Ukimya wa darasa kulikoni?

Ukimya wa darasa kulikoni?

mahatmaxlla

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
896
Reaction score
1,435
Wakuu habarini za mchana!!!!!!

Nisipoteze muda aisee na imani wengi wao tuko vyema.

Ni miezi 10 sasa imepita bila ya kusikia ngoma mpya kutoka kwa Darassa huku ngoma yake ya mwisho ikiwa ni Hasara Roho, mashabiki wamebaki wakijiuliza nini kimemkuta?ikiwemo mimi pia.

Na shikwa na butwaa juu ya huyu mkuu wa idara msanii alie wika kwa speed ya 4G kulikoni anaweza kaa muda mrefu kiasi hiki bila kutupa mikikimikiki mashabiki wake,

Ubora na IQ ya msanii unapimwa kwa idadi na ujazo wa ngoma zake anazotoa,nimebaki nikijiuliza kulikoni kwa huyu bwana mkubwa,kama kuna member humu anachochote kumuhusu huyu bwana anakaribishwa hapa


Shukrani!!!!!!!
 
Na mimi nashangaa, ila tuendelee kusubiri mashabiki wake, maaana akija kiu zetu zitagongwa sana
 
Nasikia sikia tu ni mambo ya unga.. yamemtuliza
 
we kweli shabiki mpaka unafahamu ni kwa muda gani amekua kimya??
hongera sana.

japo nasikia ngada imemfanya kama zillah
 
yupo busy na sembe aka ngada na kina chidi benz .. maskani morogoro kwa wala paka .
 
Endelea kushikwa na butwaa hivyo hivyo huku mwenzako akitengeneza pesa kila kukicha.
 
hivi bado ujapata habari kuwa DARASA gari imeshawaka moto now mda wote anabembea anaogopa hata kwenda studio sababu ya aibu na majuto ...

amechagua ile njia aliyopita CHIDI VITS
 
29716915_227028474542097_303932828125495296_n.jpg
 
Ila "Muziki" alioimba ma Ben Paul ile ngoma hatari.
 
Back
Top Bottom