoshe ni mzee. Hata huyo Magu nguvu zake ni kwakuwa yuko madarakani, ngoja siku atoke madarakani uone kama anaweza hata kuitisha mkutano wa kijiji na kupata watu 100 kumsikiliza.
 
Kachero Mbobezi Bernard Kamilius Membe bado anatafakari huku akiwa ameshika "Karamu yenye wino MWEKUNDU"
 
Back
Top Bottom