Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
MJALAANA SAMIA BUSHIRI MUST GO NA JAMBAZI LA KIISRAEL ROSTAM AZIZICHADEMA INANYIMA HAKI WATU WAKEI, INAVUNJA KATIBA | SIONI INAPOELEKEA, INATAFUTA UMAARUFU
naona inatafuta namna bora zaidi ya kujimaliza vizuri kisiasa yenyewe na wanachama wake 🐒CHADEMA INANYIMA HAKI WATU WAKEI, INAVUNJA KATIBA | SIONI INAPOELEKEA, INATAFUTA UMAARUFU
Chadema wajinga wanatafuta umaarufu usiowaongezea kuraCHADEMA INANYIMA HAKI WATU WAKEI, INAVUNJA KATIBA | SIONI INAPOELEKEA, INATAFUTA
-Chama cha siasa lazima kitafute umaarufu, kufa kwa chama ni kufa kwa umaarufu wake.CHADEMA INANYIMA HAKI WATU WAKEI, INAVUNJA KATIBA | SIONI INAPOELEKEA, INATAFUTA UMAARUFU
Chaguzi za kuanzia 2010 hazibebi hiki usemacho. Sio kwamba ccm haitaki reforms, bali muda hauko upande wao tena. Ccm wasichotaka wapinzani wapate viti vingi, ni kukwepa kutawala kwa pressure. Wanajua wakitawala huku wapinzani ni wengi, wanajiweka katika mazingira ya kukosolewa mara zote.Ccm ina raslimali, mkakati, UWEZO WA kushinda uchaguzi hata zikifanyika hizo reforms kupata tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi,
Acheni kuongoza hofu ndani ya chama.
Sasa kuliko kukosa vyote, chama kikaanguka once and for all,Chaguzi za kuanzia 2010 hazibebi hiki usemacho. Sio kwamba ccm haitaki reforms, bali muda hauko upande wao tena. Ccm wasichotaka wapinzani wapate viti vingi, ni kukwepa kutawala kwa pressure. Wanajua wakitawala huku wapinzani ni wengi, wanajiweka katika mazingira ya kukosolewa mara zote.
Ccm na Taifa nini muhimu, vyama hufa ila Taifa hubaki , Tunataka Taifa imara kuliko kitu chochote this timeMbogamboga tusikubali Hata mara moja kitu kinaitwa election reforms tutalia kama KANU huko Kenya.
Kafie mbeleC
Ccm na Taifa nini muhimu, vyama hufa ila Taifa hubaki , Tunataka Taifa imara kuliko kitu chochote this time
Sasa nikifia mbele wewe utaishi milele mkuu ,punguza jaziba jibu hojaKafie mbele