PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbogamboga tusikubali Hata mara moja kitu kinaitwa election reforms tutalia kama KANU huko Kenya.
Kama hizi ndio akili za mbogamboga tuna hali mbaya sana kama vijana huko mbeleni

Mbogambiga inatengeneza taifa la vijana wajinga kupata kutokea.
angalia fikra za vijana wa CCM akina Osca Kambona ,na wengine enzi hizo za TANU walikuwa na fikra tunduizi zilizoweza kufanya chama kikashika hatamu mpaka leo .

Hawa vijana wa sasa wa CCM aka Mbogamboga ni UCHAWA MBELE NYUMA MWIKO.. VERY SAD
 
Ilani ya Uchaguzi
 
Back
Top Bottom