mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 896
- 1,435
Wakuu habarini za mchana!!!!!!
Nisipoteze muda aisee na imani wengi wao tuko vyema.
Ni miezi 10 sasa imepita bila ya kusikia ngoma mpya kutoka kwa Darassa huku ngoma yake ya mwisho ikiwa ni Hasara Roho, mashabiki wamebaki wakijiuliza nini kimemkuta?ikiwemo mimi pia.
Na shikwa na butwaa juu ya huyu mkuu wa idara msanii alie wika kwa speed ya 4G kulikoni anaweza kaa muda mrefu kiasi hiki bila kutupa mikikimikiki mashabiki wake,
Ubora na IQ ya msanii unapimwa kwa idadi na ujazo wa ngoma zake anazotoa,nimebaki nikijiuliza kulikoni kwa huyu bwana mkubwa,kama kuna member humu anachochote kumuhusu huyu bwana anakaribishwa hapa
Shukrani!!!!!!!