Noel wa ruben
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 364
- 515
Ww na wenzako hamna hoja sasa nani mpotoshaji,watu 40 kwa 1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Nime mzungumzia Askof Rashid na SerikaliMkuu, mada ni ya gwajima squared, ni vema unapotoa comment iainishe kama unayemuongelea ni gwaji gani, gwajiboy au gwajigirl[emoji38][emoji38]!
Nakubaliana na ww 100%Mkuu unajua wewe ni genius sitegemei maswali rahisi namna hii. Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.
Sasa Gwajiboy ana hoji huo utafiti umefanyika lini hadi kuhalalisha kuwa hizi chanjo ni salama? Ile kamati ya kumshauri mh Rais ndio ilifanya utafiti kwa muda ule kweli?
Hata mimi binafsi naona wataalam wetu wengi wanajibu maswali kupitia madesa yaliyopo mitandaoni hasa sites za chanjo na CDC ambayo yalikuwepo hata mwaka jana na bado tuliyapinga kisayansi!
Hivi pamoja na upunguani wa Gwajiboy unafikiri wanaweza kufanya nae mdahalo? Hushtuki why hafanyiwi mahojiano kutoa maoni yake?
Hizi chanjo issue si Tanzania tu, ni mgogoro dunia nzima jinsi zilivyoibuka haraka bila kufanyiwa majaribio na kuchunguza madhara yake ya muda mrefu hasa kwa aina ya contents zake si za kutumika bila utafiti wa muda mrefu na hapo ndio natamani wataalam wetu wafafanue na sio porojo za sarafu kugandia.
Kwamba wazungu wamechanja na sisi tuchanje ni hoja mfu ambazo hata mababu zetu pamoja na uprimitive wao wasingekubali. Kule ushoga ni kawaida na umepitishwa kisheria kama ndoa zingine! Na sisi tuige kwavile wana akili na technology kutuzidi?
Jana Gwajima amehoji, hivi hao wanaochoma wamepimwa kwanza? Kule vijijini je? Kuna ufuatiliaji wa walio chanja ili wataalam wetu wajue namna ya kumanage madhara kama yatatokea? Huko kwa wenzetu wana utaratibu bora wa afya hata kabla ya chanjo, huku twende hivyo hivyo?
"Kuna namna ya kuwasilisha hoja na kuwasiliana na jamii.. Weledi, heshima, hekima na kuzingatia maadili ni mambo ya msingi sana kwenye loloteSijamdhihaki @albaaliyo bali nimeonesha uhalisia wake na kumchagiza kuwa njia aliyotumia si sahihi akiwa kama kiongozi..
Chakula hata kiwe kitamu vipi kikishaingia mchanga hakiliki tena
Kuna namna ya kuwasilisha hoja na kuwasiliana na jamii.. Weledi, heshima, hekima na kuzingatia maadili ni mambo ya msingi sana kwenye lolote
Uwasilishaji hoja wake ni wa kusuta, kuzodoa na ubabe huku akiingiza mambo binafsi ya familia...hili unaona ni sawa?
Kingine ana demand serikali imjibu ama iweke naye mjadala.. Seriously? Hivi kuna utaratibu Kama huu serikalini?
Kuna mataifa chanjo imewavusha na sasa hawako kwenye level ya kitisho tena...! Hata tumtetee vipi nitabaki na msimamo wangu kuwa kakengeuka!
Gwajima hakua mjinga kukataa maikiKila jambo lina uwili...Hata kulia kuna uwili wake. .huwezi kulia milele kuna siku utacheka na huwezi kucheka milele kuna siku Italia
Sakata la usalama wa chanjo ya korona linaingia wiki ya tatu sasa kama si nne! Ni kinara wa hili sakata ni mchungaji Josephat Gwajima.
Ambaye ameshiriki kikamilifu kukwamisha, kuyumbisha na kupotosha dhana nzima ya chanjo husika! Gwajima ni kiongozi wa kiimani mwenye wafuasi wengi.. Hivyo kampeni take imeleta madhara makubaa nchi nzima.
Upotoshaji wake ambao naweza kuupa vipengele vya seasons ni kama wiki hii unaingia season four sasa.. Seasons hizi huwa zinaanza siku ya ibada Jumapili kwenye kanisa lake na huwaandaa watu kuanzia Jumatano yake!
Huko ibada zake maranyingi si za kiroho bali za kupambana na wale wote wanaoenda naye kinyume.. Huko atakuchamba, kukusiliba na kukusema atakavyo na waumini wake watashangilia sana halafu watatoa sadaka.
Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kiimani? Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kisiasa? Weledi? Heshima? Hekima? Tafakuri!? Utu? Katika nafasi zote mbili?
Ni wazi Gwajima kashindwa kuyatambua mambo muhimu makubwa matatu yanayomfanya awe na uono kimo cha mbilikimo.
Kashindwa kabisa kujitambua yeye ni nani Kashindwa kabisa kujjijua yuko wapi, Kashindwa kabisa kujijua anafanya nini.
Kama kiongozi wa kiimani na kisiasa kuna code of conduct inamuongoza kwenye kila nafasi! Alikuwa na nafasi nzuri kabisa ya kuwakilisha hoja Zane kupitia channel sahihi kama mbunge na pia kama kiongozi wa kiimani.
Cha ajabu kashindwa kufanya hivyo na kuamua kutumia mimbari anayoita ya kimungu kupayuka na kuropoka, yaliyokosa, weledi, yaliyokosa uhalisia, yaliyokosa ithibati, yaliyokosa heshima na hekima na yaliyojaa upotoshaji mkubwa.
Hao waumini anaowatetea wasichanjwe ukiwaona wanatia huruma..wana shida. Wana dhiki kama zote! Wamepigika kimaisha na wengi wao ni wagonjwa wa magonjwa mengine mbalimbali.
Wanatumia dawa nyingine za mzungu
Wamepata chanjo nyinginezo
Wameshawahi kupata chanjo na dawa nyinginezo na zikawaletea side effects. Wanatumia vitu vingi sub standards vyenye madhara kiafya kuanzia vyakula mpaka vinywaji na vingine vipo hapo nje tu ya kanisa lake
Sijawahi kusikia akitoa elimu ya afya kuhusiasa na vyakula vya kusindika viwandani, mbolea zenye kemikali, wanyama wa kukuzwa kwa madawa, carbonated juices, vidonge vya uzazi wa mpango na njia za kuzuia mimba zenye madhara mengi kiafya...lakini la chanjo yeye ndio kawa daktari na mshauri bingwa..
Chokochoko zake zimeingia hatua mbaya ya sasa, kutoka kisiasa mpaka mambo binafsi, mambo ya kifamilia, siri za familia ...hapa kavuka mipaka.. Ni wazi kabisa kashindwa kujitambua yeye ni nani yuko wapi na anafanya nini.
Kama ni kukosea walikosea wanasiasa na mawaziri wote enzi za kayafa... Ule utawala ulikuwa wa one man show huwezi kupingana naye kama unajipenda.. Waliokengeuka kauli sio Dorothy pekee ni karibia mawaziri wote kama sio wote!
Kwa ubovu wa katiba tuliyonayo waziri wa afya yuleyule wa Magufuli inabidi sasa aende na biti ya Samia.. Ni ngumu lakini hakuna namna labda ujiuzulu..wanasisa wetu wengi ni vinyonga na hatuna katiba nzuri ya kuwaongoza!
Gwajima anaumizwa na kuukosa uwaziri. Gwajima kwa kificho yuko nyuma ya kundi kubwa faidika enzi za kayafa ambalo halina furaha na mama Samia.. Ukiachana na tofauti zao kifamilia..Gwajima hampingi waziri wa afya anampinga rais kupitia msaidizi wake!
Serikali iko kimya sana kwenye hili.. Ni uamuzi mzuri na wa busara japo una madhara yake. Kutokurupuka kwenye ishu hii ya Gwajima kungefanyika kwa wengine na kwenye mengine ingepata mileage kubwa sana!
Gwajima anachokonoa sana ili ajibiwe..lakini hajibiwi.. Dorothy alijaribu lakini haraka sana akagundua kosa lake na kaamua kukaa kimya! Ukimya wa serikali dhidi ya upotoshaji na chokochoko za Gwajima ni kama kumpuuza lakini Gwajima amakinike kwakuwa ngoma ikivuma sana HUPASUKA!
View attachment 1904222
Yule alokuwa bingwa wa kujibu kwa sasa ana ganzi tangu atenguliwe kitengoni nae ni tia maji tia maji japo kapewa kiti maalum lakini yupo yupo anatamani nae ang'oke ili apate uhuru wa kuendeleza zile harakati zake za mwanzoKila jambo lina uwili...Hata kulia kuna uwili wake. .huwezi kulia milele kuna siku utacheka na huwezi kucheka milele kuna siku Italia

...naamini kabisa sasa,Mshana ameuza akaunti yake."Kuna namna ya kuwasilisha hoja na kuwasiliana na jamii.. Weledi, heshima, hekima na kuzingatia maadili ni mambo ya msingi sana kwenye lolote
Uwasilishaji hoja wake ni wa kusuta, kuzodoa na ubabe huku akiingiza mambo binafsi ya familia...hili unaona ni sawa?"
Mshana jr...hapa umechemka na kuonyesha how biased you are, kati ya Gwajima Mwanamke( Mbunge na waziri mwenye dhamana ya afya ya watanzania) na Gwajima askofu (mbunge wa kupewa).....nani kati ya hao anatakiwa kuwa na weledi, hekima na kuzingatia mambo ya msingi kwa lolote?
...naamini kabisa sasa,Mshana ameuza akaunti yake.
..au wamei-hack.
Msimamo wa askofu Ruwaichi ulikuwaje mwezi January?